Wednesday 19 September 2012

Re: [wanabidii] Harambee Ya Mjane Wa Mwangosi; Waliochanga Na Kiasi Kilichopatikana...

Ndugu wanabidii
Kama kuna chama au taasisi kina lengo la namna hiyo ya kujinadi kwenye
msiba basi nadhani hapo patakuwa si mahala pake. Itabidi iandae
mkutano au itafute njia nyingine ya kufanya hivyo. Nafikiri kwa leo
umeiweka hoja yako vizuri na ndo nimukuelewa. Na kama ungeiweka hivyo
tangu mwanzo nisingekuwa na neno.

Ukirejea maelezo ya mwanzo ya ndugu Kilima utagundua kwamba alihusisha
kutambulishwa kwa taasisi au chama katika michango ya msiba ni
kujinadi kitu ambacho hakikuwa sahihi. Na ndiyo maana nilimuuliza
kwamba je kama michango imetolewa na jumuiya au chama unataka iandikwe
kwa jina gani? anonymous au nini maana ata watu wengi waliochangia
wameandikwa majina yao, hao nao wanataka kujinadi? Au Mjengwa mwenyewe
aliyeanzisha michango hiyo naye anajinadi? Swala la kuonyesha kwamba
mchango umetolewa na chama fulani au taasisi fulani linausishwaje moja
kwa moja na kujinadi? Huoni kwamba uwazi na ukweli kwenye michango
hiyo utakuwa hauridhishi endapo michango haitajulikana nani katoa
nini?

Unless chama hicho au taasisi hiyo ilielekeza kwamba inafanya hivyo
kwa lengo la kujinadi na kama kipo chama au taasisi ya namna hiyo mimi
ninasema si swala la kutoandika jina tu bali hata huo mchango
usipokelewe kabisa. Hoja yako ya kumuunga mkono Mjengwa kwamba chama
hakitatambulishwa jina ina kasoro hiyo. Inawezekanaje ujue kwambva
CHAMA FULANI KINATAKA KUJINADI KWA DAMU YA MTU alafu ukubali mchango
wake basi wewe na hicho chama mtakuwa ni walewale. Namalizia kwa
kusema swala la kutojua nani kachanga nini linaweza kuwa kikwazo
katika kufanikisha zaidi zoezi la michango. Ata kwenye daftari za
misiba mtaani uwa tuna daftari ambako kila anayetoa rambirambi uandika
jina

On 9/19/12, kailima kombwey <kailima.kombwey@googlemail.com> wrote:
> Ndugu Mgonge.
>
> Kabla hujaanza kujibu chochote ni busara na hekima kufanya marejeo ya hoja
> unayotaka kuchangia.
>
> Mratibu wa Michango alishatoa msimamo kwamba hataweka utambukisho wa Chama
> au Taasisi yoyote kama wachangiaji. Mzee Lwaitama aliandika makala kuhusu
> suala la kutokuonesha itiadi ya kidini au kichama kwenye uchangiaji huo.
> Nami nilisema kama kuna Taasisi ya dini au chama kitaona hakitakuwa
> kimetendewa haki kwa kutotambulishwa kama dini fulani au chama fulani
> kwenye kuwasilisha michango basi kione namna nyingine ya kuiwasilisha
> michango hiyo ili kijinadi. Sijasema chama kipi au dini ipi. Nashauri
> "strongly" kwamba ninaunga mkono msimamo wa Mjengwa kuwa KUSIWEPO KWA AINA
> YOYOTE YA UTAMBULISHO WA DINI AU CHAMA ambaye haridhiki anaweza kutafuta
> njia ambayo yeye anaona inafaa ili aweze kujimwaga na kujinadi Imani yake
> ya dini au chama chake kadri atakavyo.
>
> Mimi siyo mwanachama na sitaki kuwa mwanachama.
> On Sep 19, 2012 8:15 AM, "mngonge" <mngonge@gmail.com> wrote:
>
>> Kailima
>> Inaelekea wewe ndo unataka umaarufu kwa damu ya watu, ilikuwaje uanze
>> kuliona swala la jina la Chama cha siasa badala ya kuujadili nani
>> kachanga. Kwa sasa si nia yetu kujadili nani kachanga kwa nia ipi?
>> Kwani ulikuwepo kwenye vikao vyao vya mchango na kujau nia yao ya
>> kutoa mchango?
>>
>> Mr. Mjengwa naona ata wewe umefuata nyayo za Kailima, hao walioomba
>> kurudishiwa mchango wao sioni ni kwa nini umewarudishia? Nahisi
>> wamechukizwa na maneno ya kailima kwamba wanatafuta umaarufu kupitia
>> damu ya mtu. Ili ni tusi kubwa sana na nina wasiwasi wameghaili.
>> Kailima ana mtazamo wa itikadi za kisiasa na kaona wivu kwamba hao
>> jamaa watajijenga kisiasa. Sisi hatutajali kama ata yeye ataamua
>> kutuchangia kwa jina la chama chake tutazipokea tu. Milioni moja si
>> haba ni ela ambayo ingeisaidia familia ya Mwangosi mambo mengi sana.
>> Itaniuma sana kama tutazikosa.
>>
>> Mr. Mjengwa ninakuomba ufikilie upya swala la kukataa kuandika jina la
>> chama au taasisi na kuliacha kwa mchangiaji aamue yeye kama anataka
>> jina liandikwe au la. Tusiikose michango kisa jina la chama
>> lisionekane kwa kumuogopa Kilima ambaye ata sina uhakika kama
>> amechanga na ana nia gani na familia ya Mwangosi. Yawezekana ana chuki
>> binafsi na familia ya Mwangosi. Maana itafika mahala ata wewe
>> utaambiwa unajipendekeza kuendesha harambee ili utangaze jina lako kwa
>> damu ya Mwangosi.
>>
>> usiwe na hasira na kutoa uamuzi kwa sababu za wachache ambao hatujui
>> wana nia gani
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> On 9/18/12, Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com> wrote:
>> > Kwani michango ya wana CHADEMA UK ni kweli inawakilisha Umoja wa
>> Watanzania
>> > UK? Kwa nini ukweli usisemwe? Mbona waliochanga wengi majina yao
>> yametajwa?
>> > LKK
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >
>> > ________________________________
>> > From: kailima kombwey <kailima.kombwey@googlemail.com>
>> > To: wanabidii@googlegroups.com
>> > Sent: Tuesday, September 18, 2012 9:41 AM
>> > Subject: Re: [wanabidii] Harambee Ya Mjane Wa Mwangosi; Waliochanga Na
>> Kiasi
>> > Kilichopatikana...
>> >
>> >
>> > Wanataka umaarufu kupitia damu ya mwanadamu? Mambo ya ajabu sana. Kwa
>> hiyo
>> > walikuwa sokoni wanauza jina la chama chao na siyo kutoa mchangovkwa
>> ajili
>> > ya mjane!!!!! Ama kweli ukistaajabu ya musa utaona
>> > ya.....................!!!!!
>> > On Sep 18, 2012 9:35 AM, "maggid mjengwa" <mjengwamaggid@gmail.com>
>> wrote:
>> >
>> > 1. Chris Cremence 100,000
>> >>2. Anonymous 500,000
>> >>3. Maggid Mjengwa
>> >>
>> >>100,000
>> >>4. Raymond Kasoyaga 20,000
>> >>5.Edward Mgogo 10,000
>> >>6.Joachim Kiula 5,000
>> >>7.Libory Muhanga 5,000
>> >>8.Geofrey Kagaruki 10,000
>> >>9.Sadiki Mangesho 10,000
>> >>10. Edwin Namnauka 40,000
>> >>11.Daud Mbuba 10,000
>> >>12. Anonymous 200,000
>> >>13.Mikidadi Waziri 6,000
>> >>14. Bungaya Mayo 5,500
>> >>15. Abraham Siyovelwa 50,000
>> >>16. Godfrey Chongolo 22,222
>> >>17. Jacob Mwamwene 51,000
>> >>18. Denis Bwimbo 153,683
>> >>19. Zanzibar Ni Kwetu 150, 464
>> >>20.Felex Mpozemenya 10,000
>> >>21.Rweyendera Ngonge 11,000
>> >>22. Festo Temu
>> 10,000
>> >>23. Azaria Mulinda
>> 10,000
>> >>24.Khatibu Kolofete
>> >> 5,000
>> >>25. John Bukuku 25,000
>> >>26. Abel
>> >> 10,000
>> >>27. Hafidh Kido
>> 10,000
>> >>28. George Mtandika 16,000
>> >>29. Shy-Rose Bhanji 200,000
>> >>30. Raymond Nkya 52,000
>> >>31. Maganga Sambo 10,000
>> >>32. Felix Mwakyembe 10,000
>> >>33. Abdul Diallo
>> >> 5,000
>> >>34. Newton Kyando 20,000
>> >>35. Galanos Myinga 20,000
>> >>36. Anonymous ( 200 Euro) 497,000
>> >>37. Yasinta Ngonyani
>> 50,000
>> >>38. Prosper/ Willy ( Japan)
>> >> 314,000
>> >>39. Nuru Mkeremi
>> >> 131,000
>> >>40. Anonymous
>> >> 50,000
>> >>41. Josephine Mahimbo
>> 50,000
>> >>42. Anonymous
>> >> 150,000
>> >>43. Heladius Macha
>> >> 30,000
>> >>44. Emma Malele
>> >> 10,000
>> >>45. Anonymous
>> >> 60,000
>> >>46. Hendry Mlay
>> >> 35,000
>> >>47. Hosea Ngowi
>> >> 10,000
>> >>48. Athuman Zuber
>> >> 5,000
>> >>49. Hyancinth Komba
>> >> 7,500
>> >>50. Edson Kihongole
>> >> 11,500
>> >>51. Godfrey Emmanuel
>> >> 20,500
>> >>52. Deus M
>> >> 27,000
>> >>53.Sigisto Amon
>> >> 10,000
>> >>54.Issa Kubonya
>> >> 10,000
>> >>55. Richard Dalali
>> >> 6,000
>> >>56.Fadhili Mtanga
>> >> 20,000
>> >>57. Polycarp Ngowi
>> >> 5,000
>> >>58. Salehe Mfaume
>> >> 10,000
>> >>59. Deodatus Balile
>> >> 20,000
>> >>60. Moses Ringo
>> >> 15,000
>> >>61. Dr Rukoma
>> >> 100,000
>> >>62. Mobhare Matinyi
>> >> 100,000
>> >>63. Humphrey Simba
>> >> 16,000
>> >>64. Fredrick Kyambile
>> >> 10,000
>> >>65.John Mwakyusa
>> >> 20,000
>> >>66. Abdul Njaidi
>> >> 40,000
>> >>67. Fidelis Francis
>> >> 10,000
>> >>68.Mutachumwa Mukandala
>> >> 10,000
>> >>69. Augustino Lukosi
>> >> 12,500
>> >>70. Goodluck Arobogast
>> >> 20,000
>> >>71. Lusajo Mwasaga
>> >> 15,000
>> >>72. Carolina Reynolds
>> >> 5,500
>> >>73. Rugenamu Kawa
>> >> 30,000
>> >>74. Innocent Kimario
>> >> 5,000
>> >>75. Jumuiya Ya Watanzania UK
>> >> 1,000,000
>> >>76. Josephat Mwagala
>> >> 150,000
>> >>77. Sara Mawere
>> >> 5,000
>> >>78. Deograsias Hyasini
>> >> 15,000
>> >>79. Anonymous
>> >> 10,000
>> >>80. Said Kambi
>> >> 20,000
>> >>81. Cassian Mayega
>> >> 10,000
>> >>82. Mary Glad
>> >> 5,000
>> >>83. David V
>> >> 153,000
>> >>84. Anonymous
>> >> 100,000
>> >>85. Lingson Adam
>> >> 21,500
>> >>86. Augustus Fungo
>> >> 25,000
>> >>87.Seka Henjewele
>> >> 5,000
>> >>88.Deusdith Bishweko
>> >> 5,000
>> >>89.Robert Clemens
>> >> 10,000
>> >>90.Isak Kabingo
>> >> 10,000
>> >>91.Irene Massawe
>> >> 10,000
>> >>92. Oliva Bujulu
>> >> 11,000
>> >>93. John Lemomo
>> >> 10,000
>> >>94. Joseph Rocket
>> >> 500
>> >>95. Prosper Simon
>> >> 5,500
>> >>96 Andy Mwakibete
>> >> 2,000
>> >>97. Ramadhani Kasonso
>> >> 20,000
>> >>98. Anonymous
>> >> 11,000
>> >>99. Jenga Ngalawa
>> >> 200,000
>> >>100.Stanslaus Nnyari
>> >> 5,000
>> >>101.Luth Twissa
>> >> 75,000
>> >>102. Mdodi Mlelwa
>> >> 2,000
>> >>103. Hatibu Kiobya
>> >> 5,000
>> >>104. Benjamin Mkalava
>> >> 5,000
>> >>105. Manfred Mjengwa
>> >> 11,000
>> >>106. John Malanilo
>> >> 12,000
>> >>107. Lutgard Kokulinda Kagaruki
>> >> 20,000
>> >>108. Kazikupenda Chale
>> >> 25,000
>> >>109. Boniface Sechuma
>> >> 10,000
>> >>110. Edmund Temu 5,000
>> >>111. Edwin Moshi 5,500
>> >>112. Syldion Semazina 5,000
>> >>113. Pastoc Shelutete 50,000
>> >>114. Ananilea Nkya 50,000
>> >>115. Lucy Bwana 21,000
>> >>116. William Genya 25,000
>> >>117. Anonymous 300,000
>> >>118. Adam Bakari 21,000
>> >>
>> >>
>> >>Jumla: 5,000,000 (
>> >> Shilingi Milioni Tano )
>> >>
>> >>TAARIFA MUHIMU: Wachangajiaji niliowatambulisha hapa kama ' Jumuiya Ya
>> > Watanzania UK' wameomba mchango wao wa shilingi milioni moja na kumi
>> > na
>> > tano elfu na mia tano urudishwe kwao ili wauwakilishe wenyewe kwa mjane
>> wa
>> > marehemu kwa vile mchango wao ulipaswa utambuliwe kuwa umetoka
>> > kwenye chama chao cha siasa tawi la huko UK. Mimi, kama mratibu wa
>> > harambee hii nitatekeleza ombi lao, na nawaomba radhi wahusika waliotoa
>> > mchango kwa usumbufu wowote niliousababisha. Mjengwablog itaendelea na
>> > utaratibu wa kukusanya michango yenu bila kuweka utambulisho wa rangi
>> > za
>> > vyama vya siasa kwa wachangiaji.
>> >>Wenu,
>> >>Maggid Mjengwa, ( Mratibu)
>> >>0788 111 765
>> >>
>> >>
>> >>Unaweza kuchangia kwa kutumia; M-Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money au NMB
>> > Mobile. Kwa namba 0754 678 252, 0712 95 61 31, 0788 111 765 ( Kwa
>> > walio nje mnaweza kutuma kwa Western Union, jina la mpokeaji- Maggid
>> > Mjengwa, Tafadhali nijulishe kama utatuma kwa njia ya Western Union )
>> > -
>> > Mwisho wa kukusanya michango yenu ni Septemba 30, 2012.
>> >>
>> >>http://mjengwablog.com
>> >>
>> > --
>> >>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> >>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> >>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >>
>> >>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> >> ukishatuma
>> >>
>> >>Disclaimer:
>> >>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >> must
>> >> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>> >>
>> >>
>> >>
>> > --
>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> > --
>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>> >
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment