Tuesday 18 September 2012

RE: [wanabidii] MTANGAZO YA COCA COLA YANADHALILISHA AFRIKA ?

Nilipoona hili tangazo mara ya kwanza nilipiga marufuku home kunywa Coca ati.afadhali kama wenye kipaza sauti nao wamesema

 e: Wed, 19 Sep 2012 08:03:49 +0300
Subject: Re: [wanabidii] MTANGAZO YA COCA COLA YANADHALILISHA AFRIKA ?
From: denis.matanda@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Spot on Yona. Shame kuwa hakuna mtu yeyote kwenye cocacola ambaye amegundua kuwa ni udhalilishaji wa kiwango cha mwisho kuendelea kutumia hilo tangazo.
 
Pepsi oyeeee!

2012/9/19 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu zangu

Katika gazeti la Raia mwema toleo la wiki hii , kuna makala katika
ukurasa wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari NI SAHIHI COCA COLA NA
SABABU BILIONI  AFRIKA ?

Mwandishi wa makala hiyo ametoleo mifano miwili kuonyesha jinsi
kampuni hii inavyodhalilisha waafrika na afrika kwa ujumla .

FATHER CHRISMASS NA UTOAJI ZAWADI

Hapa anasema kati ya mwaka 2008 mpaka 2010 katika msimu wa sikukukuu
za XMASS , kuna tangazo linamwonyesha mtu huyo ambaye ni mweupe anatoa
zawadi kwa mweusi ambaye ni mwafrika .

Anahoji kwanini mweusi asimpe zawadi mweupe wakati mweupe ndio mgeni
afrika ? Tangazo lionyeshe ukaribu wa waafrika kwa wageni ?

SABABU BILIONI AFRIKA

Hapa anasema kuna maneno yafuatayo kwenye tangazo hili jipya " Wakati
dunia inahangaika na majanga na kuhofia maisha ya baadaye , bilioni
moja ya waafrika wanakunywa na kufurahia coca cola "

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment