Tuesday 18 September 2012

Re: [wanabidii] MADAKTARI WAMWOMBA RADHI RAIS NA WATANZANIA

Novat;
Ni kweli kwamba hawa jamaa hawastahili kumwomba Rais msamaha ila watanzania,kwani sidhani kama katika ule mgomo Rais wa Tz alidhurika kama tulivyopata madhara sisi watz wa kawaida,hii inaonekana kama ni kamchezo ka kuchanganya na kutojua mipaka ya siasa na professionalism na hii ndio mojawapo ya mambo yanayotumaliza nchii hii i.e. every where we want to apply politics.
Jana nimeomba Madaktari watupe kauli na msimamo wao kuhusu tukio hili mana Watz hatuwaelewi lakini mtu mmoja akasema Dr. Paul Swakala amepandikizwa kisiasa,so it seems we do not know where we are heading,tupo tupo tu.
 
Reuben
From: SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyawata@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, September 18, 2012 7:25 AM
Subject: Re: [wanabidii] MADAKTARI WAMWOMBA RADHI RAIS NA WATANZANIA
Reuben,
Hivi Rais si Mtanzania! Iwapo nia ya dhati ni kuwaomba watanzania msamaha, taarifa kwa umma ya habari ilikuwa inatosha.
Hivi kweli huu ni msamaha wa dhati unaoombwa! Watanzania bado tuna maswali ambayo hatukupaswa kujiuliza tena ila kwa uchache ambayo waandishi wa habari waliokuwepo walipaswa kutusaidia kuwauliza ndugu zetu;
Je kwa msingi huu mapungufu waliyoainisha kabla na wakati wa mgomo, hayakuwepo kabisa? Na kama yalikuwepo kweli je yote yamepata ufumbuzi.?
Hata kamati ya ya Bunge ya Huduma za Jamii ilikiri kuona mapungufu hivyo kuitaka serikali kufanya maboreshe na pia kuwarejesha hawa Interns, je nao walidanganya?
 
Walipaswa watupe majibu, ila Yona anaweza kuwasaidia maaana amesadiki yaliyotolewa na ndugu zetu. Sisi hatuna shida kusamehe lakini ukweli unapaswa uwaongoze katika hoja yao, ili itusaidie kuvuka hatua hii kwa lengo la kuboresha.
 
Mungu Atusaide tutafika
 
Novat

From: Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, September 18, 2012 10:58 AM
Subject: Re: [wanabidii] MADAKTARI WAMWOMBA RADHI RAIS NA WATANZANIA
Taarifa hii ipo katika gazeti la Daily News la leo,lakini haihusishi madaktari bigwa ni wale waliokuwa Intern.
msemaji wao Dr. Paul Swakala amedai wanatafuta wasaa kuonana na Rais ili kumuomba msamaha.
 
!Braza!
From: Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, September 18, 2012 1:46 AM
Subject: Re: [wanabidii] MADAKTARI WAMWOMBA RADHI RAIS NA WATANZANIA
Mh. HK,

Yona atakupotezea muda wako bure!!!

From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, September 18, 2012 1:48 AM
Subject: Re: [wanabidii] MADAKTARI WAMWOMBA RADHI RAIS NA WATANZANIA
Yona, mi ninashaka sana na ulichokiandika hapa maana nimo kwenye eGroup ya madaktari inayokwenda kwa jina la muxalumni na sijaona kitu kama hicho...ama hii ni propaganda inayolenga kuwatawanya kabisa wanafani hawa???! Nakushauri uwe makini sana na kuwachokonoa maDk ambao bado wana majeruhi mioyoni mwao na wengine wameacha kazi kwa hasira. Fahamu kuwa propaganda hazisaidii sana kutatua tatizo la huduma mbovu za afya nchini...wewe si Mbunge wala mtafiti wa mfumo wa afya kama nilivyo mimi, naomba nikuelimishe tu kuwa 'kuna tatizo kubwa kwenye mfumo mzima wa afya nchini' na ufumbuzi si siasa, vitisho ama propaganda kama hizi! Wanaoumia si wewe na mimi na familia zetu, wao wahanga halisi, ambao hawaandiki emails za props kama zako!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 17 Sep 2012 15:29:58 -0700 (PDT)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] MADAKTARI WAMWOMBA RADHI RAIS NA WATANZANIA

Kama ni kweli basi hili ndilo kosa.
Kuwaomba msamaha watanzania kwa kuwa walifanya kosa la kuwatafutia mazingira bora ya kutibiwa wanayonyimwa na mipango mibaya na wanasiasa. --- On Mon, 9/17/12, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] MADAKTARI WAMWOMBA RADHI RAIS NA WATANZANIA
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, September 17, 2012, 9:49 AM

Ndugu zangu Nasikia Baadhi ya madaktari waliokuwemo kwenye mgomo wamewaomba radhi watanzania na rais wa tanzania mhe jakaya mrisho kikwete kutokana na mgomo uliotokea . Mimi kama mtanzania nimewasamehe na nawatia moyo waendelee na kazi zao kama kawaida na wale waliofunguliwa mashtaka mbalimbali yanayohusiana na mgomo , wafutiwe kesi hizo warudi makazini na hata wale wanafunzi pia wasamehewe warudi makazini kama kawaida . -- Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/ Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/ Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/ Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.    

-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

0 comments:

Post a Comment