Saturday 15 September 2012

Re: [wanabidii] Haya maneno nimeyapenda!

Ndugu zangu siku hizi ukipita Ubungo mataa Dar es salaam masaa ya jioni utasikia sauti kubwa toka kwenye vipaza sauti watu wakijadili kwa ushindani kuhusu vitabu hivyo vitakatifu. Sina uhakika kama watu hao ni wamoja au ni tofauti maana utasikia wanabishana sana mwanzo na baadaye wanatulia.

Mtu unajiuliza hivi kitu kinachoitwa imani kinawezaje kuleta ubishi mkubwa hivyo? Mara Yesu Mungu, mara Yesu si Mungu kwa mjibu wa Koran. Mtu unabaki mdomo wazi na kujiuliza kama hao wanaobishana wana akili timamu au la. Itawezekanaje muanze kubishana wakati vitabu munavyonukuu(kufanyia references) havina muelekeo unaofanana? Mbaya zaidi ata hayo maandiko ambayo yapo kwenye imani zao hawayajui vizuri.

Unamuona mtu akijaribu kulazimsha hoja badala ya kuiacha hoja ijiuze yenyewe. Ni upuuzi mtupu mtu kujifanya unadhibitisha imani usiyoijua vizuri kwa wengine ili wakubaliane nawe
.
Ila kilichonifurahisha kwenye mikutano hiyo mwishoni kuna kutoa chochote (sadaka). Inaelekea ni ajira kwa wabishani hao. Bongo hii, bila kuchemsha bongo utalala njaa!
Kazi zipo nyingi tafuta kazi za kufanya siyo hiyo ya ubishi usiokuwa na maana. Mafundisho ya dini yapeleke kwenye nyumba za ibada siyo kila sehemu.

Kila jambo lina mahala pake na wakati wake. Waache watu waamini wanachoamini na bila shaka kitawawezesha kufika mbinguni. Kilichokubalika duniani na mbinguni kimekubalika, watendee wema ndugu zako na mengine yote yatafuata. Kama unataka kuwa shuhuda mzuri kuhusu imani yakupasa ufe kwanza na urudi duniani ili utueleze ukweli hasa wa mambo yalivyo huko.

2012/9/15 Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>
Peter

Ni vigumu kupata jina lingine la kuzipatia fujo hizi. nafikri zinabaki kuwa fujo zisizo na msingi. Iweje uwaumize wasio na hatia?

2012/9/15 Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
Kumbe ni fujo zisizo na msingi!?

From: Mussa Mziya <mkmziya@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, September 15, 2012 11:38 AM

Subject: Re: [wanabidii] Haya maneno nimeyapenda!

Ndugu
 
Freedom of expresion sawa, lakini kama hii freedom inapelekea maafa, nadhani kwa akili za kawaida tu si busara kufanya hivyo. Ile clip nimeiona na si nzuri kufanya vile kwa kweli, yaani imezidi kile kiwango cha kuweza kuivumilia. 
 
Nadhani hawa wamarekani wamefanya Uchokozi huu kwa makusudi mazima na naamini wanayo malengo mahsusi ya kufanya hivi na nadhani hivi karibuni dunia itaelewa nini kilikusudiwa. Islamic world umekuwa kila mara ukichomekewa mambo ambayo hatimaye yatawachelewesha katika maendeleo yao na watakuwa kila uchao wanashughulikia (wana react) mambo ambayo yatawafanya wapigane au wafanye fujo zisizo za msingi.
 
mkm

--- On Sat, 9/15/12, MikiDadi Waziri <kabangatz@gmail.com> wrote:

From: MikiDadi Waziri <kabangatz@gmail.com>

Subject: Re: [wanabidii] Haya maneno nimeyapenda!
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, September 15, 2012, 7:50 AM

Ndugu , mimi nimeona clips za hiya documentary, kwakweli haikubaliki kashfa kama hiyo kwa sisi waislam. Vinginevyo nikutafuta ugomvi usiokwisho.
Alichosema bwana Mkango  ni sahihi.
On Sep 15, 2012 1:12 AM, "salum mkango" <salumkango@yahoo.com> wrote:
 
Ndugu yangu Matanda haya mambo mawili unayojaribu kuyafananisha hayaendani kabisa. Muislam anaposema Yesu si Mungu anarefer ktk kitabu chake cha Qur-ani na baadhi za versi ktk Biblia (chungulia kiatabu cha Yohana i think 3 mstari wa kwanza mpaka wa tano) au Mathayo 10:21-24 na nyinginezo zinazofana na hizo. Hapo hatukanwi Yesu bali ndivyo vitabu vinavyosema. Lakini hii ya Wamarekani haikubaliki. Directly unaattack imani ya mtu na kumtukana Mtume wake bila ya kurefer aya yoyote ile. Huu si uhuru wa kuongea na hakuna tolerance katika hili. Hakuna muislam atakaye thubutu kumtusi Yesu na atakayethubutu kufanya hivyo huyo si muislam.
 
Masuala ya dini ni kuvumiliana  lkn hii haikubaliki. Ni uchokozi  wa dhahiri shahiri. na si mara ya kwanza kwa Marekani kufanya hivi. Inawacost na itaendelea kuwaathiri kwa tabia hizi za kishenzi.
 
--- On Fri, 9/14/12, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Haya maneno nimeyapenda!
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, September 14, 2012, 2:18 AM

Freedom of expression ndio hiyo, Yes. Same freedom of expression ilivyotumika kwa usahihi kabisa kusahihisha makosa yaliyofanywa na mahakama za chini kwenye Kesi ya Dibagula! Mnakumbuka, Yesu sio mungu, right? Inategemeana na nani unazungumza naye.
 
Keyword kwenye coexistence juu ya haya masuala ya dini ni understandiing na tolerance. Hamna wenye uchungu zaidi!!!!

On Fri, Sep 14, 2012 at 11:46 AM, idriss kempanju <kimdr53@gmail.com> wrote:
  That is called American freedom of expression and it is acceptable?? Even if it ridicules other religion`s prophet in the society?? Very Interesting!!
  
                 Idriss Mussa

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

Nicomedes M. Kajungu
P.O.Box 7520, Mwanza.
Cel: +255 782 315 688,
        +255 767 48 32 71,
        +255 719 451 850

Email: nicomedes76@gmil.com
Skype add: nkajungu

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment