Saturday 15 September 2012

Re: [wanabidii] Raha ya kuoa uchagani hiyo: Nimepewa na Wakwe zangu!

Bonie, mimi sina wasiwasi aisey, sweetie wangu hawezi kunudhuru! Ananipenda sana, na bahati nzuri sina mali kwenye jina langu zaidi ya hisa za makampuni ambayo tuko ubia na watu wengine pamoja na yeye!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 15 Sep 2012 22:36:51 +0300
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Raha ya kuoa uchagani hiyo: Nimepewa na Wakwe zangu!


mbuba,
Mungu wako alikuonyesha mapemaaaa.. wale sio watu wa kawaida...cha ajabu wote wako hivyo...wanalimbwata la hali ya juu..HK kanasa.HK omba Mungu uendelee kupata watoto wa kike tu...ukipata wa kiume tu...siku zako za kuwa duniani zitakuwa zinahesabika ha ha ha usiogope lakini!!
On Saturday, September 15, 2012,  <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
> Evetta, ahsante!
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> -----Original Message-----
> From: Evetta S L <eve.slema@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sat, 15 Sep 2012 10:23:33
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Raha ya kuoa uchagani hiyo: Nimepewa na Wakwe zangu!
>
> HK Karibu machame yetu. And enjoy
>
> On 9/15/12, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
>> Mbuba, ulijicheleweshea maendeleo...hahahaaaaa
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>
>> -----Original Message-----
>> From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Sat, 15 Sep 2012 09:45:36
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: Re: [wanabidii] Raha ya kuoa uchagani hiyo: Nimepewa na Wakwe
>> zangu!
>>
>>
>> Dr.
>> Mi niliponea chupuchupu. Nilinasa kwa mmoja. Nikaenda kwao. Nikiwa pale
>> Sanya Juu nasubiri aje anichukue binti mmoja akawa anamsimulia rafiki yake
>> jinsi alivyochukua pesa za mumewe kisha kumletea vurugu hadi talaka ikapita.
>> Nikakumbuka na stori za nyuma. Nikaamua kuingia mitini.
>> ------------------------------
>>  On Sat, Sep 15, 2012 09:21 PDT hkigwangalla@gmail.com wrote:
>>
>>  >Magessa, I have been this much ever since...and you know that!
>>  >Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>  >
>>  >-----Original Message-----
>>  >From: Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
>>  >Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>  >Date: Sat, 15 Sep 2012 18:59:04
>>  >To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>>  >Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>>  >Subject: Re: [wanabidii] Raha ya kuoa uchagani hiyo: Nimepewa na Wakwe
>> zangu!
>>  >
>>  >namfurahi HK kwa sasa ha ha ha anaheshima..ametulia baada ya misukosuko
>> na
>>  >kuonekana kuwa hana chake ndani ya ccm sasa amekuwa na adabu ha ha ha HK
>>  >
>>  >On Saturday, September 15, 2012, Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
>>  >wrote:
>>  >> Dr umeoa mmachame!!!Mungu apishilie mbali!!!kukolimbwa ni nje nje
>>  >duuu...lakini usijali..love is andhaa!!
>>  >>
>>  >> On Saturday, September 15, 2012, <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
>>  >> Hahahahaaa Mbuba, hawafundishwi kunasa wanaume sema Yona yuko sahihi
>>  >kabisa kwamba mabinti hawa huwa wana mvuto wa aina yake, ni bright, hard
>>  >working na wako serious sana na shule - hivyo ukiwa kyasaka ume-fluke
>>  >ukajikuta versity na unataka mchumba chances are the first girl you will
>>  >court would be a Machame or somewhere close another Chagga spp. !
>>  >> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>  >>
>>  >> -----Original Message-----
>>  >> From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
>>  >> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>  >> Date: Sat, 15 Sep 2012 08:01:16
>>  >> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment