Idara ya Usalama au?
--- On Mon, 9/10/12, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] YA : Kuacha Kazi Idarani To: wanabidii@googlegroups.com Date: Monday, September 10, 2012, 10:35 PM
Kila la heri ingawa sielewi unazungumzia nini kwa kusema "IDARANI"! Au idara ni UWT? 2012/9/11 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> Husika Na Kichwa cha Habari Hapo Juu
Napenda kuwajulisha wafanyakazi wenzangu na wadau wengine wa mitandao ya kijamii niliokuwa nafanya nao kazi mbalimbali zinazohusu idara usiku na mchana kuhakikisha tunakuwa salama zaidi na tunafungua milango zaidi kwa watanzania wenzetu sehemu mbalimbali duniani .
Kwamba ninaondoka rasmi idarani kuanzia tarehe 15 mwezi wa 9 mwaka 2012 , ili kwenda kushugulika na masuala mengine ulimwenguni , Hii imetokea baada ya mimi mwenyewe binafsi kwa hiari yangu kuomba kuacha kazi na ombi langu kukubaliwa
Nawatakia mafanikio wale waliobaki na wengine wanaoendelea na masomo sehemu mbalimbali warudi nyumbani kujenga nchi yao na wale wanaotarajiwa kuanza siku za karibuni nawatia moyo wa kizalendo .
Ahsanteni sana wote kwa kuniunga mkono wakati wote nikiwa idarani hata pale nilipokuwa naanguka kuna ambao walininyanyua na kunielekeza njia na nilipokuwa katika wakati mgumu wengine walinionyesha njia pia , wote nawashukuru haswa walimu na wakufunzi wengine mbalimbali .
Nimetakiwa kutotoa taarifa hii lakini nimeonelea ni vizuri watu wa karibu kujua kwa njia hii ya wazi . -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
-- Wasalaam Denis Matanda, Mine Supt, Nzega - Tanzania. " Low aim, not failure, is a crime" -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment