Wednesday 19 September 2012

[wanabidii] Visa Ya Tanzania kutoka Umoja wa ulaya

Habari wanabidii
Nina mgeni anatoka Nchi za umoja wa ulaya kuja Tz. Anapitia NBO kabla ya kutua MZA. Je mtu huyu anahitaji temporary Visa akiwa airport kubadili flight ya kutua Mza.
Wabeja sana 

0 comments:

Post a Comment