Tuesday 18 September 2012

Re: [wanabidii] UJUMBE WA RICHARD TAMBWE HIZZA KWA WATANZANIA



     Jamani, jamani imetosha!  Huyu mheshimiwa msamehe bure , kwani hajui alitendalo! Hata kwenye Biblia takatifu imeandikwa, nanukuu ( BABA BABA WASAMEHE WATU HAWA, KWANI  HAWAJUI WALITENDALO)  mwisho wa kunukuu. Afadhali M`nyezi Mungu akunyime pesa kuliko busara!
         Amina.
                     Idriss Mussa

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment