> Date: Sun, 9 Sep 2012 10:26:59 +0300
> Subject: Re: [Mabadiliko] Safari ya mwisho ya CHADEMA?
> From:
baraka.kaaya@gmail.com> To:
mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> Danis Matanda, are you Serious unaposema "KIROBOTO WASIRA" ni moja ya
> waanzilishi wa CHADEMA....??
>
> Ngoja nikuambie...baada ya mfumo wa Vyama vingi kulazimika
> UANZISHWE... ilibidi ile IDARA ya VIROBOTO ya Taifa, iliwatuma
> VIROBOTO wake katika kila "Kundi la Watanganyika na Wazanzibar"
> waliotaka kuanzisha chama cha siasa...
>
> Viroboto hawa walikua wengi tuu... Huyo Wasira, ambaye baadae alienda
> kwenye lile kundi kubwa zaidi la VIROBOTO (NCCR-MAGEUZI) na huko
> hakika walifanikiwa kuwahadaa wananchi...wasira amewahi kua mbunge
> kupitia NCCR-Mageuzi.
>
> Hili kundi ni kubwa; wapo akina Lyatonga Mrema, Mabere Marando, James
> Mbatia na wengine wengi tuu.... AMBAO JUKUMU lao kubwa ni kuhakikisha
> Vyama vingine vya siasa mbali ya CCM ... vinaonekana ni kichekesho
> mbele ya Wa-Tanganyika na Wa-Zanzibari..
>
> NCCR MAGEUZI sio chama cha siasa... ni kundi la Viroboto wa IDARA ya
> Usalama wa Chama Cha Magamba...
>
> Kufuta CHADEMA haiwezekani...!...Chadema ni Tanganyika na Zanzibar..
> kukifuta ni sawa na kufuta Existence ya Wa-Tanganyika na
> Wa-zanzibari..! Which is Impossible.
>
> Baraka Kaaya.
>
>
>
>
> On 9/9/12, Augustine Rukoma <
arukoma66@gmail.com> wrote:
> > Itaongeza kasi ya ukombozi, na hoyo nyala ya taifa itaonja joto lajiwe
> >
> > 2012/9/9 denis Matanda <
denis.matanda@gmail.com>:
> >> Wapendwa,
> >>
> >> Jana nimemsikia anayedaiwa kuwa mmoja wa waanzilishi wa CHADEMA Mh.
> >> Wassira
> >> katika kipindi maalum kwenye "televisheni ya taifa" - TBC ! Kipindi hicho
> >> maalum kilikuwa kinahusiana na vurugu zinazotokea kwenye mikutano ya
> >> CHADEMA
> >> na kusababisha upotevu wa maisha. Kila aliyekisikia ataondoka na his or
> >> her
> >> own conclusions. Mimi ninaogopeshwa na intensity ya hii move kwa kuwa
> >> katika
> >> chini ya wiki moja sasa nadhani tumemsikia Nape, Tendwa na sasa Wassira
> >> wakizungumzia hii issue katika namna ambayo mimi inanionyesha kuwa lazima
> >> kutakuwa kuna kitu kinaendelea kwenye background!
> >>
> >> Nikiangalia sequence ya events naona baadhi ya vitu kuwa havijajificha
> >> kabisa. Moja, wame-stablish trend. Wassira anasema katika mikutano 8 ya
> >> CHADEMA imesababisha vifo vya watu 7 na kwamba hicho ndio chama pekee
> >> kati
> >> ya vilivyosajiliwa 20 ambacho kimesababisha mauaji kwenye mikutano yake.
> >> Naona kuna suala la selective memory hapa kwa upande wa Mh. Wassira, kuna
> >> watu pia walishawahi kupoteza maisha kwenye mikutano au shughuli za vyama
> >> vingine hata kama vifo hivyo havikusababishwa na vyama vilivyokuwa na
> >> shughuli hizo. Hatujasahau ya January 27 2001.
> >>
> >> Amezungumzia kuhusu uchunguzi ambao unaendelea kwa Iringa, na kesi ambayo
> >> inaendelea kwa upande wa Arusha. Zote hizo hazijafikiwa suluhisho lakini
> >> the
> >> impression I got kumsikiliza "Tyson" ni kuwa CHADEMA is to blame.
> >>
> >> Nikitizama matukio yote yanayotokea hivi sasa nachelea kusema kuwa vidole
> >> vyote vinaonyesha kuwa maamuzi ya kukifutilia mbali chama cha CHADEMA
> >> pengine yameshafikiwa, kinachofanyika sasa ni "sensitization" yaani
> >> kuwaandaa wananchi kisaikolojia ili kuupokea uamuzi huo wa vyombo husika.
> >> Naomba mungu niwe wrong.
> >>
> >> Wenzangu mnalionaje?
> >>
> >> --
> >> Wasalaam
> >>
> >> Denis Matanda,
> >> Mine Supt,
> >> Nzega - Tanzania.
> >>
> >> " Low aim, not failure, is a crime"
> >>
> >> --
> >> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> >> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
mabadilikotanzania@googlegroups.com> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> >>
mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com> >> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
> >>
> >> TEMBELEA Facebook yetu:
> >>
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl> >>
> >> For more options, visit this group at:
> >>
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en> >>
> >>
> >>
> >
> > --
> > Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> > Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
mabadilikotanzania@googlegroups.com> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> >
mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com> > Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
> >
> > TEMBELEA Facebook yetu:
> >
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl> >
> > For more options, visit this group at:
> >
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en> >
> >
> >
> >
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
>
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl>
> For more options, visit this group at:
>
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en>
>
>
0 comments:
Post a Comment