Wednesday 12 September 2012

Re: [wanabidii] Fw: TUWE MAKINI NA WATU TUNAO WASAIDIE KWENYE MADALADALA

jamani naomba mawasiliano ya huyu mtu aliyeandika hilo tukio hasa kama anahusika,ninaomba simu yake ili tufanye nae kipindi hapa east africa radio. namba yangu 0715 56 86 53

2012/9/12 Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com>
Comrade Mkama;
Hili picha linaonekana ni machezo tu yalipangwa,hakuna upelelezi wowote haya majaa yalikuwa yanafanya,walikwisha wasiliana kwamba tayari nishamwanchia mtu zigo la mavi,then nendeni mkachukue fedha.
Kama kweli ni polisi,ndo ujue kwamba hiki chombo kimeoza,mana wanaangalia wakubwa wao wanavyofanya na kuwatumia wao wadogo kujineemesha,then nao wakipata nafasi wanatumia.
 
!Braza!
From: mkama mwijarubi <nickod49@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, September 12, 2012 12:46 AM
Subject: [wanabidii] Fw: TUWE MAKINI NA WATU TUNAO WASAIDIE KWENYE MADALADALA

----- Forwarded Message -----
From: Mkama Mwijarubi <mmwijarubi@intrahealth.org>
To: "nickod49@yahoo.com" <nickod49@yahoo.com>
Sent: Wednesday, September 12, 2012 10:23 AM
Subject: FW: TUWE MAKINI NA WATU TUNAO WASAIDIE KWENYE MADALADALA
 
 
From: Beatrice Kapya
Sent: Tuesday, September 11, 2012 1:41 PM
To: Angelina Ballart; Andrew Richard; Bakari Bakari; Chegere Mwita; Elias Hackee; Foibe John Pallangyo; George Felix Senyoni; Kaijage Justinian; Mkama Mwijarubi; Norah Kaaya; Peace Kasanga; Rose Otaru; Zena Amury
Subject: FW: TUWE MAKINI NA WATU TUNAO WASAIDIE KWENYE MADALADALA
 
 
 
From: Koyya David [mailto:David.Koyya@swissport.com]
Sent: Tuesday, September 11, 2012 12:35 PM
To: Beatrice Kapya
Subject: FW: TUWE MAKINI NA WATU TUNAO WASAIDIE KWENYE MADALADALA
 
 
 
 
 


 
 
 
 
 
Date: Sep 7, 2012 1:14 PMSubject: Fw: TUWE MAKINI SANA KWA WALE TUNAOTUMIA USAFIRI WA JUMLA (DALADALA) NA WATU TUSIOWAFAHAMUTo:


JUMAPILI ILIYOPITA MJOMBA WANGU ALIKUWA KWENYE DALADALA AKITOKEA UBUNGO KWENDA TEGETA.BASI LILIPOFIKA MWENGE ABIRIA WALIONGEZEKA NA WENGINE WAKAWA WAMESIMAMA,KATI YA WALIOSIMAMA ALIKUWAPO MZEE MMOJA ALIYEKUWA NA HAND BAG KAMA TUNAZOBEBEA LAPTOP HIVI, YULE MZEE ALIMUOMBA MJOMBA WANGU AMSAIDIE KUMSHIKIA BAG LAKE KWA KUWA YEYE ALIKOSA SITI, BILA YA KUSITA AKAAMUA MUMSAIDIA KALE KA BAG" BAADA YA VITUO VIWILI YULE JAMAA MWENYE KA BAG; ALITEREMKA BILA MJOMBA WANGU KUMUONA NA YEYE HAKUWA NA WASIWASI KWA KUWA ALIJUA MWENYE MZIGO AKITAKA KUSHUKA ATAUCHUKUA TU MZIGO WAKE.
KABLA GARI HAIJAFIKA KITUO CHA TATU ILISIMAMISHWA NA WATU WALIOJITAMBULISHA KWAMBA WAO NI ASKARI POLISI WAPELELEZI KWAMBA KUNA KITU WANAPELELEZA,WAKAWAAMURU ABIRIA WOTE WATEREMKE KWENYE GARI,WALIFANYA HIVYO MMOJA WA WALE POLISI, WALIMFUATA MJOMBA WANGU NA KUMUULIZA 'NA WEWE KWENYE BAG LAKO KUNA NINI? AKAWAJIBU BAGI SIYO LANGU KWA HIYO SIWEZI JUA NDANI KUNA NINI!! WAKAMUULIZA TENA, MWENYEWE YUKO WAPI TUONESHE" AKAANGALIA KATI YA WALE ABIRIA WENZAKE HAKUMUONA.

WAKASEMA FUNGUA TUONE KUNA NINI NDANI, WALIPOFUNGUA WAKAKUTA KUNA SILAHA AINA YA PISTO.ALIPOJARIBU KUJITETEA WAKAMWAMBIA TWENDE KITUONI UTAENDA KUJIELEZA HUKO. BASI LIKARUHUSIWA NA YEYE WAKAMPELEKA POLISI, WAKIWA NJIA WAKAMWAMBIA KAMA ANATAKA WAMWACHIE ATOE LAKI NANE 800,000/= VINGINEVYO WATAMUUNGANISHA KATIKA KESI YA WIZI WA KUTUMIA SILAHA,AKAWAAMBIA SINA HIZO PESA NA SIWEZI KUTOA MPAKA SASA BADO YUPO NDANI.HII INATUKUMBUSHA KWAMBA NI KWELI TUNAPENDA KUWASAIDIA WATU ILA TUWE MAKINI NA MISAADA TUNAYOITOA.
MZEE ALIKUWA NA NIA NJEMA KABISA YA KUTOA MSAADA ILA MSAADA UMEMGHARIMU MAISHA. Mwisho napenda kuwatahadharisha watu wote tuwe makini na watu tusiowajua,

MTUMIE NA MWINGINE UJUMBE HUU
 
 
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment