Friday 14 September 2012

Re: [wanabidii] UTATA KUHUSU URAIA WA SHEIKH PONDA

tanzania, watanzania na mambo yasiyokuwa ya msingi. nadhani ni mda umefika tuwe good analysts   inakuwaje mtu anakuwa kati yetu, tunampa uongozi na baadaye tunakuja kusema sio raia??? that is stupidity!!!!

From: john mushi <mushijohn@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, September 14, 2012 9:46 PM
Subject: Re: [wanabidii] UTATA KUHUSU URAIA WA SHEIKH PONDA

Wala Ponda hana haja kuthibitisha. Kwani walikuwa wapi wasijue kuwa sio Raia? leo ndio kaingia?

From: Romman Majura Mugangaji <mwalimu.wa.zamu@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, September 14, 2012 9:38 AM
Subject: Re: [wanabidii] UTATA KUHUSU URAIA WA SHEIKH PONDA

Wanabidii,

Ponda has for years been a menace. That much I agree,

Bakwata baada ya kumaliza kumtumia kufanya kazi chafu sasa wanamtupia
zigo la uraia. Na sisi bila kufikiri vizuri tutaanza kushabikia.

Serikali itumie nguzu zake kushughulikia uhalifu anaoufanya siyo
kuanza propaganda kwa kupitia bakwata. Wote tunajua na tunakumbuka
jinsi serikali ya CCM ilivyomfanyia Jenerali Ulimwengu baada ya kuona
amekuwa threat.

Leo utamshangilia Ponda kunyanyaswa kwa kigezo cha uraia, kesho
itakuwa zamu yako as long as unainyooshea kidole CCM.

Think!

On 9/13/12, alex manonga <manonga2003@yahoo.com> wrote:
> Nakubaliana na wewe kabisa. Hii ni tabia ya kijinga sana inayotumia na watu
> walioishiwa hoja.
>
>
> ________________________________
>  From: "gm26may@gmail.com" <gm26may@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Thursday, September 13, 2012 12:54 PM
> Subject: Re: [wanabidii] UTATA KUHUSU URAIA WA SHEIKH PONDA
>
>
> Je, Ni kweli kuwa raia wa mahala fulan ni lazima uwe na mjomba au shangazi?
>
> Vip kuhusu watoto wanaookotwa majalalan na hivyo kuishia kulelewa kwenye
> vituo vya watoto yatima au na wasamaria wema je wanawajua baba zao wadogo au
> mama zao wakubwa?
>
> Siku njema
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> -----Original Message-----
> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thu, 13 Sep 2012 02:29:42
> To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: [wanabidii] UTATA KUHUSU URAIA WA SHEIKH PONDA
>
> Ndugu zangu
>
> Nimesikia katika vyombo vya habari kwamba Baraza la waislamu Tanzania
> limetamka kwamba Mwanaharakati maarufu wa kiisilamu tanzania Sheikh
> Issa Ponda sio raia kwa sababu hana mjomba wala shangazi .
>
> Pamoja na Tuhuma hizi Sheikh Issa ponda mwenyewe hajaja mbele kuuambia
> umma kuhusu utata wa uraia wake , mimi nafikiri ni wakati mzuri kwa
> sheikh ponda kuthibitisha uraia wake kwa kutoa nyaraka muhimu mapema .
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
*"The Will of God will never take you where the Grace of God can not protect
you"*
**
*Majura Mugangaji,*
*Commercial Farmer,*
*Morogoro,*
*Tanzania*

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment