Saturday 15 September 2012

Re: [wanabidii] Raha ya kuoa uchagani hiyo: Nimepewa na Wakwe zangu!

Karibu sana kilimanjaro , Huku kumekamilika kila kitu ,ikitoka huku kautangaze vyema mkoa huu haswa vivutio kama hivyo wanawake wazuri , bomba , wachapa kazi , waliokwenda shule na burudani kibao .

2012/9/15 <hkigwangalla@gmail.com>
Niko Machame nimekuja kuhani msiba na pia kuzuru makaburi ya wazee wetu, Babu na bibi mkwe, Baba mkwe na wengineo! Mke wangu ni wa asili ya Machame huku...leo Mt. Kilimanjaro unaonekana very clearly, vilele vyake vyote viwili....

Karibuni Supu jamani...
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment