Tuesday 25 September 2012

Re: [wanabidii] SEIF SHARRIF HAMAD APASUWA BOMU!!!

Godfrey unaweza kuonekana 'chizi' miongoni miongoni mwa 'machizi'. Lakini kwa hakika hoja zako ni za msingi.

Mimi nimewahi kuandika, nikihimiza Wazanzibar (kama kweli wana dhamira na hawaitaki Bara), basi waonyeshe kwa vitendo. Isiwe mfano wa mtu anayekunywa mchuzi wa nguruwe huku akiiona nyama yake kuwa najisi.

Wanataka waendelee kuwepo Bara, wanazihitaji fursa za Bara, wanataka kila kitu cha Bara (eti) kwa kisingizio kwamba hata kwenye mataifa ya nje wapo hivyo hivyo!

Muungano bado unahitajika hasa kwa Watanzania masikini hasa hasa kwa Wazanzibar masikini. Lakini wapo matajiri walionufaika na bado wanaendelea kunufaika na Muungano, lakini wanajijengea uhalali hasi wa kisiasa kupitia kero za Muungano.

Sasa, wakiona hawaitaki Bara (Muungano), waonyeshe kwa vitendo. Waache vitega uchumi vyao, waziache mali za Bara (wasioitaka) zibaki Bara, ikibidi hata kwa kuwauzia Wabara ama raia wengine wa kigeni wanaoishi kwa mujibu wa sheria.

Warudi Zanzibar, wapaze sauti kwamba hawautaki Muungano, hawaitaki Bara. dunia itawaelewa.

Lakini kulalamikia Muungano (Bara) ambao fursa pana zilizopo zinajenga uhai wa visiwa vya Zanzibar, ni mfano wa kanyaboya. Waikatae Bara (Muungano) lakini wabaki kunufaika kwa fursa zilizopo ikiwemo makazi ya kudumu.

Hiyo ni sawa na kunywa mchuzi wa nguruwe, ukaikataa nyama yake kwamba ni najisi.

Tuache unafiki.

--- On Mon, 9/24/12, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:

From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] SEIF SHARRIF HAMAD APASUWA BOMU!!!
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, September 24, 2012, 10:11 AM

ningemfurahia sana Seif Sharif kama angesema hawataki muungano kabisa na bara. Ni rahisi sana tz bara kuvunja muungano  na visiwani  kuliko wao kupewa muungano wowote ule zaidi ya wa serikali mbili kama ilivyo sasa. Wanzanzibar wengi wanadhani Tz bara hatuguswi na mambo ya muungano. Tunaguswa sana but tunaona kero kuuzungumzia zaidi ya kuwa na kauli moja tu,wanzanzibari waridhike na hali ilivyo sasa kwani wao ndio wafaidika zaidi wa muungano..Projections za kisayansi zinaosha for less than 100yrs to come,hakutakuwa na visiwa vya Zanzibar,wajiulize wataenda wapi? Population za zanzibar inakuwa by 40& wakati uchumi wao unakua by less than 7&.Zanzibar haina ardhi ya kutosha ya kilimo na makazi pia.Matumaini yao yote ni kukimbilia kumiliki ardhi bara.Tukiwakatb wataenda wapi?. Kama ilivyo ada,wanadanganyana zaidi kuliko kueleza ukweli.Ngupula
------------------------------
On Mon, Sep 24, 2012 1:40 PM EEST Emmanuel Muganda wrote:

>Alikuja hapa Marekani kuwaomba iwaunge mkono katika juhudi zao hizo za
>mkataba.
>Sijui State Department ilimjibu nini.
>
>2012/9/24 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>
>> Hajasema kipya. Tangu zamani ndio msimamo wa CUF; labda tu tuseme kwamba
>> sasa wamekuja na lugha mpya ya muungano wa mkataba ambao ni upuuzi tu.
>> Hakuna kitu kama hiki duniani. Kwani huu wa sasa hauna mkataba? Je, huo
>> wanaoutaka una tofauti gani na huu wa AU?
>>
>> ------------------------------
>> Date: Mon, 24 Sep 2012 09:29:46 +0300
>> Subject: Re: [wanabidii] SEIF SHARRIF HAMAD APASUWA BOMU!!!
>> From: denis.matanda@gmail.com
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>> Si ndio msimamo wake ( na wa chama chake) all along au?
>>
>>
>> 2012/9/24 John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
>>
>>   Dear All,
>> Makamo wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Katibu Mkuu wa CUF apasuwa bomu
>> kwa CCM na kwa Watanganyika pale alipoweka
>> msimamo wake na wa CUF wazi kabisa kwa kutamka jana mkutanoni Bububu
>> kuwa..."wakati umefika kwa Wazanzibari kuendesha nchi yao wenyewe
>> ikiwa na mamlaka ya ndani na nje na mimi ni miongoni mwa Wazanzibari
>> wanaounga mkono hatua hiyo".
>> "Wazanzibari wanataka kuendesha nchi yao yenye mamlaka kamili…mimi binafsi
>> ni muumini wa Muungano wa mkataba,"
>> "Muungano wa mkataba utaturudishia haki zetu Wazanzibari na sasa hivi tuna
>> Serikali, lakini leo Serikali yetu kila kitu
>> lazima tukapige magoti Tanganyika," alisema na kufafanua zaidi kuwa:
>>  "Tunataka Benki Kuu yetu ya Zanzibar na Tanganyika watakuwa na
>> yao…halafu tukishapata Muungano wa mkataba Zanzibar itakuwa huru,....."
>>  "Inshallah kwa uwezo wa Mwenyenzi Mungu, Zanzibar itarudi katika mamlaka
>> kamili…, Wazanzibari wanachokitaka ni kuungwa mkono na mataifa makubwa,"
>>
>>
>> http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/09/maalim-seif-ataka-zanzibar-huru.html#more
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Wasalaam
>>
>> Denis Matanda,
>> Mine Supt,
>> Nzega - Tanzania.
>>
>> *" Low aim, not failure, is a crime"*

>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment