Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 18 Sep 2012 23:43:04 -0700 (PDT)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] Lake Manyara National Park eti iko Kenya ? ! ! !
Brother Matinyi, Sikia hii. Juzi tuko kwenye ndege toka kuja Nairobi. Tukiwa angani rubani akasema maneno yafuatayo, "From the cockpit, this is your captain speaking, we have just crossed the Tanzanian-Kenya boarder and we are in the Kenyan airspace. From your left side you can see mount Kilimanjaro—the pride of Africa. Shortly we shall commence our descend to Jomo Kenyatta International Airport. Thank you for choosing Kenya Airways." Mda wote tukiwa upande wa Tanzania tunapita karibu kabisa na Mlima Kilimanjaro hakusema chochote, lakini tulipoingia kwenye anga ya Kenya, akaanza kuwaaambia abiria mlima ulipo. Maana yake ni kwamba unaweza kuuona huu mlima hata ukiwa upande wa Kenya. Hili limetokea mara nyingi tu. Matinyi na wengine, sisi hatuna national airline wall the well equipped airports za kutoa huduma kwa watalii. Unashangaa sans kusikia kwamba sisi ni wa kwanza kwa vivutio lakini taiga haling shirika la uhakika la ndege sambamba na miundo mbinu ya uhakika. Leo hii unaporuka toka Oliva Tambo airport, kuja Dar au kwenda popote, wanakuonyesha video kama dakika ishirini hivi juu ya Afrika Kusini, historia yake na vivutio huku wakikwambia kwa nini unapaswa kutembelea nchi hiyo. Leo hii Rwanda in a national airline lakini sisi tuna magofu ya ATC. Kuna link kubwa sana kati ya vivutio vya utalii, national airline, miundo mbinu ya uhakika na hoteli za kisasa. Ukifika Julius Nyerere International airport saa nane au tisa ambapo KQ, Ethiopia, Emirate, SA na Qatar zinatua, utangundua tatizo la miundo mbinu. Joto wakati unaposubiri uhamiaji, vyoo vyenyewe havitoshi na mambo mengi. Kumbuka ndege zote hizo zinashusha kama abiria 1000 hivi kwa mara moja. Sasa unashangaa nchi inazungumza kuleta watalii milioni moja mpaka milioni mbili kwa mwaka, kwa miundo mbinu ipi? Katika kutangaza utalii ni watu gani wanachukua tenda kutangaza nchi? Kumbuka sakata la kujitangaza London na South Africa 2010 waliochukua tenda walishindana na nani na walikuwa na uelewa ghani kuhusu utalii? Nitaendelea --- On Tue, 9/18/12, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment