Tuesday 11 September 2012

[wanabidii] FW: MWALIKO WA KUHUDHURIA GDSS YA TAREHE 12/9/2012

 

 

From: Demetria Kalogosho [mailto:demetria.kalogosho@tgnp.org]
Sent: Tuesday, September 11, 2012 5:47 PM
To: shivyawata@yahoo.com; info@utsstz.com; umivita05@yahoo.com; act@accountability.or.tz; bracken-deaf09@live.com
Cc: 'Demetria Kalogosho'; 'Anna Sangai'
Subject: MWALIKO WA KUHUDHURIA GDSS YA TAREHE 12/9/2012

 

 

Salaam Toka Mtandao wa jinsia Tamzania (TGNP)!

 

TGNP inakukaribisha kuhudhuria na kushiriki katika kongamano lililoandaliwa na Mtandao wa Watetezi haki za binadamu ili kujadili hali ya haki za binadamu nchini Tanzania, uhuru wa kupata habari na tishio la usalama kwa watetezi wa haki za bindamu. Kongamano hilo litakalofanyika katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia (TGNP) Mabibo Dar es Salaam siku ya Jumatano tarehe 12 Agosti, 2012 kuanzia saa 4:00 mpaka saa 7:00 mchana. Kongamano  ni la wazi kwa jamii yote bila kujali jinsia, itikadi za vyama wala dini, umri, nk.  Huduma ya ukalimani kwa wasiosikia itakuwepo. Usafiri ni wa kujitegemea.Tamko la kongamano na bango vimeambatanishwa. Demetria Kalogosho

 

0 comments:

Post a Comment