Tuesday 11 September 2012

Re: [wanabidii] Re: YA : Kuacha Kazi Idarani

Kama ni watu maalum si ungewataja sasa?!! au uwatumie hao hao maalum kwa njia maalum au hujui vitu maalumu vina taratibu zake maalum!! kichekesho ww yona una visa vya kujikweza ungekua mtani wangu ningekuelewa...



From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, September 11, 2012 6:51 AM
Subject: [wanabidii] Re: YA : Kuacha Kazi Idarani

Ujumbe huu ulikuwa wa watu maalumu kwenye mtandao huu , ulikuwa
kuwafahamisha tu kuhusu suala hili mapema wasije kuona mabadiliko
wakashangaa , kwahiyo wao wanajua ninachomaanisha .

On Sep 11, 5:19 am, SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyaw...@yahoo.com> wrote:
> Hivi ni nani asiyemfahamu Yona kwa tabia yake ya kutujaribu kwa mawasiliano yake yanayokuwa na sura kama yalikuwa mawasiliano binafsi ambayo hayakukusudiwa kuja kwetu. Kati ya hizo ni ile ya 'Kontena Bandarini' ila si nia yangu kukumbusha mjadala ule.
> Hii ni "chemsha bongo" ametuletea ili tuanze kujadili wakati mambo mengine yanaendelea sambamba.
> Heko Yona ila kama unaingia mtaani kaa vema na watu kama akina Mhe. Kamuhanda
>
> Novat
>
> From: Chambi Chachage <chamb...@yahoo.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Tuesday, September 11, 2012 2:41 PM
> Subject: Re: [wanabidii] YA : Kuacha Kazi Idarani
>
> Hii ni mara ya pili Yona anaaga!
>
> Kazi za idarani huwa haziachwi!
>
> -------
> My mission is to acquire, produce and disseminate knowledge on and about humanity as well as divinity, especially as it relates to Africa, in a constructive and liberating manner to people wherever they may be.
>
> Address: 41 Banks Street # 1, Cambridge, MA 02138 USA
> Cellphone: US = +1 (857) 413 - 9521/TZ = +255754771763
> Skype: chambi100
> Twitter: @Udadisi
> Facebook: http://www.facebook.com/chambi78
> Blogs:http://udadisi.blogspot.com &http://ufunuo.blogspot.com
> Group: http://groups.yahoo.com/group/wanazuoni
>
> From: heche suguta <hechesugut...@yahoo.com>
>
>
>
>
>
>
>
> >To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> >Sent: Tuesday, September 11, 2012 7:37 AM
> >Subject: Re: [wanabidii] YA : Kuacha Kazi Idarani
>
> >Idara ziko nyingi...maanake hii ya usalama wa Taifa siku hz kila mtu anajitangaza yumo sasa hata hatuelewi imeajili watu woote ama...
>
> >From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2...@yahoo.com>
> >To: wanabidii@googlegroups.com
> >Sent: Tuesday, September 11, 2012 4:32 AM
> >Subject: Re: [wanabidii] YA : Kuacha Kazi Idarani
>
> >Idara ya Usalama au?
>
> >--- On Mon, 9/10/12, denis Matanda <denis.mata...@gmail.com> wrote:
>
> >>From: denis Matanda <denis.mata...@gmail.com>
> >>Subject: Re: [wanabidii] YA : Kuacha Kazi Idarani
> >>To: wanabidii@googlegroups.com
> >>Date: Monday, September 10, 2012, 10:35 PM
>
> >>Kila la heri ingawa sielewi unazungumzia nini kwa kusema "IDARANI"!  Au idara ni UWT?
> >>2012/9/11 Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> >>Husika Na Kichwa cha Habari Hapo Juu
>
> >>>Napenda kuwajulisha wafanyakazi wenzangu na wadau wengine wa mitandao
> >>>ya kijamii niliokuwa nafanya nao kazi mbalimbali zinazohusu idara
> >>>usiku na mchana kuhakikisha tunakuwa salama zaidi na tunafungua
> >>>milango zaidi kwa watanzania wenzetu sehemu mbalimbali duniani .
>
> >>>Kwamba ninaondoka rasmi idarani kuanzia tarehe 15 mwezi wa 9 mwaka
> >>>2012 , ili kwenda kushugulika na masuala mengine ulimwenguni , Hii
> >>>imetokea baada ya mimi mwenyewe binafsi kwa hiari yangu kuomba kuacha
> >>>kazi na ombi langu kukubaliwa
>
> >>>Nawatakia mafanikio wale waliobaki na wengine wanaoendelea na masomo
> >>>sehemu mbalimbali warudi nyumbani kujenga nchi yao na wale
> >>>wanaotarajiwa kuanza siku za karibuni nawatia moyo wa kizalendo .
>
> >>>Ahsanteni sana wote kwa kuniunga mkono wakati wote nikiwa idarani hata
> >>>pale nilipokuwa naanguka kuna ambao walininyanyua na kunielekeza njia
> >>>na nilipokuwa katika wakati mgumu wengine walinionyesha njia pia ,
> >>>wote nawashukuru haswa walimu na wakufunzi wengine mbalimbali .
>
> >>>Nimetakiwa kutotoa taarifa hii lakini nimeonelea ni vizuri watu wa
> >>>karibu kujua kwa njia hii ya wazi .
>
> >>>--
> >>>Karibu Jukwaa lahttp://www.mwanabidii.com/
> >>>Pata nafasi mpya za Kazihttp://www.kazibongo.blogspot.com/
> >>>Blogu ya Habari na Pichahttp://www.patahabari.blogspot.com/
>
> >>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> >>>Disclaimer:
> >>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> >>>--
> >>Wasalaam
>
> >>Denis Matanda,
> >>Mine Supt,
> >>Nzega - Tanzania.
>
> >>" Low aim, not failure, is a crime"-- Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.comPatanafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.comBloguya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.   -- Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.comPatanafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.comBloguya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her
>
>  postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  -- Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.comPatanafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.comBloguya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  -- Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.comPatanafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.comBloguya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment