Monday 17 September 2012

Re: [wanabidii] Raha ya kuoa uchagani hiyo: Nimepewa na Wakwe zangu!

Muhingo, pole sana kwa msiba wa ndg yetu Mwangosi, wengi wetu tumeguswa sana na msiba ule. Waafrika tukiwa misibani hujadiliana pia mambo mepesi kama ya jando, unyago n.k. Na hivyo si dhambi kujadili mada hii sambamba na ile ya msiba. Japokuwa fahamu tu kwamba hii ni total concidence na kwamba sikupanga hata kidogo ku-dilute uzito wa majonzi tuliyonayo juu ya msiba mzito na mkubwa wa Ndg. Mwangosi - japokuwa kimila na hata kitaalamu (kisaikolojia) tungepaswa kufanya hivyo!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 17 Sep 2012 21:53:23 -0700 (PDT)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Raha ya kuoa uchagani hiyo: Nimepewa na Wakwe zangu!

Mnajua kuwa mada hii iliua mjadala wa mauaji ya Mwangosi. Naeleza kushangaa kwangu. Mada hii kuua mada muhinu kama hiyo tukiwa bado kwenye maombolezo.

--- On Mon, 9/17/12, Boniface Magessa <magessabm@gmail.com> wrote:

From: Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Raha ya kuoa uchagani hiyo: Nimepewa na Wakwe zangu!
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, September 17, 2012, 12:43 PM

mkumbwa,
nami nimezaliwa hospitali kuu ya musoma

On Monday, September 17, 2012, Mkumbukwa Paul MKOMBOZI <mmkombozi@yahoo.com> wrote:
> Mimi nimezaliwa Nkwarungo Hospital.
>  
>  
> From: godfred mbanyi <mbanyibg@yahoo.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Monday, September 17, 2012 11:23 AM
> Subject: Re: [wanabidii] Raha ya kuoa uchagani hiyo: Nimepewa na Wakwe zangu!
> Hongera Dr,kumbe umeoa Machame! --- On Sat, 9/15/12, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
>
> From: hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com>
> Subject: [wanabidii] Raha ya kuoa uchagani hiyo: Nimepewa na Wakwe zangu!
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Saturday, September 15, 2012, 5:06 AM
>
> Niko Machame nimekuja kuhani msiba na pia kuzuru makaburi ya wazee wetu, Babu na bibi mkwe, Baba mkwe na wengineo! Mke wangu ni wa asili ya Machame huku...leo Mt. Kilimanjaro unaonekana very clearly, vilele vyake vyote viwili.... Karibuni Supu jamani...Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania-- Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+http://us.mc1106.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>  
>  
>
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment