Wednesday 19 September 2012

Re: [wanabidii] MTANGAZO YA COCA COLA YANADHALILISHA AFRIKA ?

Hii sio soda bali ni sumu: kuthibitisha hili, kachukue kipande cha jino la ng'ombe, chukua na chupa ya coca cola yenye soda, na unaweza kuipunguza kiasi; kisha tumbukiza kipande cha jino la ng'ombe au mbuzi (maana kwa asili ya jino hili limetengenezwa kwa  madini ya Kalshiam/Calcium), rudishia kizibo kwenye chupa, kisha iweke wa muda wa siku tatu hadi saba hivi. Kisha kakague kipande cha jino ulichotumbukiza kwenye soda yako. Je, kiko sawa kama ulivyokiweka? Hakika hakitakuwa hivyo, kitakuwa kimesha meng'enyuliwa na kimimika cha soda ya coca.

Kwa wale walio na magari, pale gari yako inapokusumbua wakati wa kuiwasha kwa vile 'terminal' za betri yako zimechafuka, na hivyo kusababisha mzunguko hafifu wa umeme kwenye gari yako, usipate shida! Pindi linapotokea hili, kachukue soda ya coca, imimine kwenye terminal za betri ya gari yako au weka soda kwenye chomba ambacho unaweza kuchukua terminal za nyaya za betri ya gari yake na kisha zitumbukize humo. Angalia kutatokea nini, kisha angalia tena, kumetokea nini kwenye nyaya za terminal? Hakika zitakuwa nyeupe kama vile umezisugua sijui na kitu gani? Na ukizifunga kwenye gari yako, mambo huwa ni shwari kama vile hakuna kilichotokea.

Kama Coca Cola inaweza kutakatisha terminal ya waya wa gari yako (ambao kwa asili umetengenezwa kwa shaba) kiasi hiki, inatufanya nini kwenye matumbo/miili yetu? TAFAKARI.

Sinywi coca, na sio tu coco, hata na Pepsi vilevile, hakuja jema; yote maji ya kujichubua!

2012/9/19 Anael Macha <kowiri@hotmail.com>

Nilipoona hili tangazo mara ya kwanza nilipiga marufuku home kunywa Coca ati.afadhali kama wenye kipaza sauti nao wamesema

 e: Wed, 19 Sep 2012 08:03:49 +0300

Subject: Re: [wanabidii] MTANGAZO YA COCA COLA YANADHALILISHA AFRIKA ?
From: denis.matanda@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Spot on Yona. Shame kuwa hakuna mtu yeyote kwenye cocacola ambaye amegundua kuwa ni udhalilishaji wa kiwango cha mwisho kuendelea kutumia hilo tangazo.
 
Pepsi oyeeee!

2012/9/19 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu zangu

Katika gazeti la Raia mwema toleo la wiki hii , kuna makala katika
ukurasa wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari NI SAHIHI COCA COLA NA
SABABU BILIONI  AFRIKA ?

Mwandishi wa makala hiyo ametoleo mifano miwili kuonyesha jinsi
kampuni hii inavyodhalilisha waafrika na afrika kwa ujumla .

FATHER CHRISMASS NA UTOAJI ZAWADI

Hapa anasema kati ya mwaka 2008 mpaka 2010 katika msimu wa sikukukuu
za XMASS , kuna tangazo linamwonyesha mtu huyo ambaye ni mweupe anatoa
zawadi kwa mweusi ambaye ni mwafrika .

Anahoji kwanini mweusi asimpe zawadi mweupe wakati mweupe ndio mgeni
afrika ? Tangazo lionyeshe ukaribu wa waafrika kwa wageni ?

SABABU BILIONI AFRIKA

Hapa anasema kuna maneno yafuatayo kwenye tangazo hili jipya " Wakati
dunia inahangaika na majanga na kuhofia maisha ya baadaye , bilioni
moja ya waafrika wanakunywa na kufurahia coca cola "

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

Fratern Kilasara,
P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment