Tuesday 11 September 2012

RE: [wanabidii] RE: Safari ya mwisho ya CHADEMA?

 Gaston,
 
Ahsante kwa ushauri.
 
> Date: Tue, 11 Sep 2012 10:05:29 +0300
> Subject: Re: [wanabidii] RE: Safari ya mwisho ya CHADEMA?
> From: mbilinyi.gaston49@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Selemani,
>
> Naomba nikushauri kuwa usipende kujipa stress kwa kujibizana na mtu
> ambaye furaha yake ni kuona watu wamekasirika kwa kubisha hata kitu
> jisichokuwepo na kuleta hoja za kukasirisha kama si kuchefua
> wachangiaji wengine!
>
> On 9/10/12, Selemani Rehani <srehani@hotmail.com> wrote:
> >
> > Yona
> >
> > Unasema 'Ila ole wako'. Ole wangu nini??!!! Usinitishe wewe. Hapa hakuna
> > siasa za chuki wala maji chafu. Ni suala la kusimamia ukweli tu. Ninachosema
> > ni kuwa takwimu alizotoa Wassira si za kweli na zina lengo la kupotosha
> > umma. Pia Wassira si mtu wa kuaminika given his background. Pia ni wakati
> > sasa wa kumweka Wassira peupe ili Watanzania wamjuwe ni mtu wa namna gani
> > ili waweze kupima yale anayoropoka. Yeye Wassira amekuwa akishambumbulia
> > sana viongozi wa chama kikuu cha upinzani. Mara nyingi nimewahi kumsikia
> > akimshambulia kiongozi wa Chadema ikafikia hata Maaskofu kukanusha na
> > kumtaka alete ushahidi. Ni muongo si mkweli na aliwahi hata kutumia rushwa
> > ili achaguliwe ndio maana alifungiwa kwa miaka mitano. Nahitaji hukumu ili
> > niweze kuwa na solid evidence hya ku-back up hoja zangu kuwa si mtu
> > mwaminifu huyu, haaminiki. Huo ni ukweli si siasa za chuki. Na nimeku-invite
> > usema ukweli unaoujua wewe kama unajua. Mbona hukujibu maswali yangu?? Mimi
> > sitaki hoja za kuchumia tumbo bwana. Ila kinachonishangaza ninaongea na wewe
> > kana kwamba wewe ni msemaji wake!! nambie nijuwe kama wewe ndio msemaji
> > wake.
> >
> >
> >
> >
> > Date: Mon, 10 Sep 2012 03:27:44 -0700
> > Subject: Re: [wanabidii] RE: Safari ya mwisho ya CHADEMA?
> > From: oldmoshi@gmail.com
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Ukiendeleza siasa zako za chuki na maji chafu hazitokufikisha popote ,
> > lakini kwa Tanzania unaweza kufika mbali maana ndicho wengi wanachopenda
> > haswa vijana kama wewe .
> >
> > Ila ole wako ,
> >
> >
> > 2012/9/10 Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
> >
> >
> >
> > Yona,
> >
> > Hebu kuwa mwelewa kidogo, hivi wewe ulikuwa unajua kuwa aliwahi kufungiwa
> > kushiriki katika siasa miaka mitano?? kama unajua hebu eleza ilikuwa ni
> > mwaka gani? na alipatikana na hatia gani? na hukumu ilisemaje? Ninachotaka
> > kuonyesha hapa ni kuwa huyu si mtu wa kuaminika, ni mganga njaa tu na wala
> > hakuna ambaye amepinga haki yake ya kutoa mawazo yake. Ila ninachosema ni
> > kuwa maoni yake ni ya uongo na yamejaa propaganda. Yeye Wassira mara ngapi
> > amekuwa akiwajadili watu? na anafanya hivyo kwa kudhani kuwa watu wamesahau
> > aliyofanya huko nyuma? Na je wewe ndio msemaji wa Wassira? Kumjua Wassira
> > itasaidie ili kweza kujua kama ana credibility ya kuaminika. Kama ambavyo
> > ninavyokujua wewe Yona. Historia ya mtu ni muhimu ili kujua anachosema kweli
> > kina mashiko. Usilete hoja ambazo hazipo hapa. Wewe kama unamjua au huna
> > interest ya kutaka kujua kaa kimya.
> >
> >
> >
> >
> >
> > Date: Mon, 10 Sep 2012 03:09:02 -0700
> >
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] RE: Safari ya mwisho ya CHADEMA?
> > From: oldmoshi@gmail.com
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Ndugu rehani
> >
> > Sasa sisi tumjue wassira ili itusaidie nini ?
> >
> > Yeye ametoa maoni yake na ni haki yake kikatiba , kama amedanganya tuwe
> > ukweli wake unaoujua wewe lakini sio kuanza kumjadili yeye hiyo haswa
> > udhaifu na makosa yake ya nyuma , hivi ukianza hivyo kwa kila kitu utafikia
> > mafanikio kweli ?
> >
> > Hoja inajibiwa kwa Hoja sio vihoja .
> >
> >
> >
> >
> > 2012/9/10 Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
> >
> >
> >
> > Wewe Yona, unashindwa kuelewa kwa nini Wassira anajadiliwa hapa! Yaani
> > unataka kusema kuwa una una ufin na mvivu wa kufikiria kiasi hicho!! Wassira
> > anajadiliwa hapa kwa sababu amesikika akiongea katika kipindi cha TBC na
> > anapotosha umma. Ndio maana anajadiliwa. Aliyoyasema si kweli, ndio maana
> > tunataka kufahamu background yake ni mtu namna gani? jee kama aliwahi
> > kufungiwa kushirikia siasa kwa kipindi cha miaka mitano, je anaweza
> > kuaminika mtu wa namna hii. Usiwe mvivu wa kufikiri wee dogo.
> >
> >
> >
> >
> >
> > Date: Mon, 10 Sep 2012 03:00:45 -0700
> > Subject: Re: [wanabidii] RE: Safari ya mwisho ya CHADEMA?
> > From: oldmoshi@gmail.com
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> >
> >
> >
> > Ishu ni Safari ya Mwisho ya CHADEMA sio Wassira , Tusianze kujadili watu .
> >
> >
> > 2012/9/10 Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
> >
> >
> >
> > Wanamabadiliko,
> >
> > Nakumbuka huyu Wassira aliwahi kushindana na Warioba na akashinda uchaguzi.
> > Warioba akapinga matokeo ya uchaguzi mahakamani. Kesi ikaunguruma na
> > hatimaye mwisho wake ushindi wa Wassira si tu ulitenguliwa bali pia alipigwa
> > marufuku kushiriki katika siasa kwa muda wa kipindi cha miaka mitano. Kwani
> > ilithibikika kuwa alitumia rushwa. Mzee wa watu akawa ktk hali mbaya kweli,
> > akauza samaki,nguruwe n.k. Baadaye akarudi CCM, akagombea na kushinda na JK
> > akamuokota na kumpa Uwaziri, sasa amekuwa kama vile yeye ndio mwana CCM
> > kweli kweli kuwashinda hata wale ambayo hajawahi kuyumba au kutoka katika
> > chama hicho. Nina ombi moja. Yoyote yule ambaye ana hukumu ya ile kesi
> > naomba aiweke katika mtandao ili tumfahamu ni mtu wa aina gani. Mwenye
> > taarifa zaidi atujuze kufungiwa kwake kushiriki siasa kwa miaka mitano.
> >
> > Selemani
> >
> >
> >
> >> Date: Sun, 9 Sep 2012 10:26:59 +0300
> >> Subject: Re: [Mabadiliko] Safari ya mwisho ya CHADEMA?
> >> From: baraka.kaaya@gmail.com
> >> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> >>
> >> Danis Matanda, are you Serious unaposema "KIROBOTO WASIRA" ni moja ya
> >> waanzilishi wa CHADEMA....??
> >>
> >> Ngoja nikuambie...baada ya mfumo wa Vyama vingi kulazimika
> >> UANZISHWE... ilibidi ile IDARA ya VIROBOTO ya Taifa, iliwatuma
> >> VIROBOTO wake katika kila "Kundi la Watanganyika na Wazanzibar"
> >> waliotaka kuanzisha chama cha siasa...
> >>
> >> Viroboto hawa walikua wengi tuu... Huyo Wasira, ambaye baadae alienda
> >> kwenye lile kundi kubwa zaidi la VIROBOTO (NCCR-MAGEUZI) na huko
> >> hakika walifanikiwa kuwahadaa wananchi...wasira amewahi kua mbunge
> >> kupitia NCCR-Mageuzi.
> >>
> >> Hili kundi ni kubwa; wapo akina Lyatonga Mrema, Mabere Marando, James
> >> Mbatia na wengine wengi tuu.... AMBAO JUKUMU lao kubwa ni kuhakikisha
> >> Vyama vingine vya siasa mbali ya CCM ... vinaonekana ni kichekesho
> >> mbele ya Wa-Tanganyika na Wa-Zanzibari..
> >>
> >> NCCR MAGEUZI sio chama cha siasa... ni kundi la Viroboto wa IDARA ya
> >> Usalama wa Chama Cha Magamba...
> >>
> >> Kufuta CHADEMA haiwezekani...!...Chadema ni Tanganyika na Zanzibar..
> >> kukifuta ni sawa na kufuta Existence ya Wa-Tanganyika na
> >> Wa-zanzibari..! Which is Impossible.
> >>
> >> Baraka Kaaya.
> >>
> >>
> >>
> >>
> >> On 9/9/12, Augustine Rukoma <arukoma66@gmail.com> wrote:
> >> > Itaongeza kasi ya ukombozi, na hoyo nyala ya taifa itaonja joto lajiwe
> >> >
> >> > 2012/9/9 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>:
> >> >> Wapendwa,
> >> >>
> >> >> Jana nimemsikia anayedaiwa kuwa mmoja wa waanzilishi wa CHADEMA Mh.
> >> >> Wassira
> >> >> katika kipindi maalum kwenye "televisheni ya taifa" - TBC ! Kipindi
> >> >> hicho
> >> >> maalum kilikuwa kinahusiana na vurugu zinazotokea kwenye mikutano ya
> >> >> CHADEMA
> >> >> na kusababisha upotevu wa maisha. Kila aliyekisikia ataondoka na his
> >> >> or
> >> >> her
> >> >> own conclusions. Mimi ninaogopeshwa na intensity ya hii move kwa kuwa
> >> >> katika
> >> >> chini ya wiki moja sasa nadhani tumemsikia Nape, Tendwa na sasa
> >> >> Wassira
> >> >> wakizungumzia hii issue katika namna ambayo mimi inanionyesha kuwa
> >> >> lazima
> >> >> kutakuwa kuna kitu kinaendelea kwenye background!
> >> >>
> >> >> Nikiangalia sequence ya events naona baadhi ya vitu kuwa havijajificha
> >> >> kabisa. Moja, wame-stablish trend. Wassira anasema katika mikutano 8
> >> >> ya
> >> >> CHADEMA imesababisha vifo vya watu 7 na kwamba hicho ndio chama pekee
> >> >> kati
> >> >> ya vilivyosajiliwa 20 ambacho kimesababisha mauaji kwenye mikutano
> >> >> yake.
> >> >> Naona kuna suala la selective memory hapa kwa upande wa Mh. Wassira,
> >> >> kuna
> >> >> watu pia walishawahi kupoteza maisha kwenye mikutano au shughuli za
> >> >> vyama
> >> >> vingine hata kama vifo hivyo havikusababishwa na vyama vilivyokuwa na
> >> >> shughuli hizo. Hatujasahau ya January 27 2001.
> >> >>
> >> >> Amezungumzia kuhusu uchunguzi ambao unaendelea kwa Iringa, na kesi
> >> >> ambayo
> >> >> inaendelea kwa upande wa Arusha. Zote hizo hazijafikiwa suluhisho
> >> >> lakini
> >> >> the
> >> >> impression I got kumsikiliza "Tyson" ni kuwa CHADEMA is to blame.
> >> >>
> >> >> Nikitizama matukio yote yanayotokea hivi sasa nachelea kusema kuwa
> >> >> vidole
> >> >> vyote vinaonyesha kuwa maamuzi ya kukifutilia mbali chama cha CHADEMA
> >> >> pengine yameshafikiwa, kinachofanyika sasa ni "sensitization" yaani
> >> >> kuwaandaa wananchi kisaikolojia ili kuupokea uamuzi huo wa vyombo
> >> >> husika.
> >> >> Naomba mungu niwe wrong.
> >> >>
> >> >> Wenzangu mnalionaje?
> >> >>
> >> >> --
> >> >> Wasalaam
> >> >>
> >> >> Denis Matanda,
> >> >> Mine Supt,
> >> >> Nzega - Tanzania.
> >> >>
> >> >> " Low aim, not failure, is a crime"
> >> >>
> >> >> --
> >> >> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> >> >> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
> >> >> mabadilikotanzania@googlegroups.com
> >> >>
> >> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> >> >> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> >> >> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
> >> >>
> >> >> TEMBELEA Facebook yetu:
> >> >> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
> >> >>
> >> >> For more options, visit this group at:
> >> >> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> >> >>
> >> >>
> >> >>
> >> >
> >> > --
> >> > Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> >> > Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
> >> > mabadilikotanzania@googlegroups.com
> >> >
> >> > Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> >> > mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> >> > Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
> >> >
> >> > TEMBELEA Facebook yetu:
> >> > http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
> >> >
> >> > For more options, visit this group at:
> >> > http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> >> >
> >> >
> >> >
> >> >
> >>
> >> --
> >> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> >> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> >> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> >> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
> >>
> >> TEMBELEA Facebook yetu:
> >> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
> >>
> >> For more options, visit this group at:
> >> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> >>
> >>
> >>
> >
> > --
> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

0 comments:

Post a Comment