Tuesday 18 September 2012

Re: [wanabidii] Harambee Ya Mjane Wa Mwangosi; Waliochanga Na Kiasi Kilichopatikana...

Kailima
Inaelekea wewe ndo unataka umaarufu kwa damu ya watu, ilikuwaje uanze
kuliona swala la jina la Chama cha siasa badala ya kuujadili nani
kachanga. Kwa sasa si nia yetu kujadili nani kachanga kwa nia ipi?
Kwani ulikuwepo kwenye vikao vyao vya mchango na kujau nia yao ya
kutoa mchango?

Mr. Mjengwa naona ata wewe umefuata nyayo za Kailima, hao walioomba
kurudishiwa mchango wao sioni ni kwa nini umewarudishia? Nahisi
wamechukizwa na maneno ya kailima kwamba wanatafuta umaarufu kupitia
damu ya mtu. Ili ni tusi kubwa sana na nina wasiwasi wameghaili.
Kailima ana mtazamo wa itikadi za kisiasa na kaona wivu kwamba hao
jamaa watajijenga kisiasa. Sisi hatutajali kama ata yeye ataamua
kutuchangia kwa jina la chama chake tutazipokea tu. Milioni moja si
haba ni ela ambayo ingeisaidia familia ya Mwangosi mambo mengi sana.
Itaniuma sana kama tutazikosa.

Mr. Mjengwa ninakuomba ufikilie upya swala la kukataa kuandika jina la
chama au taasisi na kuliacha kwa mchangiaji aamue yeye kama anataka
jina liandikwe au la. Tusiikose michango kisa jina la chama
lisionekane kwa kumuogopa Kilima ambaye ata sina uhakika kama
amechanga na ana nia gani na familia ya Mwangosi. Yawezekana ana chuki
binafsi na familia ya Mwangosi. Maana itafika mahala ata wewe
utaambiwa unajipendekeza kuendesha harambee ili utangaze jina lako kwa
damu ya Mwangosi.

usiwe na hasira na kutoa uamuzi kwa sababu za wachache ambao hatujui
wana nia gani







On 9/18/12, Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com> wrote:
> Kwani michango ya wana CHADEMA UK ni kweli inawakilisha Umoja wa Watanzania
> UK? Kwa nini ukweli usisemwe? Mbona waliochanga wengi majina yao yametajwa?
> LKK
>
>
>
>
>
> ________________________________
> From: kailima kombwey <kailima.kombwey@googlemail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Tuesday, September 18, 2012 9:41 AM
> Subject: Re: [wanabidii] Harambee Ya Mjane Wa Mwangosi; Waliochanga Na Kiasi
> Kilichopatikana...
>
>
> Wanataka umaarufu kupitia damu ya mwanadamu? Mambo ya ajabu sana. Kwa hiyo
> walikuwa sokoni wanauza jina la chama chao na siyo kutoa mchangovkwa ajili
> ya mjane!!!!! Ama kweli ukistaajabu ya musa utaona
> ya.....................!!!!!
> On Sep 18, 2012 9:35 AM, "maggid mjengwa" <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
>
> 1. Chris Cremence 100,000
>>2. Anonymous 500,000
>>3. Maggid Mjengwa
>>
>>100,000
>>4. Raymond Kasoyaga 20,000
>>5.Edward Mgogo 10,000
>>6.Joachim Kiula 5,000
>>7.Libory Muhanga 5,000
>>8.Geofrey Kagaruki 10,000
>>9.Sadiki Mangesho 10,000
>>10. Edwin Namnauka 40,000
>>11.Daud Mbuba 10,000
>>12. Anonymous 200,000
>>13.Mikidadi Waziri 6,000
>>14. Bungaya Mayo 5,500
>>15. Abraham Siyovelwa 50,000
>>16. Godfrey Chongolo 22,222
>>17. Jacob Mwamwene 51,000
>>18. Denis Bwimbo 153,683
>>19. Zanzibar Ni Kwetu 150, 464
>>20.Felex Mpozemenya 10,000
>>21.Rweyendera Ngonge 11,000
>>22. Festo Temu 10,000
>>23. Azaria Mulinda 10,000
>>24.Khatibu Kolofete
>> 5,000
>>25. John Bukuku 25,000
>>26. Abel
>> 10,000
>>27. Hafidh Kido 10,000
>>28. George Mtandika 16,000
>>29. Shy-Rose Bhanji 200,000
>>30. Raymond Nkya 52,000
>>31. Maganga Sambo 10,000
>>32. Felix Mwakyembe 10,000
>>33. Abdul Diallo
>> 5,000
>>34. Newton Kyando 20,000
>>35. Galanos Myinga 20,000
>>36. Anonymous ( 200 Euro) 497,000
>>37. Yasinta Ngonyani 50,000
>>38. Prosper/ Willy ( Japan) 314,000
>>39. Nuru Mkeremi
>> 131,000
>>40. Anonymous
>> 50,000
>>41. Josephine Mahimbo 50,000
>>42. Anonymous
>> 150,000
>>43. Heladius Macha
>> 30,000
>>44. Emma Malele
>> 10,000
>>45. Anonymous
>> 60,000
>>46. Hendry Mlay
>> 35,000
>>47. Hosea Ngowi
>> 10,000
>>48. Athuman Zuber
>> 5,000
>>49. Hyancinth Komba
>> 7,500
>>50. Edson Kihongole
>> 11,500
>>51. Godfrey Emmanuel
>> 20,500
>>52. Deus M
>> 27,000
>>53.Sigisto Amon
>> 10,000
>>54.Issa Kubonya
>> 10,000
>>55. Richard Dalali
>> 6,000
>>56.Fadhili Mtanga
>> 20,000
>>57. Polycarp Ngowi
>> 5,000
>>58. Salehe Mfaume
>> 10,000
>>59. Deodatus Balile
>> 20,000
>>60. Moses Ringo
>> 15,000
>>61. Dr Rukoma
>> 100,000
>>62. Mobhare Matinyi
>> 100,000
>>63. Humphrey Simba
>> 16,000
>>64. Fredrick Kyambile
>> 10,000
>>65.John Mwakyusa
>> 20,000
>>66. Abdul Njaidi
>> 40,000
>>67. Fidelis Francis
>> 10,000
>>68.Mutachumwa Mukandala
>> 10,000
>>69. Augustino Lukosi
>> 12,500
>>70. Goodluck Arobogast
>> 20,000
>>71. Lusajo Mwasaga
>> 15,000
>>72. Carolina Reynolds
>> 5,500
>>73. Rugenamu Kawa
>> 30,000
>>74. Innocent Kimario
>> 5,000
>>75. Jumuiya Ya Watanzania UK
>> 1,000,000
>>76. Josephat Mwagala
>> 150,000
>>77. Sara Mawere
>> 5,000
>>78. Deograsias Hyasini
>> 15,000
>>79. Anonymous
>> 10,000
>>80. Said Kambi
>> 20,000
>>81. Cassian Mayega
>> 10,000
>>82. Mary Glad
>> 5,000
>>83. David V
>> 153,000
>>84. Anonymous
>> 100,000
>>85. Lingson Adam
>> 21,500
>>86. Augustus Fungo
>> 25,000
>>87.Seka Henjewele
>> 5,000
>>88.Deusdith Bishweko
>> 5,000
>>89.Robert Clemens
>> 10,000
>>90.Isak Kabingo
>> 10,000
>>91.Irene Massawe
>> 10,000
>>92. Oliva Bujulu
>> 11,000
>>93. John Lemomo
>> 10,000
>>94. Joseph Rocket
>> 500
>>95. Prosper Simon
>> 5,500
>>96 Andy Mwakibete
>> 2,000
>>97. Ramadhani Kasonso
>> 20,000
>>98. Anonymous
>> 11,000
>>99. Jenga Ngalawa
>> 200,000
>>100.Stanslaus Nnyari
>> 5,000
>>101.Luth Twissa
>> 75,000
>>102. Mdodi Mlelwa
>> 2,000
>>103. Hatibu Kiobya
>> 5,000
>>104. Benjamin Mkalava
>> 5,000
>>105. Manfred Mjengwa
>> 11,000
>>106. John Malanilo
>> 12,000
>>107. Lutgard Kokulinda Kagaruki
>> 20,000
>>108. Kazikupenda Chale
>> 25,000
>>109. Boniface Sechuma
>> 10,000
>>110. Edmund    Temu       5,000
>>111. Edwin Moshi            5,500
>>112. Syldion Semazina      5,000
>>113. Pastoc Shelutete        50,000
>>114.  Ananilea Nkya          50,000
>>115.  Lucy Bwana              21,000
>>116.  William Genya           25,000
>>117. Anonymous               300,000
>>118. Adam Bakari                21,000
>>
>>
>>Jumla: 5,000,000 (
>> Shilingi Milioni Tano )
>>
>>TAARIFA MUHIMU:  Wachangajiaji niliowatambulisha hapa kama ' Jumuiya Ya
> Watanzania UK'  wameomba mchango wao wa shilingi milioni moja na kumi na
> tano elfu na mia tano urudishwe kwao ili wauwakilishe wenyewe kwa mjane wa
> marehemu kwa vile mchango wao ulipaswa utambuliwe kuwa umetoka
> kwenye chama   chao cha siasa tawi la huko UK.   Mimi, kama mratibu wa
> harambee hii nitatekeleza ombi lao, na nawaomba radhi wahusika waliotoa
> mchango kwa usumbufu wowote niliousababisha. Mjengwablog itaendelea na
> utaratibu wa kukusanya michango yenu bila kuweka utambulisho wa rangi za
> vyama vya siasa kwa wachangiaji.
>>Wenu,
>>Maggid Mjengwa, ( Mratibu)
>>0788 111 765
>>
>>
>>Unaweza kuchangia kwa kutumia; M-Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money au NMB
> Mobile. Kwa namba 0754 678 252, 0712 95 61 31, 0788 111 765 ( Kwa
> walio nje mnaweza kutuma kwa Western Union, jina la mpokeaji- Maggid
> Mjengwa, Tafadhali nijulishe kama utatuma kwa njia ya Western Union ) -
> Mwisho wa kukusanya michango yenu ni Septemba 30, 2012.
>>
>>http://mjengwablog.com
>>
> --
>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment