Tuesday 11 September 2012

Re: [wanabidii] YA : Kuacha Kazi Idarani

Hii taarifa ni ya Maro au kuna mtu kampa aiweke hapa, sijaielewa kabisa kama Eng. matanda ambavyo hajaielewa. Tusaidie ni nini hiki.

K. E.M.S.

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, 11 September 2012, 3:35
Subject: Re: [wanabidii] YA : Kuacha Kazi Idarani

Kila la heri ingawa sielewi unazungumzia nini kwa kusema "IDARANI"!  Au idara ni UWT?

2012/9/11 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Husika Na Kichwa cha Habari Hapo Juu

Napenda kuwajulisha wafanyakazi wenzangu na wadau wengine wa mitandao
ya kijamii niliokuwa nafanya nao kazi mbalimbali zinazohusu idara
usiku na mchana kuhakikisha tunakuwa salama zaidi na tunafungua
milango zaidi kwa watanzania wenzetu sehemu mbalimbali duniani .

Kwamba ninaondoka rasmi idarani kuanzia tarehe 15 mwezi wa 9 mwaka
2012 , ili kwenda kushugulika na masuala mengine ulimwenguni , Hii
imetokea baada ya mimi mwenyewe binafsi kwa hiari yangu kuomba kuacha
kazi na ombi langu kukubaliwa

Nawatakia mafanikio wale waliobaki na wengine wanaoendelea na masomo
sehemu mbalimbali warudi nyumbani kujenga nchi yao na wale
wanaotarajiwa kuanza siku za karibuni nawatia moyo wa kizalendo .

Ahsanteni sana wote kwa kuniunga mkono wakati wote nikiwa idarani hata
pale nilipokuwa naanguka kuna ambao walininyanyua na kunielekeza njia
na nilipokuwa katika wakati mgumu wengine walinionyesha njia pia ,
wote nawashukuru haswa walimu na wakufunzi wengine mbalimbali .

Nimetakiwa kutotoa taarifa hii lakini nimeonelea ni vizuri watu wa
karibu kujua kwa njia hii ya wazi .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment