Tuesday 11 September 2012

Re: [wanabidii] YA : Kuacha Kazi Idarani

Hivi ni nani asiyemfahamu Yona kwa tabia yake ya kutujaribu kwa mawasiliano yake yanayokuwa na sura kama yalikuwa mawasiliano binafsi ambayo hayakukusudiwa kuja kwetu. Kati ya hizo ni ile ya 'Kontena Bandarini' ila si nia yangu kukumbusha mjadala ule.
Hii ni "chemsha bongo" ametuletea ili tuanze kujadili wakati mambo mengine yanaendelea sambamba.
Heko Yona ila kama unaingia mtaani kaa vema na watu kama akina Mhe. Kamuhanda
 
Novat

From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, September 11, 2012 2:41 PM
Subject: Re: [wanabidii] YA : Kuacha Kazi Idarani
Hii ni mara ya pili Yona anaaga!

Kazi za idarani huwa haziachwi!
 
-------
My mission is to acquire, produce and disseminate knowledge on and about humanity as well as divinity, especially as it relates to Africa, in a constructive and liberating manner to people wherever they may be.

Address: 41 Banks Street # 1, Cambridge, MA 02138 USA
Cellphone: US = +1 (857) 413 - 9521/TZ = +255754771763
Skype: chambi100
Twitter: @Udadisi

From: heche suguta <hechesuguta29@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, September 11, 2012 7:37 AM
Subject: Re: [wanabidii] YA : Kuacha Kazi Idarani
Idara ziko nyingi...maanake hii ya usalama wa Taifa siku hz kila mtu anajitangaza yumo sasa hata hatuelewi imeajili watu woote ama...

From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, September 11, 2012 4:32 AM
Subject: Re: [wanabidii] YA : Kuacha Kazi Idarani
Idara ya Usalama au?

--- On Mon, 9/10/12, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] YA : Kuacha Kazi Idarani
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, September 10, 2012, 10:35 PM

Kila la heri ingawa sielewi unazungumzia nini kwa kusema "IDARANI"!  Au idara ni UWT?
2012/9/11 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Husika Na Kichwa cha Habari Hapo Juu

Napenda kuwajulisha wafanyakazi wenzangu na wadau wengine wa mitandao
ya kijamii niliokuwa nafanya nao kazi mbalimbali zinazohusu idara
usiku na mchana kuhakikisha tunakuwa salama zaidi na tunafungua
milango zaidi kwa watanzania wenzetu sehemu mbalimbali duniani .

Kwamba ninaondoka rasmi idarani kuanzia tarehe 15 mwezi wa 9 mwaka
2012 , ili kwenda kushugulika na masuala mengine ulimwenguni , Hii
imetokea baada ya mimi mwenyewe binafsi kwa hiari yangu kuomba kuacha
kazi na ombi langu kukubaliwa

Nawatakia mafanikio wale waliobaki na wengine wanaoendelea na masomo
sehemu mbalimbali warudi nyumbani kujenga nchi yao na wale
wanaotarajiwa kuanza siku za karibuni nawatia moyo wa kizalendo .

Ahsanteni sana wote kwa kuniunga mkono wakati wote nikiwa idarani hata
pale nilipokuwa naanguka kuna ambao walininyanyua na kunielekeza njia
na nilipokuwa katika wakati mgumu wengine walinionyesha njia pia ,
wote nawashukuru haswa walimu na wakufunzi wengine mbalimbali .

Nimetakiwa kutotoa taarifa hii lakini nimeonelea ni vizuri watu wa
karibu kujua kwa njia hii ya wazi .

--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

0 comments:

Post a Comment