Thursday 20 September 2012

Re: [wanabidii] Harambee Ya Mjane Wa Mwangosi; Waliochanga Na Kiasi Kilichopatikana...

Eng. Matanda,
Nashukuru kwa mchango wako wa mawazo yako. Kwa kifupi ni kwamba aliyeanzisha hoja hii ya kuchangia mke wa marehemu ndiye aliyeweka utaratibu huu. Mimi simfahamu hata kwa sura wala hatuhjawahi kuonana naye, lakini niliheshimu utaratibu wake na kufanya alivyotaka basi. Zaidi sina eng Matanda.
 
K.E.M.S.

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, 20 September 2012, 2:50
Subject: Re: [wanabidii] Harambee Ya Mjane Wa Mwangosi; Waliochanga Na Kiasi Kilichopatikana...

Eng KEMS,
 
Tunaweza kukubaliana kutokubaliana lakini baada ya kila mmoja kuelewa mwenzake anachosema au angalau anachomaanisha. Hawa kina Maggid wanataka kutuaminisha kuwa eti wale walioamua kujulikana ni kwa kuwa wanajitangaza, mimi napinga hili! Kujitambulisha ni tofauti na kujinadi. Kuweka kumbukumbu sahihi, wewe mhandisi unaamini kuwa lengo la watu kuandika majina yao kwenye vitabu vya misiba ni kujitangaza? Kama jibu ni hapana kwa nini taasisi zikiandika ionekane wana malengo ya kujitangaza? Ingetokea taasisi ya Mwl Nyerere wameamua kuchangia wangekatazwa kwa kuonekana "wanajinadi"? Sidhani.
 
Tusipindishe hoja hapa. Kama kuna mtu mwenye jibu la kwa nini ikichangia taisisi inaonekana inajinadi na akichangia mtu binafsi ionekane hajinadi atoe jibu hapa. Kama hauna jibu la swali hili usijifiche nyuma ya kauli kama "aaaah, kuna watu humu wanataka mawazo yao tu ndiyo yasikilizwe"! It's not gonna work.........
 
Eng, Kunyaranyara nasubiria jibu lako!
 
2012/9/20 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Eng.
Naomba nami nichangie mawazo yangu katika hoja hii japokuwa nimewahi kutoa kwa ufupi. Kimsingi niliona kama hoja hii haikuwa na maana sana, lakini kadri siku zinavyokwenda kwa sisi tunaofuatilia mambo hapa kimya kimya naona kama inaweza kufika mahali jambo lenyewe watu wakataka liwe la kisiasa. Mimi nashauri kama mtu mchango wake umekataliwa basi apeleke mwenyewe. Afterall huo ndio utaratibu wetu wa siku zote. Ndugu Mjengwa aliamua yeye mwenyewe wala hakusema kama kulikuwa na Kamati ambayo ilikubaliana kwamba yeye aratibu michango ya mfiwa. Kwa hiyo bado unakuwa wa mwisho kuamua nini kifanyike kulingana na mazingira aliyomo yeye mwenyewe na kazi yake.

Jambo lingine ni kwamba wale wasiotaka kujulikana wameamua wenyewe. Narudia wameamua wenyewe na wala si Mjengwa aliyeamua. Sasa kama mna mashaka na uamuzi wa mtu sasa uhuru wa mtu binafsi mnaona kama mnataka kuungilia. Wale ambao wana mtizamo wa Kisiasa na Kidini amekwishaweka msimamo wake wazi, tatizo hatutaki kukubaliana kutokubaliana. Hili ni tatizo kubwa sana linalokula nchi yetu. Kuna kundi la watu lina aina ya maneno na msimamo ambao linataka siku zote ndiyo yatamkwe. Akitokea mtu ana mameno tofauti utasikia mchumia tumbo huyo, mara oh katumwa, mara .... ali mradi hakusema wanayotaka kusikia. Naumizwa sana na mwelekeo huu kwani mwisho wake naona ni kukosekana kwa uvumilivu miongoni mwetu kisha mambo mabaya yanaweza kutokea, jambo ambalo siombei. Mwisho nashauri kwamba kama mtu hajakubaliwa kuandika kama anavyotaka basi bado kuna njia ya kufikisha yeye mwenyewe mchango wake kwa mfiwa vinginevyo akubaliane na mratibu wa mchango huu kwani halazi ishi mtu kuchangia ni HIYARI ya mtu mwenyewe.
 
K.E.M.S.

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, 19 September 2012, 5:27

Subject: Re: [wanabidii] Harambee Ya Mjane Wa Mwangosi; Waliochanga Na Kiasi Kilichopatikana...

This is ridiculous! Huku mtaani kwetu utaona kwenye madaftari ya michango imeandikwa "jumuiya ya wangoni mlandizi", au "jumuia ya maaskari kuzikana" etc etc. Hizi hoja za kusema vyama vya siasa haviruhusiwi kushiriki matatizo ya kijamii kwa majina yao ni utaratibu ambao unalenga kumnufaisha nani?
 
Kama namna ya kupinga hii kamati ya michango kujiwekea arbitrary rules, tupatiwe namna nyingine ya kuwasilisha michango kwa familia ya marehemu. Nevvile Meena tuokoe sisi wengine tunaopingana na huu udikteta wa  kuamua nani achangie na nani asichangie.
 
Nimekutaja Nevvile kwa niaba ya TEF, tupe alternatives sisi tunaotaka KUJINADI (kwa definition ya Maggid and co). Nataka uhuru wa kuamua nitatambulikaje kwenye huo mchango, nikitaka kutambulika kama mzee wa kipogoro au mzee wa UPDP au denis mkatoliki kwa nini nipangiwe eti kuitwa "anonymous group" au anonymous?
 
Aggghhhhhhhhhhhhhhhhh!
 
2012/9/19 kailima kombwey <kailima.kombwey@googlemail.com>
Ndo sababu nasema usisome kwa kupitia mistari. Kailima sijasema mtu asitambulishwe ila nasema chama au dini zisitambulishwe rudia kusoma tena ndugu yangu.
On Sep 19, 2012 2:43 PM, "mngonge" <mngonge@gmail.com> wrote:
Kailima ukisikia mtu kulazimisha hoja ya nguvu ndo wewe, jipe nafasi
ya kuelewa jambo kwa undani na jenga hoja hatua kwa hatua na tengeneza
premises za hoja zako kwa ajili ya consensus. Usikurupuke na kufikia
maamuzi kwamba wenzio hatuna uelewa kwa sababu ya ukomo wa akili yako.
Jifunze kusikia au kusoma mawazo yanayokinzana na ya kwako itakusaidia
kupanua akili hapo mbeleni.

Umeulizwa je huoni kama kutoandika jina la kikundi au mtu aliyechangia
inaweza kuleta shaka juu ya uwazi na ukweli wa zoezi la michango? Hilo
nalo kwako ni gumu kulielewa? Je huku mitaani kwetu hujui kwamba ni
jambo la kawaida kuwa na daftari la michango ya rambirambi ambako watu
uandika majina yao au ya vikundi? Je kwa majina yaliyoorodheshwa
pamoja na Mjengwa kuanzisha uratibu wa michango nao tuwachukulie
kwamba wanajinadi? Umeshindwa kuona mantiki ya maswali hayo au ndo
hivyo tena majibu yake kwako ni usiku wa giza?

Naona hesabu zako ni kutaka majina ya watu pamoja na vikundi vyote
yaandikwe anonymous na baadaye iweje? Hayo maelezo yako unayoyaita ya
kutosha hayajatosha na ndiyo chanzo cha maswali tunayokuuliza
mheshimiwa

On 9/19/12, kailima kombwey <kailima.kombwey@googlemail.com> wrote:
> Mngonge majibu yapo kwenye maelekezo ya awali ya Mjengwa. Kama unaufahamu
> mzuri huhitaji kupata ufafanuzi wa unachosema ni maswali. Binafsi nimetoa
> maelezo ya kutosha una hitaji majibu gani? Kaa chini tafakari jeng uwezo wa
> kusoma between the line usisubili kupata jibu la ndiyo au hapana. Rudia na
> urudie tena maelezo ya awali ya Njengwa
> On Sep 19, 2012 1:36 PM, "mngonge" <mngonge@gmail.com> wrote:
>
>> Mjengwa na Kailima tunaomba majibu kwa maswali yaliyoulizwa na ndugu
>> Matanda pamoja na mngonge. Ni mambo ya kuelimishana tu hakuna mtu
>> aliye perfect na hivyo hakuna hoja isiyojadilika kwa nguvu ya hoja
>>
>> On 9/19/12, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
>> > Wanamabadiliko,
>> >
>> > Kama kwa chama kuchangia inaonekana ni kujinadi kwenye misiba na watu
>> > binafsi walioweka majina yao nao tuwatafsiri kuwa wanajinadi? Come on
>> > people, tuko better than that!
>> >
>> > Yametokea majanga kibao hapa ya kitaifa na vyama mbalimbali vilitoa
>> > michango yao na hata nchi mbalimbali zilitoa michango yao, what was
>> > wrong
>> > with that? Huko kote ni kujinadi? kama kujitambulisha ndio kujinadi
>> > kila
>> > entry ya mchango ingekuwa "anonymous" ili tusione kuwa wanajinadi.
>> Tuacheni
>> > ku-blow vitu out of proportions bila sababu za msingi.
>> >
>> > Kuwarudishia kichango yao wana CHADEMA ni kutoitendea haki familia ya
>> > marehemu. Maggid asiwe kwenye position ya ku-make rules on behalf of
>> > the
>> > family, let the family yenyewe iamue what they want to do!!!!
>> >
>> > 2012/9/19 mngonge <mngonge@gmail.com>
>> >
>> >> Ndugu wanabidii
>> >> Kama kuna chama au taasisi kina lengo la namna hiyo ya kujinadi kwenye
>> >> msiba basi nadhani hapo patakuwa si mahala pake. Itabidi iandae
>> >> mkutano au itafute njia nyingine ya kufanya hivyo. Nafikiri kwa leo
>> >> umeiweka hoja yako vizuri na ndo nimukuelewa. Na kama ungeiweka hivyo
>> >> tangu mwanzo nisingekuwa na neno.
>> >>
>> >> Ukirejea maelezo ya mwanzo ya ndugu Kilima utagundua kwamba alihusisha
>> >> kutambulishwa kwa taasisi au chama katika michango ya msiba ni
>> >> kujinadi kitu ambacho hakikuwa sahihi. Na ndiyo maana nilimuuliza
>> >> kwamba je kama michango imetolewa na jumuiya au chama unataka iandikwe
>> >> kwa jina gani? anonymous au nini maana ata watu wengi waliochangia
>> >> wameandikwa majina yao, hao nao wanataka kujinadi? Au Mjengwa mwenyewe
>> >> aliyeanzisha michango hiyo naye anajinadi? Swala la kuonyesha kwamba
>> >> mchango umetolewa na chama fulani au taasisi fulani linausishwaje moja
>> >> kwa moja na kujinadi? Huoni kwamba uwazi na ukweli kwenye michango
>> >> hiyo utakuwa hauridhishi endapo michango haitajulikana nani katoa
>> >> nini?
>> >>
>> >> Unless chama hicho au taasisi hiyo ilielekeza kwamba inafanya hivyo
>> >> kwa lengo la kujinadi na kama kipo chama au taasisi ya namna hiyo mimi
>> >> ninasema si swala la kutoandika jina tu bali hata huo mchango
>> >> usipokelewe kabisa. Hoja yako ya kumuunga mkono Mjengwa kwamba chama
>> >> hakitatambulishwa jina ina kasoro hiyo.  Inawezekanaje ujue kwambva
>> >> CHAMA FULANI KINATAKA KUJINADI KWA DAMU YA MTU alafu ukubali mchango
>> >> wake basi wewe na hicho chama mtakuwa ni walewale. Namalizia kwa
>> >> kusema swala la kutojua nani kachanga nini linaweza kuwa kikwazo
>> >> katika kufanikisha zaidi zoezi la michango. Ata kwenye daftari za
>> >> misiba mtaani uwa tuna daftari ambako kila anayetoa rambirambi uandika
>> >> jina
>> >>
>> >> On 9/19/12, kailima kombwey <kailima.kombwey@googlemail.com> wrote:
>> >> > Ndugu Mgonge.
>> >> >
>> >> > Kabla hujaanza kujibu chochote ni busara na hekima kufanya marejeo
>> >> > ya
>> >> hoja
>> >> > unayotaka kuchangia.
>> >> >
>> >> > Mratibu wa Michango alishatoa msimamo kwamba hataweka utambukisho wa
>> >> Chama
>> >> > au Taasisi yoyote kama wachangiaji. Mzee Lwaitama  aliandika makala
>> >> kuhusu
>> >> > suala la kutokuonesha itiadi ya kidini au kichama kwenye uchangiaji
>> >> > huo.
>> >> > Nami nilisema kama kuna Taasisi ya dini au chama kitaona hakitakuwa
>> >> > kimetendewa haki kwa kutotambulishwa kama dini fulani au chama
>> >> > fulani
>> >> > kwenye kuwasilisha michango basi kione namna nyingine ya
>> >> > kuiwasilisha
>> >> > michango hiyo ili kijinadi. Sijasema chama kipi au dini ipi.
>> >> > Nashauri
>> >> > "strongly" kwamba ninaunga mkono msimamo wa Mjengwa kuwa KUSIWEPO
>> >> > KWA
>> >> AINA
>> >> > YOYOTE YA UTAMBULISHO WA DINI AU CHAMA ambaye haridhiki anaweza
>> >> > kutafuta
>> >> > njia ambayo yeye anaona inafaa ili aweze kujimwaga na kujinadi Imani
>> >> > yake
>> >> > ya dini au chama chake kadri atakavyo.
>> >> >
>> >> > Mimi siyo mwanachama na sitaki kuwa mwanachama.
>> >> > On Sep 19, 2012 8:15 AM, "mngonge" <mngonge@gmail.com> wrote:
>> >> >
>> >> >>  Kailima
>> >> >> Inaelekea wewe ndo unataka umaarufu kwa damu ya watu, ilikuwaje
>> >> >> uanze
>> >> >> kuliona swala la jina la Chama cha siasa badala ya kuujadili nani
>> >> >> kachanga. Kwa sasa si nia yetu kujadili nani kachanga kwa nia ipi?
>> >> >> Kwani ulikuwepo kwenye vikao vyao vya mchango na kujau nia yao ya
>> >> >> kutoa mchango?
>> >> >>
>> >> >> Mr. Mjengwa naona ata wewe umefuata nyayo za Kailima, hao walioomba
>> >> >> kurudishiwa mchango wao sioni ni kwa nini umewarudishia? Nahisi
>> >> >> wamechukizwa na maneno ya kailima kwamba wanatafuta umaarufu
>> >> >> kupitia
>> >> >> damu ya mtu. Ili ni tusi kubwa sana na nina wasiwasi wameghaili.
>> >> >> Kailima ana mtazamo wa itikadi za kisiasa na kaona wivu kwamba hao
>> >> >> jamaa watajijenga kisiasa. Sisi hatutajali kama ata yeye ataamua
>> >> >> kutuchangia kwa jina la chama chake tutazipokea tu. Milioni moja si
>> >> >> haba ni ela ambayo ingeisaidia familia ya Mwangosi mambo mengi
>> >> >> sana.
>> >> >> Itaniuma sana kama tutazikosa.
>> >> >>
>> >> >> Mr. Mjengwa ninakuomba ufikilie upya swala la kukataa kuandika jina
>> la
>> >> >> chama au taasisi na kuliacha kwa mchangiaji aamue yeye kama anataka
>> >> >> jina liandikwe au la. Tusiikose michango kisa jina la chama
>> >> >> lisionekane kwa kumuogopa Kilima ambaye ata sina uhakika kama
>> >> >> amechanga na ana nia gani na familia ya Mwangosi. Yawezekana ana
>> chuki
>> >> >> binafsi na familia ya Mwangosi. Maana itafika mahala ata wewe
>> >> >> utaambiwa unajipendekeza kuendesha harambee ili utangaze jina lako
>> kwa
>> >> >> damu ya Mwangosi.
>> >> >>
>> >> >> usiwe na hasira na kutoa uamuzi kwa sababu za wachache ambao
>> >> >> hatujui
>> >> >> wana nia gani
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >> On 9/18/12, Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com> wrote:
>> >> >> > Kwani michango ya wana CHADEMA UK ni kweli inawakilisha Umoja wa
>> >> >> Watanzania
>> >> >> > UK? Kwa nini ukweli usisemwe? Mbona waliochanga wengi majina yao
>> >> >> yametajwa?
>> >> >> > LKK
>> >> >> >
>> >> >> >
>> >> >> >
>> >> >> >
>> >> >> >
>> >> >> > ________________________________
>> >> >> >  From: kailima kombwey <kailima.kombwey@googlemail.com>
>> >> >> > To: wanabidii@googlegroups.com
>> >> >> > Sent: Tuesday, September 18, 2012 9:41 AM
>> >> >> > Subject: Re: [wanabidii] Harambee Ya Mjane Wa Mwangosi;
>> >> >> > Waliochanga
>> >> >> > Na
>> >> >> Kiasi
>> >> >> > Kilichopatikana...
>> >> >> >
>> >> >> >
>> >> >> > Wanataka umaarufu kupitia damu ya mwanadamu? Mambo ya ajabu sana.
>> >> >> > Kwa
>> >> >> hiyo
>> >> >> > walikuwa sokoni wanauza jina la chama chao na siyo kutoa
>> mchangovkwa
>> >> >> ajili
>> >> >> > ya mjane!!!!! Ama kweli ukistaajabu ya musa utaona
>> >> >> > ya.....................!!!!!
>> >> >> > On Sep 18, 2012 9:35 AM, "maggid mjengwa"
>> >> >> > <mjengwamaggid@gmail.com
>> >
>> >> >> wrote:
>> >> >> >
>> >> >> > 1. Chris Cremence                                     100,000
>> >> >> >>2. Anonymous                                             500,000
>> >> >> >>3. Maggid Mjengwa
>> >> >> >>
>> >> >> >>100,000
>> >> >> >>4. Raymond Kasoyaga                                   20,000
>> >> >> >>5.Edward Mgogo                                            10,000
>> >> >> >>6.Joachim Kiula
>>  5,000
>> >> >> >>7.Libory Muhanga
>> >> >> >> 5,000
>> >> >> >>8.Geofrey Kagaruki                                        10,000
>> >> >> >>9.Sadiki Mangesho                                         10,000
>> >> >> >>10. Edwin Namnauka                                      40,000
>> >> >> >>11.Daud Mbuba
>> >> >> >> 10,000
>> >> >> >>12. Anonymous                                             200,000
>> >> >> >>13.Mikidadi Waziri
>> >> >> >> 6,000
>> >> >> >>14. Bungaya Mayo
>> >> >> >> 5,500
>> >> >> >>15. Abraham Siyovelwa                                    50,000
>> >> >> >>16. Godfrey Chongolo                                       22,222
>> >> >> >>17. Jacob Mwamwene                                       51,000
>> >> >> >>18. Denis Bwimbo                                        153,683
>> >> >> >>19. Zanzibar Ni Kwetu                                     150,
>> >> >> >> 464
>> >> >> >>20.Felex Mpozemenya                                       10,000
>> >> >> >>21.Rweyendera Ngonge                                     11,000
>> >> >> >>22. Festo Temu
>> >> >>  10,000
>> >> >> >>23.  Azaria Mulinda
>> >> >> 10,000
>> >> >> >>24.Khatibu Kolofete
>> >> >> >> 5,000
>> >> >> >>25. John Bukuku
>> >>  25,000
>> >> >> >>26. Abel
>> >> >> >> 10,000
>> >> >> >>27. Hafidh Kido
>> >> >> 10,000
>> >> >> >>28. George Mtandika
>> >> >> >> 16,000
>> >> >> >>29. Shy-Rose Bhanji
>>  200,000
>> >> >> >>30. Raymond Nkya
>> >> >> >> 52,000
>> >> >> >>31. Maganga Sambo
>> 10,000
>> >> >> >>32. Felix Mwakyembe
>> >> >> >> 10,000
>> >> >> >>33. Abdul Diallo
>> >> >> >> 5,000
>> >> >> >>34.  Newton Kyando
>> >> >> >> 20,000
>> >> >> >>35. Galanos Myinga
>> >> 20,000
>> >> >> >>36. Anonymous ( 200 Euro)
>>  497,000
>> >> >> >>37.   Yasinta Ngonyani
>> >> >>  50,000
>> >> >> >>38.  Prosper/ Willy  ( Japan)
>> >> >> >> 314,000
>> >> >> >>39.   Nuru Mkeremi
>> >> >> >> 131,000
>> >> >> >>40. Anonymous
>> >> >> >> 50,000
>> >> >> >>41.  Josephine Mahimbo
>> >> >>  50,000
>> >> >> >>42.  Anonymous
>> >> >> >> 150,000
>> >> >> >>43. Heladius Macha
>> >> >> >> 30,000
>> >> >> >>44. Emma Malele
>> >> >> >> 10,000
>> >> >> >>45.  Anonymous
>> >> >> >> 60,000
>> >> >> >>46. Hendry Mlay
>> >> >> >> 35,000
>> >> >> >>47. Hosea Ngowi
>> >> >> >> 10,000
>> >> >> >>48. Athuman Zuber
>> >> >> >> 5,000
>> >> >> >>49. Hyancinth Komba
>> >> >> >> 7,500
>> >> >> >>50. Edson Kihongole
>> >> >> >> 11,500
>> >> >> >>51.  Godfrey Emmanuel
>> >> >> >> 20,500
>> >> >> >>52.  Deus  M
>> >> >> >>    27,000
>> >> >> >>53.Sigisto Amon
>> >> >> >>  10,000
>> >> >> >>54.Issa Kubonya
>> >> >> >>  10,000
>> >> >> >>55. Richard Dalali
>> >> >> >>      6,000
>> >> >> >>56.Fadhili Mtanga
>> >> >> >>  20,000
>> >> >> >>57.  Polycarp Ngowi
>> >> >> >>    5,000
>> >> >> >>58.  Salehe Mfaume
>> >> >> >> 10,000
>> >> >> >>59. Deodatus Balile
>> >> >> >>   20,000
>> >> >> >>60. Moses Ringo
>> >> >> >>    15,000
>> >> >> >>61. Dr Rukoma
>> >> >> >> 100,000
>> >> >> >>62. Mobhare Matinyi
>> >> >> >> 100,000
>> >> >> >>63. Humphrey Simba
>> >> >> >> 16,000
>> >> >> >>64. Fredrick Kyambile
>> >> >> >> 10,000
>> >> >> >>65.John Mwakyusa
>> >> >> >> 20,000
>> >> >> >>66. Abdul Njaidi
>> >> >> >>       40,000
>> >> >> >>67. Fidelis Francis
>> >> >> >>       10,000
>> >> >> >>68.Mutachumwa Mukandala
>> >> >> >> 10,000
>> >> >> >>69. Augustino Lukosi
>> >> >> >>    12,500
>> >> >> >>70. Goodluck Arobogast
>> >> >> >>  20,000
>> >> >> >>71. Lusajo Mwasaga
>> >> >> >>    15,000
>> >> >> >>72. Carolina Reynolds
>> >> >> >>        5,500
>> >> >> >>73. Rugenamu Kawa
>> >> >> >>   30,000
>> >> >> >>74. Innocent Kimario
>> >> >> >>          5,000
>> >> >> >>75.  Jumuiya Ya Watanzania UK
>> >> >> >>          1,000,000
>> >> >> >>76. Josephat Mwagala
>> >> >> >>        150,000
>> >> >> >>77. Sara Mawere
>> >> >> >>                 5,000
>> >> >> >>78.  Deograsias Hyasini
>> >> >> >>        15,000
>> >> >> >>79. Anonymous
>> >> >> >>          10,000
>> >> >> >>80. Said  Kambi
>> >> >> >>            20,000
>> >> >> >>81. Cassian Mayega
>> >> >> >>        10,000
>> >> >> >>82. Mary Glad
>> >> >> >>                  5,000
>> >> >> >>83. David V
>> >> >> >>               153,000
>> >> >> >>84. Anonymous
>> >> >> >>            100,000
>> >> >> >>85. Lingson Adam
>> >> >> >>              21,500
>> >> >> >>86.  Augustus Fungo
>> >> >> >>             25,000
>> >> >> >>87.Seka Henjewele
>> >> >> >>                5,000
>> >> >> >>88.Deusdith Bishweko
>> >> >> >>               5,000
>> >> >> >>89.Robert Clemens
>> >> >> >>              10,000
>> >> >> >>90.Isak Kabingo
>> >> >> >>                   10,000
>> >> >> >>91.Irene Massawe
>> >> >> >>                 10,000
>> >> >> >>92. Oliva Bujulu
>> >> >> >>                      11,000
>> >> >> >>93. John Lemomo
>> >> >> >>                   10,000
>> >> >> >>94.  Joseph Rocket
>> >> >> >>                         500
>> >> >> >>95. Prosper Simon
>> >> >> >>                       5,500
>> >> >> >>96  Andy Mwakibete
>> >> >> >>                     2,000
>> >> >> >>97. Ramadhani Kasonso
>> >> >> >>              20,000
>> >> >> >>98. Anonymous
>> >> >> >>                     11,000
>> >> >> >>99.  Jenga Ngalawa
>> >> >> >>                  200,000
>> >> >> >>100.Stanslaus Nnyari
>> >> >> >>                       5,000
>> >> >> >>101.Luth Twissa
>> >> >> >>                          75,000
>> >> >> >>102. Mdodi Mlelwa
>> >> >> >>                            2,000
>> >> >> >>103. Hatibu Kiobya
>> >> >> >>                           5,000
>> >> >> >>104. Benjamin Mkalava
>> >> >> >>                       5,000
>> >> >> >>105. Manfred Mjengwa
>> >> >> >>                     11,000
>> >> >> >>106. John Malanilo
>> >> >> >>                           12,000
>> >> >> >>107. Lutgard Kokulinda Kagaruki
>> >> >> >>                 20,000
>> >> >> >>108. Kazikupenda Chale
>> >> >> >>                       25,000
>> >> >> >>109. Boniface Sechuma
>> >> >> >>                       10,000
>> >> >> >>110. Edmund    Temu       5,000
>> >> >> >>111. Edwin Moshi            5,500
>> >> >> >>112. Syldion Semazina      5,000
>> >> >> >>113. Pastoc Shelutete        50,000
>> >> >> >>114.  Ananilea Nkya          50,000
>> >> >> >>115.  Lucy Bwana              21,000
>> >> >> >>116.  William Genya           25,000
>> >> >> >>117. Anonymous               300,000
>> >> >> >>118. Adam Bakari                21,000
>> >> >> >>
>> >> >> >>
>> >> >> >>Jumla:
>> >> >> >> 5,000,000
>> >> >> >> (
>> >> >> >> Shilingi  Milioni Tano )
>> >> >> >>
>> >> >> >>TAARIFA MUHIMU:  Wachangajiaji niliowatambulisha hapa kama '
>> Jumuiya
>> >> Ya
>> >> >> > Watanzania UK'  wameomba mchango wao wa shilingi milioni moja na
>> >> >> > kumi
>> >> >> > na
>> >> >> > tano elfu na mia tano urudishwe kwao ili wauwakilishe wenyewe kwa
>> >> mjane
>> >> >> wa
>> >> >> > marehemu kwa vile mchango wao ulipaswa utambuliwe kuwa umetoka
>> >> >> > kwenye chama   chao cha siasa tawi la huko UK.   Mimi, kama
>> >> >> > mratibu
>> >> >> > wa
>> >> >> > harambee hii nitatekeleza ombi lao, na nawaomba radhi wahusika
>> >> waliotoa
>> >> >> > mchango kwa usumbufu wowote niliousababisha. Mjengwablog
>> >> >> > itaendelea
>> >> >> > na
>> >> >> > utaratibu wa kukusanya michango yenu bila kuweka utambulisho wa
>> >> >> > rangi
>> >> >> > za
>> >> >> > vyama vya siasa kwa wachangiaji.
>> >> >> >>Wenu,
>> >> >> >>Maggid Mjengwa, ( Mratibu)
>> >> >> >>0788 111 765
>> >> >> >>
>> >> >> >>
>> >> >> >>Unaweza kuchangia kwa kutumia; M-Mpesa, Tigo  Pesa, Airtel Money
>> >> >> >> au
>> >> NMB
>> >> >> >  Mobile. Kwa namba 0754 678 252, 0712 95 61 31,  0788 111 765 (
>> >> >> > Kwa
>> >> >> > walio  nje mnaweza kutuma kwa Western Union, jina la  mpokeaji-
>> >> >> > Maggid
>> >> >> > Mjengwa,  Tafadhali nijulishe kama utatuma kwa njia ya  Western
>> >> >> > Union
>> >> )
>> >> >> > -
>> >> >> >  Mwisho wa kukusanya michango yenu ni Septemba 30, 2012.
>> >> >> >>
>> >> >> >>http://mjengwablog.com
>> >> >> >>
>> >> >> > --
>> >> >> >>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> >> >> >>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> >> >> >>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >> >> >>
>> >> >> >>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> >> >>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>> kudhibitisha
>> >> >> >> ukishatuma
>> >> >> >>
>> >> >> >>Disclaimer:
>> >> >> >>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>> any
>> >> >> legal
>> >> >> >> consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts
>> >> >> >> must
>> >> >> >> be presented responsibly. Your continued membership signifies
>> >> >> >> that
>> >> you
>> >> >> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> >> >> Guidelines.
>> >> >> >>
>> >> >> >>
>> >> >> >>
>> >> >> > --
>> >> >> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> >> >> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> >> >> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >> >> >
>> >> >> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> >> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
>> >> >> > kudhibitisha
>> >> >> > ukishatuma
>> >> >> >
>> >> >> > Disclaimer:
>> >> >> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>> any
>> >> >> legal
>> >> >> > consequences of his or her postings, and hence statements and
>> >> >> > facts
>> >> >> > must
>> >> >> be
>> >> >> > presented responsibly. Your continued membership signifies that
>> >> >> > you
>> >> >> agree to
>> >> >> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >> >> >
>> >> >> > --
>> >> >> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> >> >> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> >> >> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >> >> >
>> >> >> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> >> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
>> >> >> > kudhibitisha
>> >> >> > ukishatuma
>> >> >> >
>> >> >> > Disclaimer:
>> >> >> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>> any
>> >> >> legal
>> >> >> > consequences of his or her postings, and hence statements and
>> >> >> > facts
>> >> >> > must
>> >> >> be
>> >> >> > presented responsibly. Your continued membership signifies that
>> >> >> > you
>> >> >> agree to
>> >> >> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >> >> >
>> >> >> >
>> >> >> >
>> >> >>
>> >> >> --
>> >> >> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> >> >> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> >> >> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >> >>
>> >> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
>> kudhibitisha
>> >> >> ukishatuma
>> >> >>
>> >> >> Disclaimer:
>> >> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>> >> >> any
>> >> >> legal
>> >> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >> >> must
>> >> >> be
>> >> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> >> agree
>> >> >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >>
>> >> >
>> >> > --
>> >> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> >> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> >> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >> >
>> >> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
>> >> > kudhibitisha
>> >> > ukishatuma
>> >> >
>> >> > Disclaimer:
>> >> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >> legal
>> >> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >> > must
>> >> be
>> >> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> >> agree to
>> >> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >> >
>> >> >
>> >> >
>> >>
>> >> --
>> >> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> >> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> >> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >>
>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> >> ukishatuma
>> >>
>> >> Disclaimer:
>> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >> legal
>> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >> must
>> >> be
>> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree
>> >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >>
>> >>
>> >>
>> >
>> >
>> > --
>> > Wasalaam
>> >
>> > Denis Matanda,
>> > Mine Supt,
>> > Nzega - Tanzania.
>> >
>> > *" Low aim, not failure, is a crime"*
>> >
>> > --
>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>> >
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 



--
Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 



--
Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment