Thursday 27 September 2012

Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo

Sina tatizo na uamuzi wake, ingawa si mara ya kwanza kusema hatagombea
ubunge tena

Kama sijasahau mwaka 2009 alisema asingegombea tena ubunge 2010, asije
kama kina Msekwa kutangaza asingegombea tena uspika baadye akataka
tena

Kiukweli jamaa uwezo anao wa kuwa rais ingawa sina uhakika kama ana
dhamira zilizojificha

2012/9/27 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>:
> Mhandisi KEMS,
>
> Mimi binafsi siamini katika mfumo wa kuweka "tela" mbele ya punda! Mimi
> mwenyewe kuna mipnago yangu ya kisiasa niliyonayo ambayo haiwezekani kutimia
> ndani ya katiba hii na ninategemea kuwa labda, labda hayo mabadiliko ya
> katiba yataweza kubadilisha vipengele hivyo!
>
> Unaona itakuwa na mantiki gani mhandisi kwa mimi kutangaza kugumbea ubunge
> kama mgombea binafsi 2015 eti tu kwa kuwa na-hope kuwa katiba mpya itaruhusu
> ugombea binafsi?
>
> 2012/9/28 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>>
>> Denis,
>>
>> Katika hoja ya miaka 39 Mhe. Zitto anasema Katiba itakuwa imebadilika na
>> kuruhusu kwa umri huo aweze kugombea. Lakini kaongeza kwamba ni pale tu
>> chama chake cha CHADEMA kitakapomruhusu. Asiporuhusiwa hatakuwa na tatizo.
>> Unaonaje hapo eng.
>>
>>
>>
>> K.E.M.S.
>> ________________________________
>> From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Thursday, 27 September 2012, 23:19
>>
>> Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo
>>
>> Nini kimebadilika? Nilidhani Mh. huyu ashawahi kutamka kuwa yeye 2015
>> hataweza kugombea kwa kuwa atakuwa na miaka 39? Na vipi kuhusu lile dongo la
>> CHADEMA kwa CCM kuwa wao hawana muda wakuzungumzia kugombea urais bali
>> wanachofanya ni kutumikia wananchi kwa sasa?
>>
>>
>> 2012/9/28 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
>>
>> Hakuna dhambi ya kutangaza nia ya kugombea nafasi yoyote ya chama hasa
>> ikiwa matakwa ya kikatiba (katiba ya chama) kama yamefuatwa, kama katiba
>> haikufuatwa hapo ndio iwe tatizo.
>> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>> ________________________________
>> From: samson charles <samchaz307@gmail.com>
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Fri, 28 Sep 2012 08:50:33 +0300
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: Re: [wanabidii] Zitto: Ubunge sasa basi - Mwanzo
>>
>> naamini.............. anaweza
>>
>> 2012/9/28 John George <georgejn2000@gmail.com>
>>
>>
>> Nampa hongera Mh. Zitto kwa uamuzi huo. Anaweza kuwa Rais
>>
>> 2012/9/28 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>>
>> "Nimefanya kazi kubwa katika kazi yangu ya ubunge, nimeleta mabadiliko
>> mengi kuanzia bungeni mpaka jimboni. Nadhani inatosha na hata nikiongezewa
>> miaka mingine sitaweza kufanya yale yaliyonishinda katika kipindi cha miaka
>> kumi. "Kama Mungu ataniweka mpaka mwaka 2015, sitagombea ubunge tena kwa
>> sababu kazi niliyofanya inatosha. Natangaza rasmi kuwa nitagombea urais
>> kupitia chama changu cha Chadema, bila kusababisha msuguano wowote na sitaki
>> kuingia katika historia ya kurudisha nyuma harakati za upinzani kushika
>> dola," alisema Zitto.
>> http://wotepamoja.com/archives/7516#.UGUpr1ZTOfU.gmail --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>> --

>> Wasalaam
>>
>> Denis Matanda,
>> Mine Supt,
>> Nzega - Tanzania.
>>
>> " Low aim, not failure, is a crime"

> --
> Wasalaam
>
> Denis Matanda,
> Mine Supt,
> Nzega - Tanzania.
>
> " Low aim, not failure, is a crime"
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment