Tuesday 18 September 2012

Re: [wanabidii] MADAKTARI WAMWOMBA RADHI RAIS NA WATANZANIA

Hiyo ndio gharama ya democrasia tunayolilia kila siku , sio lazima kukubaliana na kila kitu lazima tuheshimu hilo as long hakuna sheria ya nchi iliyovunjwa .

Kama tunataka kufika nchi ya ahadi lazima tujifunze kutokukubaliana na kuvumiliana kwa hoja tofauti haswa ambazo hatuna maslahi nazo kisiasa , kiuchumi au kitaaluma .

2012/9/18 abel makubi <makubi55@gmail.com>
Yule si msemaji wa Intern Drs. Ila nasikia ni kada...... So MAN AT WORK,

2012/9/18 Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com>
Taarifa hii ipo katika gazeti la Daily News la leo,lakini haihusishi madaktari bigwa ni wale waliokuwa Intern.
msemaji wao Dr. Paul Swakala amedai wanatafuta wasaa kuonana na Rais ili kumuomba msamaha.
 
!Braza!
From: Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, September 18, 2012 1:46 AM

Subject: Re: [wanabidii] MADAKTARI WAMWOMBA RADHI RAIS NA WATANZANIA
Mh. HK,

Yona atakupotezea muda wako bure!!!

From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, September 18, 2012 1:48 AM
Subject: Re: [wanabidii] MADAKTARI WAMWOMBA RADHI RAIS NA WATANZANIA
Yona, mi ninashaka sana na ulichokiandika hapa maana nimo kwenye eGroup ya madaktari inayokwenda kwa jina la muxalumni na sijaona kitu kama hicho...ama hii ni propaganda inayolenga kuwatawanya kabisa wanafani hawa???! Nakushauri uwe makini sana na kuwachokonoa maDk ambao bado wana majeruhi mioyoni mwao na wengine wameacha kazi kwa hasira. Fahamu kuwa propaganda hazisaidii sana kutatua tatizo la huduma mbovu za afya nchini...wewe si Mbunge wala mtafiti wa mfumo wa afya kama nilivyo mimi, naomba nikuelimishe tu kuwa 'kuna tatizo kubwa kwenye mfumo mzima wa afya nchini' na ufumbuzi si siasa, vitisho ama propaganda kama hizi! Wanaoumia si wewe na mimi na familia zetu, wao wahanga halisi, ambao hawaandiki emails za props kama zako!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Date: Mon, 17 Sep 2012 15:29:58 -0700 (PDT)
Subject: Re: [wanabidii] MADAKTARI WAMWOMBA RADHI RAIS NA WATANZANIA

Kama ni kweli basi hili ndilo kosa.
Kuwaomba msamaha watanzania kwa kuwa walifanya kosa la kuwatafutia mazingira bora ya kutibiwa wanayonyimwa na mipango mibaya na wanasiasa.--- On Mon, 9/17/12, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] MADAKTARI WAMWOMBA RADHI RAIS NA WATANZANIA
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, September 17, 2012, 9:49 AM

Ndugu zanguNasikia Baadhi ya madaktari waliokuwemo kwenye mgomo wamewaomba radhiwatanzania na rais wa tanzania mhe jakaya mrisho kikwete kutokana namgomo uliotokea .Mimi kama mtanzania nimewasamehe na nawatia moyo waendelee na kazi zaokama kawaida na wale waliofunguliwa mashtaka mbalimbali yanayohusianana mgomo , wafutiwe kesi hizo warudi makazini na hata wale wanafunzipia wasamehewe warudi makazini kama kawaida .-- Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment