Salum, na Mkristo akisema Mohammed siyo Mtume itakuweje? Katika Biblia na kwa Wakristo hakuna Mtume mwenye jina hilo!
Date: Fri, 14 Sep 2012 15:12:49 -0700
From: salumkango@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Haya maneno nimeyapenda!
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
Date: Fri, 14 Sep 2012 15:12:49 -0700
From: salumkango@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Haya maneno nimeyapenda!
To: wanabidii@googlegroups.com
Ndugu yangu Matanda haya mambo mawili unayojaribu kuyafananisha hayaendani kabisa. Muislam anaposema Yesu si Mungu anarefer ktk kitabu chake cha Qur-ani na baadhi za versi ktk Biblia (chungulia kiatabu cha Yohana i think 3 mstari wa kwanza mpaka wa tano) au Mathayo 10:21-24 na nyinginezo zinazofana na hizo. Hapo hatukanwi Yesu bali ndivyo vitabu vinavyosema. Lakini hii ya Wamarekani haikubaliki. Directly unaattack imani ya mtu na kumtukana Mtume wake bila ya kurefer aya yoyote ile. Huu si uhuru wa kuongea na hakuna tolerance katika hili. Hakuna muislam atakaye thubutu kumtusi Yesu na atakayethubutu kufanya hivyo huyo si muislam. Masuala ya dini ni kuvumiliana lkn hii haikubaliki. Ni uchokozi wa dhahiri shahiri. na si mara ya kwanza kwa Marekani kufanya hivi. Inawacost na itaendelea kuwaathiri kwa tabia hizi za kishenzi. --- On Fri, 9/14/12, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment