Tuesday 18 September 2012

Re: [wanabidii] Lake Manyara National Park eti iko Kenya ? ! ! !

Nadhani tusiwake sana juu ya hili tukliwalaumu Wakenya wote as if walikaa mkutano na kuamua kuandika vijisentensi hivi, basi tukawahukumu Wakenya wote kuwa wanatuhujumu.
 
Kwangu inasomeka kama ni ujinga wa mtu mmoja tu, tena asiyeijua Jografia sawasawa, ambaye aliamua kuonesha kuwa naye yumo, akadiriki kuyaandika yote haya, yakasomeka kama mlivyoyanasa. Wa uelewa mdogo kama huu hata kwetu wapo. Ukiwaaambia wakuchoree ramani ya mkoa wao tu, achilia mbali ramani ya Tanzania, inakuwa ni issue.
 
Shusheni mioyo na akili. Huyu hajaandika kuweka hukumu kuwa kweli jografia mahalia ndivyo ilivyo. Hakuna anayebisha kuwa hakujatangazwa mgogoro wowote baina ya Tanzania na Kenya, ila tu ni wajinga wachache (samahanini kwa lugha kali) wanaofikiri kwa vidole vyao visivyo na kazi, wanaweza kuthubutu kuwachonganisha watu wa nchi hizi kwa dhana yao ya kuandika vitu wasivyojisumbua hata kusoma atlasi na kuwa navyo uhakika. Sidhani hili linahitaji kupeleka majeshi yetu mpakani kuona kama kweli kauli nyepesi kama hizi zina madhara kama tunavyoanza kusokomeza hapa.
 
Ni kweli kuwa Watz tulishatanguliwa na wenzetu kwa ujasiriamali wa kimabavu wa kuamua kuwanunua hata wanazuoni wa Tz kuakisi kauli zao za kupinga kila mradi wa maendeleo unaolizunguka eneo nyeti la Kilimanjaro na Serengeti; kwamba tukiamua kujenga mradi wowote katika maeneo hayo, tunasikia eti wanamazingira wanaandamana Umoja wa Mataifa kupinga, ama eti nao wanajenga Uwanja wa ndege wa kimataifa Voi ili kuihujumu KIA. Wao wamejenga barabara inayokatiza Masai Mara kuelekea Narok toka Nairobi, mbona hatukusema lolote?
 
Hili suala la ulinzi na usalama. Ni suala la kuamka. Kama tulishaamka, basi tukazanie kueneza kuwa Tanzania iko ilivyo na ina vingi. Waje kuviona kwa jina la Tanzania.

--- On Tue, 9/18/12, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote:

From: hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Lake Manyara National Park eti iko Kenya ? ! ! !
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, September 18, 2012, 8:21 PM

Duh! They are just smarter business people these 'aggressive' Kenyans unlike 'slow' Tanzanians (as they always call us)...nobody in the Kenyans gov would actually tell the business people in the tourist sector to advertise as they do but they improvise to attract more clientele towards Kenya...

Tanzanians have to change our mindsets...and promote and nurture talents than kill and discourage them...eti sisi tunadhani vipaji vipo kwenye sanaa tu kumbe hata kwenye uongozi na ujasiriamali - na hivi ni vya muhimu zaidi given their impact esp kwenye multiplier effect!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: "wkihigwa@yahoo.com" <wkihigwa@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 18 Sep 2012 17:11:33 +0000 (UTC)
To: <wanabidii@googlegroups.com>; <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Lake Manyara National Park eti iko Kenya ? ! ! !

Mi nashaa tunakazana eti tupo tayari kupigana na Malawi kugombania Ziwa Nyasa wakati kuna vitu tunavyo tayari ni vya kwetu wala si vya utata wa mpaka tunawaacha walio nje ya nchi waangie na kufaidi. Nilitarajia kwa njisi wakenya wanavyotumia vibaya ujirani mwema Waziri Membe angekwisha kutoa kauli kukemea tabia hii ya nchi ya jirani kudai baadhi ya rasilimali zetu eti ziko nchini kwao.

Tukitoa kauli ya kulaani hiyo tabia najua itawasumbua na watafikiria mara mbili kabla ya ku-claim na kuwatapeli watalii kwa kuwavusha mipaka bila wao kujua

William Kihigwa

Mobhare Matinyi wrote:

Jamani Watanzania tunazidi kuwa nchi ya mabwege huku wenzetu wakivuna tu...............

.......Soma hapo chini eti Lake Manyara National Park iko Kenya? Hii safari inaanzia Nairobi na kuishia Nairobi na hawa watu wanaletwa Tanzania na kuambiwa kuwa Lake Manyara iko Kenya.............................................

8 day Majestic Wildlife Migration Safari Package

Amboseli Serena Safari Lodge, Kenya.

Places you will visit: This East Africa package includes: Amboseli Serena Lodge, Amboseli National Park, Lake Manyara Lodge, Lake Manyara National Park - Kenya, Serengeti Sopa Lodge, Serengeti National Park, Ngorongoro Sopa Lodge, Ngorongoro Crater - Tanzania.
Suitability: This package is excellent for guests wanting to enjoy a full, rewarding safari through the highlights of Kenya and Tanzania.
Note: Based on arrival and departure from Nairobi.

http://www.eastafrica.co.za/Vacation_Packages-travel/8-day-wildlife-migration-safari-package.html
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment