Thursday 27 September 2012

Re: [wanabidii] ufugaji wa samaki

Sam nashukuru kwa kuliona hili, pamoja na kukupa namba ni vyema tukapata muda wa kuongea ili nikupatie mengi ya kuinufaisha jamii, kwani kukaa na jambo ambalo linatakiwa kuifia jamii kwa wakati nadhani ni mapungufu. Namba yangu ni 0784 662421/0655 662421/0717537070

--- On Thu, 9/27/12, samson charles <samchaz307@gmail.com> wrote:

From: samson charles <samchaz307@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] ufugaji wa samaki
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, September 27, 2012, 10:49 PM

naomba namba yako ya simu ili tukutumie kama mfani kwenye kipindi chetu hapa e.a.radio

2012/9/28 fidelis mugasha <cfkitabu@yahoo.com>
Nimeona ni vyema niwajulishe suala hili muhimu la ufugaji wa samaki, kimsingi watanzania tumekuwa na vyanzo vingi vya utajiri lakini tumekuwa hatutaki kuvituia au pale tunapokuwa tayari kuvitumia basi fulsa inakuwa sio sawa kwa wote. Sikia sasa mimi nimeanzisha mradi wa kuzalisha vifaranga wa samaki aina ya sato wa ziwa victoria ambao wanafugika katika mazingira haya na kukua (kufikia kilo moja) baada ya miezi sita. Hivyo ni vyema ukaja kuangalia wazo ambalo aliliasisi baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipowasaidia ndugu zetu wa Vietnam na Malasia vifaranga wa samaki kutoka mto nile ili kuwakomboa na umaskini na vilevile mwaka 1968 aliposimamia zoezi la uchimbaji wa mabwawa 8000 sehemu mbalimbali za nchi. Hivyo njoo ujionee na tusaidia katika kumkomboa Mtanzania katika wimbi la umaskini. Njoo ujifunze kuchimba bwawa dogo na kubwa kutokana na uwezo wako, jifunze kutengeneza chakula cha samaki, jifunze kulisha na uyajue masoko ili baada ya miezi sita tufungue ukurasa mpy wa maisha ambao utatuwezesha kuwasaidia watoto, kinamama kwa lishe na pato stahiki

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment