Kama ni kweli basi hili ndilo kosa. Kuwaomba msamaha watanzania kwa kuwa walifanya kosa la kuwatafutia mazingira bora ya kutibiwa wanayonyimwa na mipango mibaya na wanasiasa.
--- On Mon, 9/17/12, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> Subject: [wanabidii] MADAKTARI WAMWOMBA RADHI RAIS NA WATANZANIA To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Monday, September 17, 2012, 9:49 AM
Ndugu zangu Nasikia Baadhi ya madaktari waliokuwemo kwenye mgomo wamewaomba radhi watanzania na rais wa tanzania mhe jakaya mrisho kikwete kutokana na mgomo uliotokea . Mimi kama mtanzania nimewasamehe na nawatia moyo waendelee na kazi zao kama kawaida na wale waliofunguliwa mashtaka mbalimbali yanayohusiana na mgomo , wafutiwe kesi hizo warudi makazini na hata wale wanafunzi pia wasamehewe warudi makazini kama kawaida . -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+ unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment