Friday, 14 September 2012

Re: [wanabidii] TUACHE KUDANDIA MISAFARA BARABARANI

Monica,
 
Wakati mwingine inahitaji mahesabu kama hayo ili kuondokana na foleni zinazosababishwa na wajinga wachache wanaobabaika kutumia barabara wakati wana space kuuuuubwa mbele na kutuzia pasi sababu. Ikitokea fursa kama hiyo, mtu unaona upige sensa magari kadhaa ili uwahi kabla hujachelewa.

--- On Fri, 9/14/12, Jonas Kiwia <jonaskiwia39@gmail.com> wrote:

From: Jonas Kiwia <jonaskiwia39@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] TUACHE KUDANDIA MISAFARA BARABARANI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, September 14, 2012, 5:56 AM

word

2012/9/13 <gm26may@gmail.com>

Ni kweli kabisa dada !

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
Date: Thu, 13 Sep 2012 11:25:31 +0000
To: Wanabidii googlegroup<wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] TUACHE KUDANDIA MISAFARA BARABARANI

Kuna jambo ambalo watu wanataka kulizoea hapa mjini, hasa linapopita gari la wagonjwa (ambulance) watu wasiohusika hujiunga na msafara wa gari hilo au kama ni msafara wa viongozi utaona baadhi ya madereva wasiokuwamo kwenye huo msafara wanaunga na wao kwenye msafara. Jamani hii ni hatari waweza kujikuta kwenye matatizo ya kuvamia msafara au kusababisha ajali pale msafara unapoingia njia ambayo wewe huelekei.
Leo asubuhi nimeshuhudia katika barabara ya Alli Hassan Mwinyi pikipki ya polisi ilipita ikisafisha njia halafu yakapita magari kama 3 hivi na baadaye magari yasiohusika yakajiunga. Msafara ulipofika pale St. Peter ukaelekea Oysterbay sasa wale waungaji walikuwa wanenda mjini pale walibabaika sana karibu wagongane wao kwa wao. Wito tuache kujiunga kwenye misafari isiyotuhusu itakuja kutugharimu.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Jonas Kiwia  |  Director
Speedy Computers
Tel:+255 754882825  |  Cell: +255 715882825 | 
P.O.Box: 55133  |  Dar esSalaam  |  Tanzania
Email:jonaskiwia39@gmail.com  URL:www.speedycomputersonline.com
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment