Thursday 13 September 2012

Re: [wanabidii] YA : Kuacha Kazi Idarani

Nilishawahi kuandika humu kumhusu Yona na jinsi ambavyo anapenda kuchezea akili za watu. Naona bado anendelea kufanya hivyo, na wengi bado wanaingia mtegoni. Iwe Idara, Kitivo, Skuli, Chuo, Bewa.... ngoja tu aende jamani. Wala hana haja ya kutufafanulia - na najua hatafafanua!

2012/9/13 Fred Alphonce <fredrick197958@yahoo.com>
Kwani Yona ulikuwa unafanya kazi Idara gani (maana unaaga na sisi unatulisha jukwaani wakati hatujua unafanya kazi idara gani na waenda idara gani)

Ni vema ungeweka wazi ili huko unakokwenda unaweza kutuunganisha wengine au hata huko ulikotoka twaweza kupata taarifa rasmi za kutusaidia kutoka kwako kama mwanajukwaa mwenzetu. 

Yona naomba uwe wazi
Fred

From: Abby Mrisho <abbymrisho@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, September 11, 2012 5:23 PM

Subject: Re: [wanabidii] YA : Kuacha Kazi Idarani

"Kwamba ninaondoka rasmi idarani kuanzia tarehe 15 mwezi wa 9 mwaka
2012 , ili kwenda kushugulika na masuala mengine ulimwenguni "...tuweke wazi unakokwenda!

2012/9/11 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Husika Na Kichwa cha Habari Hapo Juu

Napenda kuwajulisha wafanyakazi wenzangu na wadau wengine wa mitandao
ya kijamii niliokuwa nafanya nao kazi mbalimbali zinazohusu idara
usiku na mchana kuhakikisha tunakuwa salama zaidi na tunafungua
milango zaidi kwa watanzania wenzetu sehemu mbalimbali duniani .

Kwamba ninaondoka rasmi idarani kuanzia tarehe 15 mwezi wa 9 mwaka
2012 , ili kwenda kushugulika na masuala mengine ulimwenguni , Hii
imetokea baada ya mimi mwenyewe binafsi kwa hiari yangu kuomba kuacha
kazi na ombi langu kukubaliwa

Nawatakia mafanikio wale waliobaki na wengine wanaoendelea na masomo
sehemu mbalimbali warudi nyumbani kujenga nchi yao na wale
wanaotarajiwa kuanza siku za karibuni nawatia moyo wa kizalendo .

Ahsanteni sana wote kwa kuniunga mkono wakati wote nikiwa idarani hata
pale nilipokuwa naanguka kuna ambao walininyanyua na kunielekeza njia
na nilipokuwa katika wakati mgumu wengine walinionyesha njia pia ,
wote nawashukuru haswa walimu na wakufunzi wengine mbalimbali .

Nimetakiwa kutotoa taarifa hii lakini nimeonelea ni vizuri watu wa
karibu kujua kwa njia hii ya wazi .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Abdallah Mrisho 'Abby'
General Manager
Global Publishers Ltd
P. O. BOX 7534
DAR ES SALAAM TANZANIA
mobile: +255 713 839 363
Please visit me at:
www.abdallahmrisho.blogspot.com, www.globalpublisherstz.com
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment