Wednesday 12 September 2012

Re: [wanabidii] MAANDAMABO YA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO

safi saana waandishi wa habari kumfukuza huyo beduli. Bila shaka alikuwa na tunguli kwani mulimualika?

2012/9/12 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
 
Monica
Nenda forward.
Tuma kwenye adress yako Utaziona

--- On Wed, 9/12/12, Monica Malle <moninaike@hotmail.com> wrote:

From: Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
Subject: RE: [wanabidii] MAANDAMABO YA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO
To: "Wanabidii googlegroup" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, September 12, 2012, 1:04 AM

Mbona hizo picha hazionekani?
 
Date: Tue, 11 Sep 2012 08:32:32 -0700
Subject: [wanabidii] MAANDAMABO YA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO
From: paulinemengi@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

2012/9/11 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Mmefanya vizuri kumnyima Nchimbi kuja kusemea kwenye mkutano huu. Ana nafasi nyingi za kusemea na mda wa kusema umeishapita. Alistahili kusema siku hiyohiyo ya Tukio. Hawaoni wenzake akina Mwakyembe yanayowahusu hawachelewi kusema?
 
Maandamano ya kimya yangeendelea siku tano Huenda serikali ingevunja kimya! Ni aibu hadi sasa serikali kuendelea kuwakumbatia wahalifu akiwemo RPC wa Iringa.

--- On Tue, 9/11/12, severina martin <sisoba2003@yahoo.co.uk> wrote:

From: severina martin <sisoba2003@yahoo.co.uk>
Subject: [wanabidii] Fw: hi
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, September 11, 2012, 7:58 AM

----

MAANDAMABO YA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO

 Waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari jijini Dares Salaam wakiandamana kimyakimya kuelekea viwana vya Jangwani ikiwa ni hatua ya kuonyesha hisiazao za kupinga mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi dhidi ya raia.
 Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania,Nevil Meena akitoa muongozo wa njia ya kupita wakati wa Maandamano hayo leo.
 Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania,Nevil Meena akitoa Tamko.

Tamko lililotolewa na Katibu wa Jukwaa la Wahariri Nevil Meena, kuhusu maandamano hayo,

"Kunawatu wanahoji tunaandamana alafu iweje wakati siye ndio wenye vyombo vya habari si tuandike tu? Hapana kuandamana kwetu kunamaana sana tumeandamana sikama hatuna uwezo wakufanya kitu zaidi ya kuandamana, tunazo silaha kubwa zaidi ya maandamano lakini hii ni hatuayapili baada ya matamko mbalimbali kutolewa.

Aidha meena akahoji hivyo inakuaje kama sikumoja watu wakaamka wakakuta hakuna chombo chochote cha habari kilicho hewani hakuna tv, hakuna radio na wala hakuna magazeti nchi hii itakuwaje?

Wanahabari waendelee kuwa na utulivu hatua mbalimbali zitakazoendelea kuchukuliwa watafahamishwa kuhusiana na tukio hilo."

Vingozi wengi wa vyama vya waandishi wa habari waliotoa maoni yao kwenye mkusanyiko huo waliitaka serikali wachukue hatua na damu ya Mwangosi iwes shule kwao.
 Mhariri Mtendaji wa Channel Ten,Dinah Chahali akizungumza.
Waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari jijini Dares Salaam wakiandamana kimyakimya kuelekea viwana vya Jangwani ikiwa ni hatua ya kuonyesha hisiazao za kupinga mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi dhidi ya raia.

 Waandishi wakiigiza tukio la mauaji ya Daudi Mwangosi namna lilivyotokea huko Iringa wakati wa maandamanoyao yalioanzia kwenye ofisi za Chanel ten hadi jangwani leo asubuhi.
Wazee wa Feva nao hawakua nyuma kufatilia Maandamano hayo.
Waziri wa Ulinzi Emmanuel Nchimbi akizondolewa kwenye mkusanyiko wa waandishi wa habari baada ya kukataliwa kuzungumza chochote kutokana na kutoalikwa kwenye mkutano huo. Waandishi wa habari walishangazwa na kuwepo kwake wakati hakukua na kiongozi yeyote aliyealikwa kutoka serikalini.
Mwandishi wa habari na mhariri Manyerere Jackton, akizungumza mbele ya waandishi wa habari wenzake na kutoa maoni na ushauri wa nini chakufanya.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment