Sunday 16 September 2012

Re: [wanabidii] MWISHO UMEKARIBIA

Atakaye vumilia mpaka mwisho ndiye atakayeokoka.  je mmepata kusoma juu ya Ufunuo 20: 7 maana sasa tuko miaka ya 2000.


From: rashid martin <rashidtz@hotmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, September 16, 2012 7:59 AM
Subject: RE: [wanabidii] MWISHO UMEKARIBIA

mwisho bado sana acha woga kiongozi, hilo ni vugu vugu tu, nakuhakikishia dunia inazaidi ya miaka  isiyo pungua hamsin hadi mia,
kusema hivo haku justify maovu NO! ila tukae tukijua akina OBAMA na washirika wake wamepamba moto kumuandalia SHAITWANIe  makazi bora ya kutawala dunia
jahanam ni hatar kama ulivosema, kur ani inatuambia ghariduna fiy abadan yaani watao ingia huko ni maisha ya milele na hawata toka


Date: Sun, 16 Sep 2012 05:48:54 +0300
Subject: [wanabidii] MWISHO UMEKARIBIA
From: kitigwa@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

MWISHO UMEKARIBIA


Je, sisi kama Wakristo tuyadharau mambo haya? na tunatakiwa kuitikia kwa namna ipi? nimeongeza andiko kutoka ufunuo 13:15-18 mwishoni kwa makusudi ya nukuu.
 
 (Rais Obama dhidi ya Ufunuo 13:15-18)



 (Rais Obama dhidi ya Ufunuo 13:15-18)
Bunge au Seneti ya Marekani imepitisha mswada wa afya wa Obama kuwa sheria na utaanza kutumika tarehe 13/03/2013. Mswada huu utawataka Waamerika wote
kupandikizwa chip yaani kifaa (kibanzi/upapi) kinachotumia mionzi ya redio kwa utambulisho (Radio Frequency Identification-RFID) ili kuweza kupata huduma za afya. Kifaa hiki kitapandikizwa kwenye paji la uso au mkononi.
  Hii ni kutimiza unabii uliopo katika Kitabu cha Ufunuo 13:15-18 unaohusu CHAPA YA MNYAMA! Je, bado una mashaka kuhusiana na siku za mwisho? JIANDAE!
Unyakuo umekaribia! Uwe tayari usije ukakutwa hujajiandaa. Ishi maisha yaliyo safi. omba zaidi, hubiri INJILI kwa wengine ili uokoe roho zao. Ufunuo 13 unatimia mbele ya macho yetu. Wengi bado hawajalitambua hilo.
  (1) Kwa nini hicho kifaa kinapandikizwa pale pale ambapo Biblia inataja kitakuwepo? Kwa nini mkononi na kwenye kipaji cha uso? Kwa nini siyo mahali pengine      popote?
  (2) Kwa nini kinaunganishwa na akaunti yako ya benki?
  Kumbuka Biblia inasema hutakuwa na uwezo wa kununua au kuuza kama huna hiyo chapa. Na Je, unafahamu! Kifaa hicho kinaunganishwa na taarifa zako zote zinazohusiana na pesa. Kinachouma moyo wangu kuliko yote ni kwamba watu wengi waliopo kanisani hawatanyakuliwa iwapo Yesu atakuja sasa? Wengi hawajui kwamba wakati umekaribia.Wala usiniambie kwamba haya ni maendeleo tu ya kiulimwengu, au teknolojia tu, au kitu cha kufikirika tu kama ndoto.
Kama kuna eneo lolote katika maisha yako ambalo haliko sawa na neno la Mungu, ni wakati muafaka kugeuka kabisa haraka na kumrudia Mungu, tubu na jiandae maana mwisho umekaribia sana  SASA...Jehanamu siyo mahali pazuri kabisa, na ukweli ni kwamba ni mateso ya milele...tafadhali, jiunge nami kupiga mbiu hii. Tuma kwa kila mtu unaye mfahamu....
TAFADHALI fanya sehemu yako katika hili.


UFUNUO 13:15-18
 
Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudia sanamu ya mnyama wauawe. 16 Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao; 17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake. 18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment