Saturday 8 September 2012

Re: [wanabidii] Miaka 50 ya Uhuru wa Uganda

Matinyi!!
Kama upo makini kidogo utaona hilo darasa lipo katikati ya majengo mawili ya kisasa ambayo sina uhakika kama yamekamilika.Kwangu hii inatoa picha kuwa pamoja na hali hiyo kuna mchakato wa kuondokana na hali hiyo.Sina uhakika unamaanisha nini unaposema "Afrika tumelaaniwa nini sijui?"katika muktadha wa picha hiyo!!!Any way juhudi zipo japo kwa mwendo wa pole sana.Kila mtu na awajibike kwa nafasi yake kwa kutumia rasilimali chache zilizopo tutaona changes kubwa tu.Tukiendelea kusubiri "wajomba" [donors] wakohoe ndio tufanye maendeleo tutaendelea kulaumu na kulaumiana kama sio kujilaani siku zote.
 
Nawasilisha.

______________________________
Without "Ethical Culture" there is No Salvation for Humanity
______________________________
A D D R E S S
John J. Malata
Vikindu Teachers` Training College.
P.O  Box 16268
DAR ES SALAAM
TANZANIA 
Mobile:    +255 754 351 868
Altenative  e-mail:    malata_3@live.com
Blog:http://pengotz.blogspot.com/

--- On Sat, 9/8/12, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Subject: [wanabidii] Miaka 50 ya Uhuru wa Uganda
To: "Wanabidii googlegroups" <wanabidii@googlegroups.com>, "Mabadiliko" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Date: Saturday, September 8, 2012, 12:10 PM

Miaka 50 ya uhuru wa Uganda na hali ya elimu vijijini. Angalia hili darasa.
Afrika tumelaaniwa nini sijui?
Chanzo: UAH postings.

--
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment