Thursday 27 September 2012

Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo

Denis,

Katika hoja ya miaka 39 Mhe. Zitto anasema Katiba itakuwa imebadilika na kuruhusu kwa umri huo aweze kugombea. Lakini kaongeza kwamba ni pale tu chama chake cha CHADEMA kitakapomruhusu. Asiporuhusiwa hatakuwa na tatizo. Unaonaje hapo eng.

K.E.M.S.

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, 27 September 2012, 23:19
Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo

Nini kimebadilika? Nilidhani Mh. huyu ashawahi kutamka kuwa yeye 2015 hataweza kugombea kwa kuwa atakuwa na miaka 39? Na vipi kuhusu lile dongo la CHADEMA kwa CCM kuwa wao hawana muda wakuzungumzia kugombea urais bali wanachofanya ni kutumikia wananchi kwa sasa?
 
2012/9/28 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
Hakuna dhambi ya kutangaza nia ya kugombea nafasi yoyote ya chama hasa ikiwa matakwa ya kikatiba (katiba ya chama) kama yamefuatwa, kama katiba haikufuatwa hapo ndio iwe tatizo.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: samson charles <samchaz307@gmail.com>
Date: Fri, 28 Sep 2012 08:50:33 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo

naamini.............. anaweza

2012/9/28 John George <georgejn2000@gmail.com>

Nampa hongera Mh. Zitto kwa uamuzi huo. Anaweza kuwa Rais

2012/9/28 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
"Nimefanya kazi kubwa katika kazi yangu ya ubunge, nimeleta mabadiliko mengi kuanzia bungeni mpaka jimboni. Nadhani inatosha na hata nikiongezewa miaka mingine sitaweza kufanya yale yaliyonishinda katika kipindi cha miaka kumi. "Kama Mungu ataniweka mpaka mwaka 2015, sitagombea ubunge tena kwa sababu kazi niliyofanya inatosha. Natangaza rasmi kuwa nitagombea urais kupitia chama changu cha Chadema, bila kusababisha msuguano wowote na sitaki kuingia katika historia ya kurudisha nyuma harakati za upinzani kushika dola," alisema Zitto.
http://wotepamoja.com/archives/7516#.UGUpr1ZTOfU.gmail --
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--

Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment