Huu mkanda ni wa kweli au ni igizo?. Kama ni kweli ni ya mwaka gani? Ni muhimu kabisa mipango ikaandaliwa kukabiliana na changamoto hii hapo Dar. La sivyo ni kuzalisha tatizo ambalo wengine hawataona kuwa linatokana na maendeleo
--- On Thu, 9/27/12, Emmanueley Mgongo <emmanueley@gmail.com> wrote:
From: Emmanueley Mgongo <emmanueley@gmail.com> Subject: [wanabidii] MSONGAMANO DAR NA TRENI To: Date: Thursday, September 27, 2012, 12:01 AM
NIMEPATA HII NIKAONA NIKUJUZE NAWE Siku si nyingi zijazo tutaanza kutumia treni kwa usafiri ndani ya jiji la Dar. Ni muda muafaka kuanza kujiuliza maswali mengi: je, mfumo umejiandaaje kuukabili msongamano utakaotokea Ubungo baada ya treni hizo kumwaga watu kwa mamia toka mjini? Kwa wenzangu waendao Kimara, Mbezi, n.k. wameandaliwa vipi kupokea dhahama itakayowapata kutokana na "mlundikano" (juu ya msongamano!) huo hapa Ubungo?
Ili kutafakari vizuri na labda kujaribu kuchukua hatua hatua, hebu angalia shughuli ilivyo kwa wenzetu huko China ambako tayari wanatumia treni za mitaani! Je, hayatatupata haya?
KAMA KWAO NDIO HIVI WALIOENDELEA JE SISI??
-- "No matter how far down the wrong road you've gone, TURN BACK."
"I would like to live as POOR MAN with lots of MONEY"
"By the the time a MAN is wise enough to watch his step, he is too old to go anywhere"
"TODAY IS TOMORROW YOU WORRIED ABOUT YESTERDAY"
MGONGO EMMANUELEY P. P.O.BOX 3746 DAR ES SALAAM MOBILE:0784-740487 0715-388883 0755-388883 emmanueley@iwayafrica.com emmanueley@in.com emmanueley@ecommtz.com chandling@ecommtz.com sales@ecommtz.com WEB: www.ecommtz.com
-- "No matter how far down the wrong road you've gone, TURN BACK."
"I would like to live as POOR MAN with lots of MONEY"
"By the the time a MAN is wise enough to watch his step, he is too old to go anywhere"
"TODAY IS TOMORROW YOU WORRIED ABOUT YESTERDAY"
MGONGO EMMANUELEY P. P.O.BOX 3746 DAR ES SALAAM MOBILE:0784-740487 0715-388883 0755-388883 emmanueley@iwayafrica.com emmanueley@in.com emmanueley@ecommtz.com chandling@ecommtz.com sales@ecommtz.com WEB: www.ecommtz.com -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment