Saturday 15 September 2012

RE: [wanabidii] Haya maneno nimeyapenda!

Idrissa umenena vyema! Jambo la msingi ni kwamba ni vizuri watu wakaheshimu dini za wengine.
Kwa Mkristo, Yesu ni Mungu (japokuwa Muislamu haamini hivyo na hawezi kulazimishwa).
Kwa Muislamu, Muhammad ni Mtume (japokuwa Mkristo haamini hivyo na hawezi kulazimishwa).
Mambo mengine kwa nini Biblia haisemi nini au kwa nini Qur-an hisemi vile ni nijadala mirefu ambayo ni ya kiimani zaidi na kila mtu ana yake na hivyo haitakuwa na muafaka!

Subject: Re: [wanabidii] Haya maneno nimeyapenda!
To: wanabidii@googlegroups.com
From: kimdr53@gmail.com
Date: Sat, 15 Sep 2012 08:58:25 +0000

Yeah ni kweli kabisa kwenye Biblia hakuna Mtume mwenye jina hilo je ndugu Mbegu unafahamu vizuri historia ya Dini zote mbili? Na ni kitabu gani kilitangulia kingine? Na baada ya karne ngapi? Nashauri ufanye utafiti huo na utapata jibu kwanini Biblia takatifu haikutaja jina la Mtume Muhamad SAW! Pia nashauri kuwa ni vizuri watu wakaheshimu dini za watu wengine na Mitume wao ili kuwepo na AMANI duniani.
It is very unfortunate and sad that people have to loose their lives due to some few overreacting groups, however we should be aware of the sensitivity of the matter. The no go area and don't cross the RED line! This is common sense, but common sense is not that common!
Asante sana
Idriss Mussa
Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana

From: Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 15 Sep 2012 08:23:17 +0000
To: Wanabidii Mawazo<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] Haya maneno nimeyapenda!

Salum, na Mkristo akisema Mohammed siyo Mtume itakuweje? Katika Biblia na kwa Wakristo hakuna Mtume mwenye jina hilo!

Date: Fri, 14 Sep 2012 15:12:49 -0700
From: salumkango@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Haya maneno nimeyapenda!
To: wanabidii@googlegroups.com

Ndugu yangu Matanda haya mambo mawili unayojaribu kuyafananisha hayaendani kabisa. Muislam anaposema Yesu si Mungu anarefer ktk kitabu chake cha Qur-ani na baadhi za versi ktk Biblia (chungulia kiatabu cha Yohana i think 3 mstari wa kwanza mpaka wa tano) au Mathayo 10:21-24 na nyinginezo zinazofana na hizo. Hapo hatukanwi Yesu bali ndivyo vitabu vinavyosema. Lakini hii ya Wamarekani haikubaliki. Directly unaattack imani ya mtu na kumtukana Mtume wake bila ya kurefer aya yoyote ile. Huu si uhuru wa kuongea na hakuna tolerance katika hili. Hakuna muislam atakaye thubutu kumtusi Yesu na atakayethubutu kufanya hivyo huyo si muislam.
 
Masuala ya dini ni kuvumiliana  lkn hii haikubaliki. Ni uchokozi  wa dhahiri shahiri. na si mara ya kwanza kwa Marekani kufanya hivi. Inawacost na itaendelea kuwaathiri kwa tabia hizi za kishenzi.
 
--- On Fri, 9/14/12, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Haya maneno nimeyapenda!
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, September 14, 2012, 2:18 AM

Freedom of expression ndio hiyo, Yes. Same freedom of expression ilivyotumika kwa usahihi kabisa kusahihisha makosa yaliyofanywa na mahakama za chini kwenye Kesi ya Dibagula! Mnakumbuka, Yesu sio mungu, right? Inategemeana na nani unazungumza naye.
 
Keyword kwenye coexistence juu ya haya masuala ya dini ni understandiing na tolerance. Hamna wenye uchungu zaidi!!!!

On Fri, Sep 14, 2012 at 11:46 AM, idriss kempanju <kimdr53@gmail.com> wrote:
  That is called American freedom of expression and it is acceptable?? Even if it ridicules other religion`s prophet in the society?? Very Interesting!!
  
                 Idriss Mussa

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

0 comments:

Post a Comment