Monday, 24 September 2012

Re: [wanabidii] VING'AMUZI VYA ITV NA STAR TV.

Waliweka itv, startv, na eatn halafu baadae wakazitoa bila hata kueleza sababu, niliposoma kwenye makarabrasha yao nikakuta mkataba wao una sema "startimes wana weza kutoa au kuongeza channel zozote bila kutoa taarifa" nikawa mpole.

Nashindwa kuelewa kuwa jukumu la TCRA kwanye swala la mawasiliano na habari linakomea wapi! Ni ubabaishaji kwa kwenda mbele kupitia mikataba ya kilofa.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: monica muhandikila <mikamocy@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 24 Sep 2012 00:25:48 -0700 (PDT)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] VING'AMUZI VYA ITV NA STAR TV.

HII KITU INANICHANGANYA SANA. KWA MAANA HIYO MAJUMBANI TUTATAKIWA KUWA NA VING'AMUZI VINGAPI ILI KUWEZA ONA LOCAL CHANNEL ZOTE? MIE NATUMIA STARTIME ILA SINA ACCESS YA KUONA ITV, STAR TV NA ATN.

From: Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, September 23, 2012 11:45 PM
Subject: Re: [wanabidii] VING'AMUZI VYA ITV NA STAR TV.

Kuna Kipindi TCRA walitupa semina ya Vingamuzi,na walisema hadi Julai
ni Kampuni tatu tu zilikuwa zimepewa Leseni ya kuwa na mitambo ya
digital
1.Agape
2.Startimes
3.Zuku
kwa maelezo ya TCRA ni kwamba local chanels zote ambazo awali tulikuwa
tunaziona bure,lazima kwenye digital ziendelee kuwa Bure yaani
Startimes na wenzake waweke Itv,tbc,startv bure,tulivyowahoji TCRA kwa
nini hizo chanel hazipo wakajibu kwa urahisi sana kuwa eti Startimes
waliingiza decoda ambazo tayari walishaziprogram kuchaji chanelz
zote...

On 9/23/12, Mohamedi  Mtoi <mouddymtoi@gmail.com> wrote:
>
> Nakumbuka kulikuwa na mpango wa kuanzisha kwa pamoja king'amuzi cha channel
> za itv na star tv. Mwenye taarifa naomba anifahamishe mpango huo umefikia
> wapi maana jamaa zetu zetu startimes waliziweka channel hizo na sasa
> wamezing'oa kabisa.
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>


--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment