Wednesday 12 September 2012

Re: [wanabidii] UFA USIOZIBIKA SEREKALI YA JK-2012 Mwaka wa Kihistoria

Ndugu James Patrick umenena, ni kweli tunao ufa usiozibika kwa sababu
watendaji wameamua nisijue ni kwa makusudi au kwa upeo wao wa akili
wameona njia sahihi ya kuwafanya kukaa ikulu milele yote ni
chinjachinja. Matukio uliyoyaorodhesha yanafahamika kwa kila mtanzania
anayefuatilia kwa makini mambo muhimu yanayoisibu nchi yake.

Kwa leo naomba nijadili kidogo kuhusu hili la mauaji ya kupangwa ya
mwandishi David Mwangosi. Leo tumeambiwa polisi aliyeua amevuliwa
upolisi akapelekwa uraiani na kufikishwa mahakamani. Hivi watanzania
tumekuwa wajinga na wapumbavu kiasi gani kuiona serikali imechukua
hatua ya makusudi kuzuia uharamia huo?

Picha ya tukio zima tumeipata na tunaelewa kilichofanyika tangu
waandishi wa habari wanakutana na RPC wa Iringa hadi mauaji. Hivi
inakuja akilini kuambiwa polisi aliyeua amefikishwa kwa pilato bila
kuwawajibisha mashetani (mabosi wake) pamoja na majambazi wenzie
alioshirikiana nao kumtesa (brutality) na mwisho kumuua Mwangosi?
Tutakuwa wajinga na wapumbavu wa kupindukia kukubali udanganyifu huo.

Mheshimiwa Kikwete thinktank yako ni hewa rudi nyuma uangalie vizuri
la sivyo nchi unaitumbukiza kwenye dimbwi la damu


2012/9/12 James Patrick <mimiwewetz@gmail.com>:
> Hello Wandugu,
>
> Nimeguswa sana na mambo kadhaa yanayolikumba Taifa langu,
>
> Nimeandika mada hii kwa mtazamo wangu, nadhani itawafikia wahusika
>
> Thanks
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment