Monday 24 September 2012

Re: [wanabidii] SEIF SHARRIF HAMAD APASUWA BOMU!!!

Kelele  za  chura  hazimzuii  ngombe   kunywa  maji.  huyu  mzee  ameishiwa.  Mjomba   ake  karume  alimpa  kila  kitu  kama  waziri  kiongozi  wa  zamani.  Wakata  kumng'oa   wakamfukuza   mama  magimbi  kisa  kuwa  mkweli.  Jamaa  mwingine  akasema  huyu  hatufai  na  nitagombea  ukatibu  mkuu  wakataka  kumtimua.  Anatafuta  umaarufu   yeye  sasa  hivi  ni  makamu  anaweza  kwenda   nchi  yoyote  na  akaomba  support  kwanini  asiende  huko  tukamsikie  tutaona  yeye  kidume.  Anawahutubia   watoto  wa  mjini    na   wakimshangilia  anaona  kaweza.   Hata  wa  cuf  wanatakiwa  wavue  gamba  kwanza  chama  chenyewe  mlimpokonya  mzee  mapalala  wa  watu.

Regards

XN

2012/9/24 Apilike Gordon <apilike@gmail.com>
Na huu ndio msimamo wa SUK (ambamo yeye yumo) au ni CUF peke yao??

2012/9/24 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Alikuja hapa Marekani kuwaomba iwaunge mkono katika juhudi zao hizo za mkataba.
Sijui State Department ilimjibu nini.

2012/9/24 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Hajasema kipya. Tangu zamani ndio msimamo wa CUF; labda tu tuseme kwamba sasa wamekuja na lugha mpya ya muungano wa mkataba ambao ni upuuzi tu. Hakuna kitu kama hiki duniani. Kwani huu wa sasa hauna mkataba? Je, huo wanaoutaka una tofauti gani na huu wa AU?
 
Date: Mon, 24 Sep 2012 09:29:46 +0300
Subject: Re: [wanabidii] SEIF SHARRIF HAMAD APASUWA BOMU!!!
From: denis.matanda@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Si ndio msimamo wake ( na wa chama chake) all along au?

2012/9/24 John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
Dear All,
Makamo wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Katibu Mkuu wa CUF apasuwa bomu kwa CCM na kwa Watanganyika pale alipoweka
msimamo wake na wa CUF wazi kabisa kwa kutamka jana mkutanoni Bububu kuwa..."wakati umefika kwa Wazanzibari kuendesha nchi yao wenyewe 
ikiwa na mamlaka ya ndani na nje na mimi ni miongoni mwa Wazanzibari wanaounga mkono hatua hiyo".
"Wazanzibari wanataka kuendesha nchi yao yenye mamlaka kamili…mimi binafsi ni muumini wa Muungano wa mkataba,"
"Muungano wa mkataba utaturudishia haki zetu Wazanzibari na sasa hivi tuna Serikali, lakini leo Serikali yetu kila kitu 
lazima tukapige magoti Tanganyika," alisema na kufafanua zaidi kuwa:
"Tunataka Benki Kuu yetu ya Zanzibar na Tanganyika watakuwa na yao…halafu tukishapata Muungano wa mkataba Zanzibar itakuwa huru,....." 
"Inshallah kwa uwezo wa Mwenyenzi Mungu, Zanzibar itarudi katika mamlaka kamili…, Wazanzibari wanachokitaka ni kuungwa mkono na mataifa makubwa,"

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

XAVERY  LANGA  NJOVU

0783 662681

" IT IS MORE IMPORTANT  TO  USE YOUR  MIND TO THINK  THAN TO USE IT  AS  A WAREHOUSE  OF  FACT"

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment