Thursday 13 September 2012

Re: [wanabidii] UTATA KUHUSU URAIA WA SHEIKH PONDA

Naomba kuuliza siku hizi wenye wajibu wa kuthibitisha Uraia wa mtu Idara gani?
Hata Bakwata nao????

Fatma

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

-----Original Message-----
From: Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 13 Sep 2012 13:01:52
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] UTATA KUHUSU URAIA WA SHEIKH PONDA

This is another silly season movie part 4! Kwani miaka yote hiyo
alivyo kuwa anawasumbua hawakufuatilia uraia wake?! Wanajua kuwa
watanzania tunaenshwa na matukio, wanatumia uzia huo kupenyeza uzushi
kama walivyo fanya kwa wanasiasa kadhaa walivyokuwa wanataka kutimiza
malengo yao..

On 9/13/12, gm26may@gmail.com <gm26may@gmail.com> wrote:
>
> Je, Ni kweli kuwa raia wa mahala fulan ni lazima uwe na mjomba au shangazi?
>
> Vip kuhusu watoto wanaookotwa majalalan na hivyo kuishia kulelewa kwenye
> vituo vya watoto yatima au na wasamaria wema je wanawajua baba zao wadogo au
> mama zao wakubwa?
>
> Siku njema
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> -----Original Message-----
> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thu, 13 Sep 2012 02:29:42
> To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: [wanabidii] UTATA KUHUSU URAIA WA SHEIKH PONDA
>
> Ndugu zangu
>
> Nimesikia katika vyombo vya habari kwamba Baraza la waislamu Tanzania
> limetamka kwamba Mwanaharakati maarufu wa kiisilamu tanzania Sheikh
> Issa Ponda sio raia kwa sababu hana mjomba wala shangazi .
>
> Pamoja na Tuhuma hizi Sheikh Issa ponda mwenyewe hajaja mbele kuuambia
> umma kuhusu utata wa uraia wake , mimi nafikiri ni wakati mzuri kwa
> sheikh ponda kuthibitisha uraia wake kwa kutoa nyaraka muhimu mapema .
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
Mobile: +255 (0) 713 24 67 64
Alternative: +255 784 24 67 64
Skype: Mohamedi.Mtoi
Facebook: Mohamedi Mtoi
Twitter: @mohamedimtoi
Jf: Mohamedi mtoi

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment