Wednesday 12 September 2012

Re: [wanabidii] Fwd: HOUSE GIRL-MWIZI & MCHAWI!! True story

Alex kaka,
Hizi ni shuhuda zinazosikika sana kwenye majumba ya ibada ya kuombea na uponyaji.
Nielezee kidogo ninachojua lakini sikusudii kubadili mtazamo wako ila tu uwajibikaji wa kuwalinda watoto / vibinti vya kazi.
 
1. Binti hakuwa mchawi kwa maana ya uchawi wala bibi yake.
2. Waajiri wote wa watoto wa kazi watambue jukumu la huduma za msingi za hao watoto.
 
MOJA -
Kwanini nimesema binti hakuwa mchawi, ni kwamba, kwa tafsiri ya uchawi ni jambo litendekalo bila kujua limetendekaje au kupata ufumbuzi wa wahusika. Na ndiyo maana imani za uchawi hupungua kadiri ufumbuzi wa kisayansi unavyozidi kukua. Kwanini alitumia maneno hayo, yawezekana ( kwa nilivyojiuliza maswali na uzoefu wangu ) bibi katika janga la kukabiliana na njaa akaamua kumjengea mtoto nguvu za fikra ya kuiba kwa kumuaminisha ni uchawi au bibi naye ni muathirika wa maneno uchawi. Pia watoto wanaopitia shida kali kama ambazo naamini binti kapitia, huwa wanajitengenezea uwezo wa kukabili shida hizo kwa kuwasoma watu waliombele yake kwa haraka na kisha kuzitumia imani zao kujipatia wanachokitaka. Kwa vyovyote familia yenu ilipata hofu na kujaribu kutumia maneno ya vitabu vya dini kukabili hofu hiyo, mtotot akatumia hiyo. Na inaonyesha mnge muua, akaona akisema uchawi na bibi ndiye kinara hamta muua na mtataka watu wawaone nyie mna imani kubwa ( ushuhuda) amepona na si hajabu mlimpa nauli ya kurudi kwa bibi au mlimwalika kanisani kwenu.
 
PILI
Waajiri wengi wanapenda kuwatesa watoto kama hawa, hawa wapeleki shule, hawajali afya zao, ndugu zao waajiri wakiwabaka, huwa watoto hawa hawalindwi. Wapo wanaoona bora kuviziana kuliko kufanya kazi hizo, kauli za waajiri zinazo onyesha kuwa kwakuwa watoto hao hawakusoma hawawezi kujongea mbele kwenye maisha, watoto hao huamua mapema kuyakabili maisha ( inaonyesha aliisha wahi kuajiriwa  na akajeruhiwa ) Sasa kutomlindia siri zake za aibu na kuzitoa nje mlilenga kuhatarisha usalama wake, si nzuri na mtamponza atakayekutana na huyo mtoto tena.
 
Tuwalinde kwa kuwapa elimu, huduma za kiafya na za kibinadamu, huwa siungi mkono tendo lolote la kuwalaumu hawa watoto kwakuwa tumewafundisha kwa maumivu, tunahaki ya kuyakabili maumivu wanayotupa.

--- On Sat, 9/8/12, Eline <ellenkileo@yahoo.com> wrote:

From: Eline <ellenkileo@yahoo.com>
Subject: [wanabidii] Fwd: HOUSE GIRL-MWIZI & MCHAWI!! True story
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, September 8, 2012, 11:01 AM



Sent from my iPhone

Begin forwarded message:

From: Grace Nkini <grace.nkini@gmail.com>
Date: September 7, 2012 14:02:34 GMT+03:00
To: "janekondo.nkini" <janekondo.nkini@gmail.com>, jrkamwela@yahoo.com,  esha juma <esha_juma@yahoo.com>, janemakungwa <janemakungwa@hotmail.com>,  teddy qirtu <bullaq@yahoo.com>, Tumaini Kichila <kichilat@gmail.com>, Irene <irenekaki@yahoo.com>,  nema30 <nema30@yahoo.com>, Obeid Kitalima <obeidkit@yahoo.com>, octa@yahoo.com,  sabina sheikh <sheikhsabina@hotmail.com>, Helena Sylva <helensylva25@yahoo.com>,  Eline <ellenkileo@yahoo.com>, elizamosha@yahoo.com
Subject: Fwd: FW: HOUSE GIRL-MWIZI & MCHAWI!! True story



---------- Forwarded message ----------
From: nelly isaac <nellyisaac@hotmail.com>
Date: 2012/9/7
Subject: FW: HOUSE GIRL-MWIZI & MCHAWI!! True story
To: Evans Kileo <kileoe@un.org>, andrew kiango <kiangoa@yahoo.com>, GREG AKIDE <akideg@yahoo.co.uk>, Adam Mzengi <adammzengi@yahoo.com>, Anne Mazalla <mazallaanne@hotmail.com>, anin mwirishe <mwirishe@yahoo.com>, Linyi Alois <linyibidii@yahoo.com>, Caroline Muriithi <caromuriithi@yahoo.com>, vumilia mmari <vumiliammari@yahoo.com>, vedy nkini <vedykini@hotmail.com>, Grace Nkini <grace.nkini@gmail.com>, Mwendalonge Lusambya <dimwelus@yahoo.co.uk>, ben mangwala <benngwala@yahoo.co.uk>, Happiness Mlaki <hmlaki@yahoo.com>



 

Date: Thu, 6 Sep 2012 14:28:44 +0100
From: phumbi2000@yahoo.co.uk
Subject: Fw: HOUSE GIRL-MWIZI & MCHAWI!! True story
To: pmn_j@yahoo.com; ampjr2000@yahoo.co.uk; neemajassy@yahoo.com; nellyisaac@hotmail.com; nmathayo@yahoo.com; matuntera@yahoo.com; anduliler@yahoo.com; jsaye5@yahoo.com; jacksongm99@yahoo.com; mangagassaya@hotmail.com; mngangaji_ngangaji@yahoo.com; kdeatus@hotmail.com; urioh@tanzaniaports.com; mkansimba@yahoo.com



--- On Thu, 6/9/12, zuuky yakuby <zyakuby@yahoo.com> wrote:

From: zuuky yakuby <zyakuby@yahoo.com>
Subject: Fw: HOUSE GIRL-MWIZI & MCHAWI!! True story
To: "Paul Ziota" <phumbi2000@yahoo.co.uk>
Date: Thursday, 6 September, 2012, 12:07



----- Forwarded Message -----
From: Abbas Mutabazi <abbasmutabazi@yahoo.com>
To: Anin Ulomi <mwirishe@yahoo.com>; fatma kiroga <fatmakiroga@yahoo.com>; Adel Chilipweli <adel_chili@yahoo.co.uk>; Abdilahi Mutabazi <abdimuta@yahoo.com>; Anna Mpinga <zyakuby@yahoo.com>; Veneranda Mgoba <veneadam@hotmail.com>
Sent: Thursday, September 6, 2012 12:02 AM
Subject: Fw: HOUSE GIRL-MWIZI & MCHAWI!! True story

----- Forwarded Message -----
From: duncan.mniwasa <duncan.mniwasa@aku.edu>
To: arbogast.fabian <arbogast.fabian@aku.edu>; "sure m (amasiga@gmail.com)" <amasiga@gmail.com>; "ally.nyoni@yahoo.com" <ally.nyoni@yahoo.com>; "abbasmutabazi@yahoo.com" <abbasmutabazi@yahoo.com>; "Mongi (bmongi@gbptz.com)" <bmongi@gbptz.com>; "bube@nkbottlers.co.tz" <bube@nkbottlers.co.tz>; "Edmund Bagenzi (bagenzie@yahoo.com)" <bagenzie@yahoo.com>; neema.pallangyo <neema.pallangyo@aku.edu>; "Niganya, Henry (North Mara) (HNiganya@africanbarrickgold.com)" <HNiganya@africanbarrickgold.com>; "Naishija Loishiye (TNS-Tanzania) (NLoishiye@tns.org)" <NLoishiye@tns.org>; "Nyangwakwa Ndilli (TNS-Tanzania) (NNdili@tns.org)" <NNdili@tns.org>; miriam.kingee <miriam.kingee@aku.edu>; "Martin Mwakapalila (TNS-Tanzania) (MMwakapalila@tns.org)" <MMwakapalila@tns.org>; fatuma.rutta <fatuma.rutta@aku.edu>; "Furaha Kashola (furahakashola@yahoo.com)" <furahakashola@yahoo.com>; gloria.luckford <gloria.luckford@aku.edu>; gabriella.zegge <gabriella.zegge@aku.edu>; "Gabriel Emmanuel (TNS-Tanzania) (gemmanuel@tns.org)" <gemmanuel@tns.org>; "Herry Cholobi (herry@silafrica.com)" <herry@silafrica.com>; "Niganya, Henry (North Mara) (HNiganya@africanbarrickgold.com)" <HNiganya@africanbarrickgold.com>; lulu.kansary <lulu.kansary@aku.edu>; lydia.emmanuel <lydia.emmanuel@aku.edu>; "lawrence.fkiwango@yahoo.com" <lawrence.fkiwango@yahoo.com>; Liberia Benedict <liberia.benedict@aku.edu>; "Levina Kisaka (levina_kis@yahoo.co.uk)" <levina_kis@yahoo.co.uk>; obote.kiwone <obote.kiwone@aku.edu>; pauline.kassi <pauline.kassi@aku.edu>; "'pendombuga@gapco.com' (pendombuga@gapco.com)" <pendombuga@gapco.com>; "'picat5@yahoo.com' (picat5@yahoo.com)" <picat5@yahoo.com>; "'vicentjaribu@yahoo.com' (vicentjaribu@yahoo.com)" <vicentjaribu@yahoo.com>; "Venance Karane (TNS-Tanzania) (VKarane@tns.org)" <VKarane@tns.org>; candy.elikunda <candy.elikunda@aku.edu>; catherine.wanyingi <catherine.wanyingi@aku.edu>; Didas Amasi <didas.amasi@aku.edu>; eva.madestus <eva.madestus@aku.edu>; "Everlight Matinga (everkyeku@yahoo.co.uk)" <everkyeku@yahoo.co.uk>; "William Nnunduma (William.Nnunduma@tz.sabmiller.com)" <William.Nnunduma@tz.sabmiller.com>; "william mbwana (wmbwana@azaniabank.co.tz)" <wmbwana@azaniabank.co.tz>; joseph.kapwani <joseph.kapwani@aku.edu>; John Gonza <john.gonza@aku.edu>; joyceline.aligawesa <joyceline.aligawesa@aku.edu>; "Juma Othman (jumaothman89@yahoo.com)" <jumaothman89@yahoo.com>; "justice makubi (jmakubi@yahoo.com)" <jmakubi@yahoo.com>; zachayo.leonard <zachayo.leonard@aku.edu>
Sent: Thursday, September 6, 2012 9:44 AM
Subject: FW: HOUSE GIRL-MWIZI & MCHAWI!! True story
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
F.Y.I
As you may know I have twins McNathan & Mirabel; mimi na familia yangu tunaishi Tabata-Liwiti.
 
Tulikuwa na wasichana wawili wa kazi na mmoja aliondokaga akabaki mmoja; hivyo tukawa ktk harakati za kutafuta potential replacement ili wawe wawili.
Here comes the story part I.
Jana 21.08.2012 nlipotoka job, wife alinipa taarifa kuwa mdogo wangu wa kike (mwenye salon ya kike kimanga) alimpigia simu kuwa amepata msichana na atakuja nae home jioni akifunga saluni.
Ikabidi nimpigie simu mdogo wangu ili anipe full information.
Mdogo wangu akanimbia majira ya jioni uyo msichana alifika Saluni kwake akidai anatafuta kazi za ndani. Uyo msichana akasema yeye alikuwa anfanya kazi morogoro but ametoroka kwani alikuwa anateswa na mama mwenye nyumba.uyo msichana akizidi kuongeza kuwa yeye hana mawasiliano ya ndugu yeyote ila baba yake anishi mwanza but hanjui mama yake. Basi mdogo wangu akamuonea huruma akamkaribisha saluni ilia je nae home jioni na nifanye nae mahojiano ya kina.
Jana majira ya saa 3 usiku baada ya wao kurejea home na kula chakula ikabidi nianze kumhoji yule binti.Akanitajia jina lake na umri wake 15yrs, na nia yake ni kufanya kazi za ndani na akipata pesa ataenda kwao kusalimia then angerudi tena kuendelea na kazi yake.
Ni binti mdogo na nilitamani kumsaidia.
Baada ya kupata maelezo kutoka kwake; nilimuambia kwa sababu hatumfahamu ni lazima tukatoe report kwa balozi/mjumbe kabla hajaenda kulala na alikubali.
Nikaenda kwa mjumbe akawa ameshalala; ikabidi nimwambie wife kesho asubuhi (yaani leo) wakiamka waende kwa balozi/mjumbe kutoa taarifa na kuandikishana.
Leo asubuhi najiandaa kwenda kazini; kumbe yule binti ametoroka mapema asubuhi after mlango na geti kufunguliwa.  Majirani wakasema walimuona katoka na viatu mkononi wakazani anaenda kutupa taka coz alikuwa anafagiafagia nje. Kuangalia vitu sebuleni na chumbani kwa kina dada ikaonekana everything is OK.
Basi nikawmambia mdogo wangu na kijana flani wa jirani wamfuatilie then mimi nikaondoka zangu kuelekea job.
Here comes the story part II.
Majira ya saa 4 asubuhi nikiwa job nilimpigia simu mdogo wangu anitaarifu yaliyojiri:
Akaniambia yule binti walimuona na akakimbilia nursery school flani karibia na barakuda na kwa msaada wa raia wengine walimkamata.Walimpiga kidogo na kumsachi. Walimkuta na elfu 90 na alikiri kuwa aliziiba ktk wallet ya mdogo wangu. Ikabidi mdogo wangu achukue bodaboda wakaenda nae hadi saluni kwake kimanga ili akamhoji zaidi.
Yule binti akasema kuwa alitudanganya hajatokea morogoro but anaishi na bibi ake mbagala na ule ndo mchezo wake yeye na bibi yake.
Akasema kuwa bib ake ni mchawi na huwa anamtumaga kwa nyumba za watu kwa mbinu ya kuomba kazi but baadae wanaiba na kuchukua watoto wadogo kimazingara.
Akaongeza kuwa hao watoto wadogo huwa wanawachukua misukule na wengine wakiwa wakubwa wanatumwa kama alivyotumwa yeye.
Yote hayo aliyasema bila woga huku watu wakiwa wamemzunguka pale saluni.
Akasema kuwa jana alipoingia getini bibi ake alikuja kimazingara but ghafla macho yake yalianza kumuwasha na hakuwa na amani. Kuona vile bibi ake akaondoka.
Ilipofika muda wa kulala alienda kuoga but aliporudi chumbani alimkuta mdogo wangu anasali ndipo alipigwa na miale ya blue na nyekundu akakimbia kurudi sebuleni.
Aliporudi sebuleni alimkuta wife anachek TV nae wife akashtuka kumuona yule binti hana amani.
Baade yule binti akaenda kulala ndipo wife akachukua maji ya Baraka akanyunyiza pale mlangoni na sebuleni kisha akaenda kulala.
Yule binti akazidi kuelezea kuwa usiku hakulala kwani aliteseka sana na kuweweseka na bibi ake alipokuja kimazingara hawakuweza kuchukua watoto ikabidi aondoke na kumuacha yule binti kwani alikuwa kaishiwa nguvu.
Akasema tangu aanze iyo kazi hajawahi kukamatwa na akmeshangaa sisi tumeweza kumkamata na kueleza siri zake. Akasema bibi ake alimjia kimazingara na akamwambia asirudi kwake kwani ametoa siri.
Alionesha CHALI alizochanjwa na bibi ake kama kinga na alipokuwa anapigwa hakusikia maumivu yoyote.
Alielezea mambo mengi ambayo mdogo wangu hakuweza kunielezea ktk simu kwani nae alikuwa anatetemeka kutoamini yaliyoukuwa yanatokea. Walimuachia akaondoka zake.
I felt so sorry for my twins but I thank GOD wamebaki salama.
Tuwe makini sana na wasichana wa kazi ndugu zangu; you may share it to your relatives and beloved.
 
 
Alex N. Mero
 
 



--
Ms. Vedgrace Nkini
Database/System Administrator
DataVision International (T) Ltd (DVI)
P.O Box 9983
Dar es salaam
Tanzania

Tel +255 22 2701845/6
Fax +255 22 2701848

Mobile : +255 754 307 024






************************************
"A merry heart does good, like medicine...." (Prov. 17:22) Remember, Jesus Christ Loves You!
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment