Saturday 20 October 2012

Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo

Kuleta vurugu,kuuwa,kuvunja makanisa na kuchukia wengine,the guy is today called innocent revolutionalist.wha is the meaning of innocent when somebody anavunja sheria za nchi na kuhatarisha amani.Mind you,mtandao huu sio kijiwe cha kahawa cha baada ya swala ya jioni. Dont triggerout our moods by your crooked thinking.Ngupula Godfrey

------------------------------
On Sat, Oct 20, 2012 9:01 PM EEST Said Issa wrote:

>Hunahaja ya kusikiliza, maanake mambo yanabadilika kila baada ya dakika moja.
>Utakaporejea safari yako utayakuta mengine!
>
>From: "nevilletz@gmail.com" <nevilletz@gmail.com>
>To: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>; "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>Sent: Saturday, October 20, 2012 2:07:24 PM
>Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
>
>
>Nitaisikiliza,
>Niko safarini kidogo.
>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>From: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
>Date: Sat, 20 Oct 2012 09:45:18 -0700 (PDT)
>To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>ReplyTo: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
>Cc: nevilletz@gmail.com<nevilletz@gmail.com>
>Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
>
>Kaka Neville,
>Kama hukuweza kuisikiliza ile Radio Mzalendo, basi nenda hapa chini kwa maelezo zaidi juu ya ile interview ya Sheikh Farid na Salma Said ya jana usiku kwake!
>Baadae, I am sure you will join us in condemning what had happened to an innocent Revolutionary!

>http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/10/interview-ya-sheikh-farid-baada-ya.html
>
>...bin Issa.
>

>From: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>Cc: "nevilletz@gmail.com" <nevilletz@gmail.com>
>Sent: Saturday, October 20, 2012 1:07:04 PM
>Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
>
>
>Dear Kaka Neville,
>Samahani, kwani mimi sio Mkumbaruko, lakini yeye ni mtani wangu (yeye ni Mndengereko na mimi ni Mpemba) na kwahivyo nimeona bora nimsaidie,
>kwani being Saturday today I know he might be drunk by now already!
>Majibu yako are in red. 

>From: "nevilletz@gmail.com" <nevilletz@gmail.com>
>To: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>; "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>Sent: Saturday, October 20, 2012 11:11:38 AM
>Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
>
>
>John!
>Farid alisema kwamba alikuwa chini ya polisi na usalama wa Taifa. Akaahidi kwamba atazungumza zaidi leo. Kusema tu, hakutoshi kwa maana kwamba yeye binafsi si mtu pekee wa kusema huo ukweli.
>
>Nasema hivyo kwani tukio zima limegubikwa na utata wa hali ya juu. Anapaswa atwambie;
>1. Alitekwa, alilaghaiwa au alishawishiwa kuacha gari lake na kupanda la hao walaghai, washawishi au watekaji?
>    Kutoka gari la watekaji walitoka wawili wenye machine guns!
>
>2. Alikuwa na miadi nao au ilikuwaje, maana tunaona anatoka nyumbani akiwa na dereva, mara anaachana naye kwa kumtanguliza nyumbani yeye anabaki na watu akizungumza nao!
>    Mmoja akijifanya kama mwanafunzi wake alimpigia simu na akamueleza kuwa anataka akutane nae Mwalimu wake msikitini!
>
>3. Kama alitekwa alipiga kelele au alifumbwa mdomo? Kama alishawishiwa kwa vipi? Nini kilimshawishi kukubali kuondoka nao?
>    Kutokana na maelezo yake ni kuwa alipoona wawili wametoka na machine guns akaona hapakuwa na njia ya kukimbia au kupiga kelele na ikabidi asalimu amri!
>
>4. Kama ni ulaghai ni upi uliomshawishi mtu wa aina yake kulaghaika?
>    Hapakuwepo ulaghai. Watekaji meant business, else wasingelitoka na machine guns!
>
>5. Je alikuwa akiwafahamu hao jamaa alioondoka nao? Kama hapana, alikubali vipi kupanda gari tena usiku kuondoka na watu asiowafahamu?
>   Alikuwa hawafahamu hao watekaji, lakini walijitambulisha kuwa ni Usalama wa nchi na wakitaka kumuhoji kidogo!
>
>6.Muda wa saa 3 usiku ambao ni wa kuondoka kwake na kurejea kwake, ulikuwa maalum au coincidence?
>   Muda huo ndio umeme huwa unazimwa Unguja na hata ukitaka kuweka miadi na msichana basi huwa tunapendelea baada ya umeme kuzimwa!
>
>N.B.
>Garini alitiwa pingu na kuzibwa macho kwa kitambaa cheusi. Halafu gari ilielekea to the nearest R/A na ikazunguka kama mara tatu na baadae ikatokomelea mbali!
>
>...bin Issa.
>
>
>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
>Date: Sat, 20 Oct 2012 05:38:44 -0700 (PDT)
>To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>ReplyTo: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
>Cc: nevilletz@gmail.com<nevilletz@gmail.com>
>Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
>
>Kaka Neville,
>Kaka unataka waandishi wa habari gani wakusaidie ili uamini?
>Hivyo ile interview baada ya kuachiwa ya jana saa sita za usiku ya huyu Sheikh na mwandishi wa habari wa Mwananchi huiamini pia?
>Au hii interview hukuiona?
>Kama hukuiona tunakusamehe. Tafadhali isikilize vizuri kutoka hapa chini:

>http://www.zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/10/sheikh-farid-azungumza-baada-ya.html

>Vyombo vya usalama kwa huko Zanzibar hawakutenda haki. This all was unnecessary. Sasa roho 2 zishapotea bure bure!
>Kwanini tumetaka siasa za kushindana wakati sisi hatuwezi kushindana?

>Kila la kheri / Nkumba.

>
>From: "nevilletz@gmail.com" <nevilletz@gmail.com>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Cc: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>Sent: Saturday, October 20, 2012 9:20:23 AM
>Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
>
>
>Siamini kama alitekwa, inabidi walioko Zanzibar hasa waandishi wa habari watusaidie kuuliza maswali na kuchunguza!
>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>Date: Fri, 19 Oct 2012 14:23:25 -0700 (PDT)
>To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>Cc: Magiri paul<kiganyi@gmail.com>
>Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
>
>Nd. Paul,
>It doesn't make sense kama alijificha mwenyewe. Sheikh Amir Azzan alitoa ultimatum ya 26 hours na serikali imeogopa. Bila ya kumuachia damu ingelimwagika kesho Unguja!
>But, a very bad precedent has been set. SMZ shouldn't have surrendered, kwasababu na Waislamu wa Bara sasa na wao watatoa ultimatum ya kufa na kupona! Hapo sasa ndio itakuwa kazi!
>Anyway, mwenyewe kesharudi kutoka matembezi na atashughulikia kazi yake aliyopewa na wananchi!
>
>//Nkumba.
>
>From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Friday, October 19, 2012 4:46:05 PM
>Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
>
>
>Monica!
>Nadhani alikuwa amejificha tu! Kuna picha nime update akiwa anaingia kwake anaonekana mwenye furaha kabisa.
>
>BTW, ni UAMSHO haohao ndio wametoa hizi taarifa kwenye wall yao ya FB!
>
>Magiri.
>http://www.wotepamoja.com/
>
>
>2012/10/19 Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
>
>Kapatikana alikuwa wapi? tunahitaji maelezo yakutosha 
>>
>>Date: Fri, 19 Oct 2012 21:17:58 +0100
>>Subject: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
>>From: kiganyi@gmail.com
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>>http://wotepamoja.com/archives/9272#.UIG1SgoSPFU.gmail
>>--
>>Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
>>Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>>Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>> 
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>> 
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>--
>Karibu Jukwaa

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment