Thursday 13 September 2012

Re: [wanabidii] UTATA KUHUSU URAIA WA SHEIKH PONDA

Hoja muflisi hiyo unayotoa Yona. Mtu akija tu akakuita wewe ni mwendawazimu basi linakuwa ni jukumu lako wewe kwenda kufanya vipimo kwa madaktari kuthibitisha kuwa wewe si mwendawazimu? Come on man, tunatakiwa tuwe above this level of reasoning.
 
Sheikh Ponda kama unausoma ujumbe huu mahali, nakuomba usijisumbue kuthibitisha chochote. Hao wanaokutuhumu ndio wenye jukumu la kutoa uthibitisho!

2012/9/13 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu zangu

Nimesikia katika vyombo vya habari kwamba Baraza la waislamu Tanzania
limetamka kwamba Mwanaharakati maarufu wa kiisilamu tanzania Sheikh
Issa Ponda sio raia kwa sababu hana mjomba wala shangazi .

Pamoja na Tuhuma hizi Sheikh Issa ponda mwenyewe hajaja mbele kuuambia
umma kuhusu utata wa uraia wake , mimi nafikiri ni wakati mzuri kwa
sheikh ponda kuthibitisha uraia wake kwa kutoa nyaraka muhimu mapema .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment