Thursday 20 September 2012

Re: [wanabidii] RUFAA YA HUKUMU WA MHE GODBLESS LEMA , MBUNGE WA ARUSHA MJINI

Wakili Nguli Alute Mughwai na Mdogo wake Tundu Lissu wamefiwa na Baba yao mzazi. Alute Mughwai wakili Maarufu mjini Arusha ndiye anaewatetea wananchi waliopinga ushindi wa Lema na Wakili Tundu Lissu amekaribishwa na Wakili wenye kesi akaongeze nguvu kupambana na Kaka! .Itakuwa kesi nzuri sana kusikiliza!

Sote tunamlilia mzazi huyu aliyetekeleza wajibu wake ipasavyo dunia kwa kuwaelimisha watoto wake ipasaavyo.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Shilia Kaaya
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

-----Original Message-----
From: samson charles <samchaz307@gmail.com>
Date: Thu, 20 Sep 2012 09:14:32
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] RUFAA YA HUKUMU WA MHE GODBLESS LEMA , MBUNGE WA
ARUSHA MJINI

kuna taarifa kuwa imeahirishwa mpaka tarehe kama sio pili ama 12 mwezi ujao kutokana na mawakili wa muhimi kama TUNDU LISSU kuwa na udhuru mara baada ya kufiwa na baba yake mzazi

2012/9/20 Edmund Mabhuye <emabhuye@gmail.com <mailto:emabhuye@gmail.com> >

Ndgu zangu
 
Ni muhimu tupate taarifa juu ya rufaa hiyo

2012/9/20 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com <mailto:oldmoshi@gmail.com> >
Ndugu zangu

Kwa walio nyumbani haswa maeneo ya arusha mjini nasikia rufaa ya Mhe
Godbless lema inasikilizwa leo na Jaji Mkuu wa Tanzania .

Mwenye maelezo ya ziada na Habari zaidi atujulishe , kwa sisi tulio
mbali .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
0 comments:

Post a Comment