Monday 10 September 2012

Re: [wanabidii] RE: Safari ya mwisho ya CHADEMA?

Ndugu rehani

Sasa sisi tumjue wassira ili itusaidie nini ?

Yeye ametoa maoni yake na ni haki yake kikatiba , kama amedanganya tuwe ukweli wake unaoujua wewe lakini sio kuanza kumjadili yeye hiyo haswa udhaifu na makosa yake ya nyuma , hivi ukianza hivyo kwa kila kitu utafikia mafanikio kweli ?

Hoja inajibiwa kwa Hoja sio vihoja .

2012/9/10 Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
Wewe Yona, unashindwa kuelewa kwa nini Wassira anajadiliwa hapa! Yaani unataka kusema kuwa una una ufin na mvivu wa kufikiria kiasi hicho!! Wassira anajadiliwa hapa kwa sababu amesikika akiongea katika kipindi cha TBC na anapotosha umma. Ndio maana anajadiliwa. Aliyoyasema si kweli, ndio maana tunataka kufahamu background yake ni mtu namna gani? jee kama aliwahi kufungiwa kushirikia siasa kwa kipindi cha miaka mitano, je anaweza kuaminika mtu wa namna hii. Usiwe mvivu wa kufikiri wee dogo.
 
Date: Mon, 10 Sep 2012 03:00:45 -0700
Subject: Re: [wanabidii] RE: Safari ya mwisho ya CHADEMA?
From: oldmoshi@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Ishu ni Safari ya Mwisho ya CHADEMA sio Wassira , Tusianze kujadili watu .

2012/9/10 Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
Wanamabadiliko,
 
Nakumbuka huyu Wassira aliwahi kushindana na Warioba na akashinda uchaguzi. Warioba akapinga matokeo ya uchaguzi mahakamani. Kesi ikaunguruma na hatimaye mwisho wake ushindi wa Wassira si tu ulitenguliwa bali pia alipigwa marufuku kushiriki katika siasa kwa muda wa kipindi cha miaka mitano. Kwani ilithibikika kuwa alitumia rushwa. Mzee wa watu akawa ktk hali mbaya kweli, akauza samaki,nguruwe n.k. Baadaye akarudi CCM, akagombea na kushinda na JK akamuokota na kumpa Uwaziri, sasa amekuwa kama vile yeye ndio mwana CCM kweli kweli kuwashinda hata wale ambayo hajawahi kuyumba au kutoka katika chama hicho. Nina ombi moja. Yoyote yule ambaye ana hukumu ya ile kesi naomba aiweke katika mtandao ili tumfahamu ni mtu wa aina gani. Mwenye taarifa zaidi atujuze kufungiwa kwake kushiriki siasa kwa miaka mitano.
 
Selemani
 
> Date: Sun, 9 Sep 2012 10:26:59 +0300
> Subject: Re: [Mabadiliko] Safari ya mwisho ya CHADEMA?
> From: baraka.kaaya@gmail.com
> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Danis Matanda, are you Serious unaposema "KIROBOTO WASIRA" ni moja ya
> waanzilishi wa CHADEMA....??
>
> Ngoja nikuambie...baada ya mfumo wa Vyama vingi kulazimika
> UANZISHWE... ilibidi ile IDARA ya VIROBOTO ya Taifa, iliwatuma
> VIROBOTO wake katika kila "Kundi la Watanganyika na Wazanzibar"
> waliotaka kuanzisha chama cha siasa...
>
> Viroboto hawa walikua wengi tuu... Huyo Wasira, ambaye baadae alienda
> kwenye lile kundi kubwa zaidi la VIROBOTO (NCCR-MAGEUZI) na huko
> hakika walifanikiwa kuwahadaa wananchi...wasira amewahi kua mbunge
> kupitia NCCR-Mageuzi.
>
> Hili kundi ni kubwa; wapo akina Lyatonga Mrema, Mabere Marando, James
> Mbatia na wengine wengi tuu.... AMBAO JUKUMU lao kubwa ni kuhakikisha
> Vyama vingine vya siasa mbali ya CCM ... vinaonekana ni kichekesho
> mbele ya Wa-Tanganyika na Wa-Zanzibari..
>
> NCCR MAGEUZI sio chama cha siasa... ni kundi la Viroboto wa IDARA ya
> Usalama wa Chama Cha Magamba...
>
> Kufuta CHADEMA haiwezekani...!...Chadema ni Tanganyika na Zanzibar..
> kukifuta ni sawa na kufuta Existence ya Wa-Tanganyika na
> Wa-zanzibari..! Which is Impossible.
>
> Baraka Kaaya.
>
>
>
>
> On 9/9/12, Augustine Rukoma <arukoma66@gmail.com> wrote:
> > Itaongeza kasi ya ukombozi, na hoyo nyala ya taifa itaonja joto lajiwe
> >
> > 2012/9/9 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>:
> >> Wapendwa,
> >>
> >> Jana nimemsikia anayedaiwa kuwa mmoja wa waanzilishi wa CHADEMA Mh.
> >> Wassira
> >> katika kipindi maalum kwenye "televisheni ya taifa" - TBC ! Kipindi hicho
> >> maalum kilikuwa kinahusiana na vurugu zinazotokea kwenye mikutano ya
> >> CHADEMA
> >> na kusababisha upotevu wa maisha. Kila aliyekisikia ataondoka na his or
> >> her
> >> own conclusions. Mimi ninaogopeshwa na intensity ya hii move kwa kuwa
> >> katika
> >> chini ya wiki moja sasa nadhani tumemsikia Nape, Tendwa na sasa Wassira
> >> wakizungumzia hii issue katika namna ambayo mimi inanionyesha kuwa lazima
> >> kutakuwa kuna kitu kinaendelea kwenye background!
> >>
> >> Nikiangalia sequence ya events naona baadhi ya vitu kuwa havijajificha
> >> kabisa. Moja, wame-stablish trend. Wassira anasema katika mikutano 8 ya
> >> CHADEMA imesababisha vifo vya watu 7 na kwamba hicho ndio chama pekee
> >> kati
> >> ya vilivyosajiliwa 20 ambacho kimesababisha mauaji kwenye mikutano yake.
> >> Naona kuna suala la selective memory hapa kwa upande wa Mh. Wassira, kuna
> >> watu pia walishawahi kupoteza maisha kwenye mikutano au shughuli za vyama
> >> vingine hata kama vifo hivyo havikusababishwa na vyama vilivyokuwa na
> >> shughuli hizo. Hatujasahau ya January 27 2001.
> >>
> >> Amezungumzia kuhusu uchunguzi ambao unaendelea kwa Iringa, na kesi ambayo
> >> inaendelea kwa upande wa Arusha. Zote hizo hazijafikiwa suluhisho lakini
> >> the
> >> impression I got kumsikiliza "Tyson" ni kuwa CHADEMA is to blame.
> >>
> >> Nikitizama matukio yote yanayotokea hivi sasa nachelea kusema kuwa vidole
> >> vyote vinaonyesha kuwa maamuzi ya kukifutilia mbali chama cha CHADEMA
> >> pengine yameshafikiwa, kinachofanyika sasa ni "sensitization" yaani
> >> kuwaandaa wananchi kisaikolojia ili kuupokea uamuzi huo wa vyombo husika.
> >> Naomba mungu niwe wrong.
> >>
> >> Wenzangu mnalionaje?
> >>
> >> --
> >> Wasalaam
> >>
> >> Denis Matanda,
> >> Mine Supt,
> >> Nzega - Tanzania.
> >>
> >> " Low aim, not failure, is a crime"
> >>
> >> --
> >> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> >> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> >> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> >> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
> >>
> >> TEMBELEA Facebook yetu:
> >> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
> >>
> >> For more options, visit this group at:
> >> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> >>
> >>
> >>
> >
> > --
> > Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> > Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> > mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> > Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
> >
> > TEMBELEA Facebook yetu:
> > http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
> >
> > For more options, visit this group at:
> > http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> >
> >
> >
> >
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment