Friday 14 September 2012

[wanabidii] Video Launch: Familia Yangu by Yvonne Mwale

Yvonne Mwale anatoa video mpya

Baada ya kuwa kwenye rotation kali na video ya Fid Q, "sihitaji Marafiki", mwimbaji Yvonne Mwale anatoa video mpya. Wimbo unaitwa "Familia Yangu" ambayo ni single yake ya pili kutoka kwenye albamu yake inayoitwa "Kalamatila". Album hiyo imerekodiwa chini ya Caravan Records na tayari ipo sokooni. Inapatikani kwenye maduka ya vitabu "A Novel Idea", pamoja na iTunes.

Yvonne Mwale
Title: Familia Yangu
Album: Kalamatila (2012)
Label: Caravan Records
Director: Matthias Krämer

Videa URL [http://www.youtube.com/watch?v=EuxaXXc1aG4&feature=em-share_video_user]

"Familia Yangu" ni wimbo wa kwanza katika lugha ya kiswahili kutoka kwa Yvonne Mwale ambayo ametoka Zambia. Anasema: "Kwenye album yangu "Kalamatila" nimeimba nyimbo za lugha za nyumbani na kingerezi, ila nilipata wito wa kuimba katika lugha ya kiswahili baada ya kuhamia nchini Tanzania". Track hiyo inazungumzia changamoto inayo tokana na matatizo ya fedha kati ya mke na mume wake.

Ingawa ni muda mfupi imepita tangu Yvone Mwale alizindua album yake ya "Kalamatila", mwimbaji huyu siyo chipukizi, bali ni msanii wa muda mrefu mwenye mafanikio mbali mbali katika game la mziki. Mwaka 2009 alishinda tuzo ya "Msani Bora wa Upcoming" Kwenye Zambia Music Awards. Baada ya kupata tuzo hilo alishinda tuzo ya Music Cross Roads (Afrika nzima) na bendi yaki Nyali Band na akaendelea kufanya tour nchi tisa Ulaya. Alivorudi alipata nafasi ya kupaform na Oliver Mtukudzi Malawi kwenye Tamasha inayoitwa "Lake of Stars".

Baada ya kufika Tanzania alipata nafasi kupaform na wasani mbali mbali wakiwemo, Mzungu Kichaa na Fid Q na wasanii wakimataifa kama, Maya Azucena, Bobby Rickets na Dobet Gnahoré. Mwezi uliyopita alishinda nafasi ya pili katika shindano la Mziki - Jahazi Jazz Music Competition.

Hivi sasa, Yvonne Mwale anarekodi na wasanii mbali mbali kutoka bara la Afrika na management yako wana andaa show kadhaa mwishoni mwa mwaka huu.

"Familia Yangu" na album yake Kalamatila zinapatikana iTunes: http://itunes.apple.com/us/artist/yvonne-mwale/id504536758

Pia unaweza kujiunga na msanii huyu kwenye Facebook: http://www.facebook.com/YvonneMwaleMusic au kutembelea kwenye tovuti yakehttp://www.yvonnemwale.com


FOR MORE INFO, PRESS PICTURES AND TO ARRANGE AN INTERVIEW, PLEASE CONTACT CARAVAN RECORDS MANAGEMENT ON CRTANZANIA@GMAIL.COM


ENGLISH - 
Yvonne Mwale releases new video 

After being on heavy rotation with Fid Q's "Sihitaji Marafiki", songstress Yvonne Mwale is releasing a new video. The song "Familia Yangu" is her second single from her album "Kalamatila" that was released earlier this year on Caravan Records. It is available in all "Novel Idea" bookshops and iTunes.

Yvonne Mwale
Title: Familia Yangu
Album: Kalamatila (2012)
Label: Caravan Records
Director: Matthias Krämer

Videa URL [http://www.youtube.com/watch?v=EuxaXXc1aG4&feature=em-share_video_user]

"Familia Yangu" is the first song that the Zambian singer has recorded in Swahili. She says: "Most of my songs are written in the local languages of Zambia, sometimes mixed with English. But after coming to Tanzania I felt I needed to record something in Swahili as well." The new track is about the challenges that money can bring in a relationship.

Although it hasn't been more than a year since she released her debut album, Yvonne is not a new musician at all and can look back on a solid career in music. She won an award as "Best Upcoming Artist" in 2009. The same year she won the Music Crossroads Competition. In 2010 she toured eight countries in Europe and performed at the Lake of Stars Festival alongside Oliver Mtukuzi. In Tanzania she has gained recognition through a string of successful concerts, sharing the stage with the likes of Mzungu Kichaa, Fid Q, and international acts such as Maya Azucena, Bobby Rickets and Dobet Gnahoré. Just a few months ago she won the second prize in the Jahazi Jazz music competition, which included a cash prize and a chance to perform at the Jahazi Jazz festival in Zanzibar.

Currently, Yvonne is recording collaborations with artists from all over Africa and is set to start touring again at the end of this year.

The song "Familia Yangu" is available as part of her album "Kalamatila" on iTunes: http://itunes.apple.com/us/artist/yvonne-mwale/id504536758

You can follow her on Facebook here: http://www.facebook.com/YvonneMwaleMusic or visit http://www.yvonnemwale.com.

FOR MORE INFO, PRESS PICTURES AND TO ARRANGE AN INTERVIEW, PLEASE CONTACT CARAVAN RECORDS MANAGEMENT ON CRTANZANIA@GMAIL.COM

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment