Wednesday 12 September 2012

Re: [wanabidii] Mhe Lowassa amuachia Sumaye Urais 2015

Kaka unasema kwamba wagombea wengine ni mafisadi ila unamtaka bwana
Ngoyayi agombee aokoe wanyonge????? sijui kama nimekusoma sawa sawa!!!

Massanja

2012/9/12 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>:
> Kama haya ni kweli basi, naomba Lowasa ajue kuwa mtu ukiugua leo sio kuwa
> kama utakuwa bado unaumwa mpaka 2015. Ya nini akate tamaa. Si vema hata
> kidogo yeye Lowasa kujitoa katika kinyang'anyiro cha uraisi mwaka 2015
> kwani kwa upande wa CCM yeye anazo 99% za kuchukua kiti hicho. Ni nani wa
> kupambana naye?Je msanii Membe,au Migiro atayeburuzwa kama Makinda?Au
> nani???? Na tunamuomba pia atusaidie kuhakikisha kwa moyo wa dhati kabisa
> mtu anayeteuliwa na CCM ni yule atayetufaa wa Tz. Kwani asipofanya
> hivyo,hawa walioshindwa hata kukutunzia tunu ya amani yetu watataka pia
> kutuletea watu wanafiki wenye ajenda za kulindana,kitu ambacho kitatumaliza
> watanzania.
>
> Na pia Lowasa ajue kuwa,watanzania tunajua kuwa hakuna binadamu
> mkamilifu...wengi wetu kwa sasa tunaangalia ni nani mwenye uwezo wa
> kutusaidia kufika tunapotaka kufika.Walikuwepo watu tuliodhani wasafi,sasa
> wananuka kwa ufisadi....na bila msaada wowote kwa wanaonyonywa. Tunaamini
> kwa kukaa kwake nje,amejifunza mengi. Aingie katika kinyang'anyiro na aone
> kuwa anayetoa uraisi ni Mungu au wanadamu....
>
> The only challenge iliyo mbele ya Lowasa ni mgombea gani wa kiti cha uraisi
> atasimamishwa na CHADEMA?And this,they gat to think very carefully.
>
> Ngupula
>
>
> ________________________________
> From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Tuesday, 11 September 2012, 19:59
>
> Subject: Re: [wanabidii] Mhe Lowassa amuachia Sumaye Urais 2015
>
> Cjawahi kuongelea mambo ya 'uamuzi mgumu', sijui umeyatoa wapi wewe
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> -----Original Message-----
> From: Gaston Mbilinyi <mbilinyi.gaston49@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tue, 11 Sep 2012 19:02:41
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Mhe Lowassa amuachia Sumaye Urais 2015
>
> Hivi Mh. HKigwangallah ule uamzi wako mugumu si ulisema unautoa leo?
> Vipi, tayari?
>
> On 9/11/12, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
>> Taarifa hizi zimeutolea wapi uhakika?
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>
>> -----Original Message-----
>> From: Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Tue, 11 Sep 2012 18:53:04
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: Re: [wanabidii] Mhe Lowassa amuachia Sumaye Urais 2015
>>
>> Hahahahah, kwahiyo wao ndo wanaamua nani awe Rais na nani asiwe?
>>
>>
>> 2012/9/11 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
>>
>>> Taarifa za uhakika zinasema waziri mkuu wa zamani ameamua kubwaga
>>> manyanga katika kutafuta uraisi kupitia CCM mwaka 2015 badala yake
>>> kumpa nafasi hiyo waziri mkuu wa zamani ndugu Fredirick Sumaye .
>>>
>>> Hali hii imetokea baada ya Mhe Lowassa kusumbuliwa na maradhi mara
>>> kadhaa .
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>>
>>
>>
>> --
>> Nicomedes M. Kajungu
>> P.O.Box 7520, Mwanza.
>> Cel: +255 782 315 688,
>> +255 767 48 32 71,
>> +255 719 451 850
>>
>> Email: nicomedes76@gmil.com
>> Skype add: nkajungu
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment