Saturday 8 September 2012

Re: [wanabidii] Miaka 50 ya Uhuru wa Uganda

Matinyi,
Sijaona lolote la maana linaloendelea Uganda, kila dakika ni misafara
ya viongoz, niliuliza nikaambiwa hata baadh ya wakuu wa vituo vya
polisi wamepewa comvoy! Mji ni mchafu umejaa mbwa koko na taka
zimezagaa hovyo, safu ya uongoz kumeoza mawazir lukuki, hata mama
amepewa wizara maalum. Kila mahal kumejaa rushwa, polisi wamejaa kila
pahala tena na silaha, ukiangalia kwa haraka idadi ya polisi waliopo
Kampala, yaweza kuwa nusu ya watu waishio mji huo ukitoa askar kanzu.
Vijana ni mirungi, pombe, kamari na bange. Tegemeo la kipato chao
limebaki kwenye betting za mipira. Thubutu kuwa mpinzani wa safar ya
lile basi la mheshiwa ukione cha mtema kuni!

On 9/8/12, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:
>
>
> Miaka 50 ya uhuru wa Uganda na hali ya elimu vijijini. Angalia hili
> darasa.Afrika tumelaaniwa nini sijui?Chanzo: UAH postings.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
>
>
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment