Wednesday 26 September 2012

RE: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM YA KUKASHIFU MTUME

jaman sio hiyohiyo bibli inayosema
ataekubaliki atabalikiwa na atae kulaani atalaaniwa
ktk four blessing and four curse
hivi mmesoma what we call roman civilization tena after the death of Jesus Christ?

> Date: Wed, 26 Sep 2012 11:47:41 +0300
> Subject: Re: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM YA KUKASHIFU MTUME
> From: tmagobe@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Rashid Martini, nukuulize swali: kama Mungu angekuwa na jazba na
> hasira kwako leo ungekuwa wapi?
>
> Psalm 130: 3 inasema: "If you, Lord kept a record of our sins, Lord,
> who could stand? But with you there is forgiveness, so that we can,
> with reverence serve you..."
>
> Kama Mungu analipiza kisasi ina maana hata hao wanaojilipua na kuwaua
> wengine na wanaoharibu mali za wenzao huwa anawaadhibu. Sasa kama hili
> ni kweli sababu ya jazba, hasira inayozidi kiasi na kujilipua na kuua
> wengine pamoja na kuharibu mali za wengine ni nini: dhawabu au laana?
>
> Haiingii akilini kumwombea mtu mabaya wakati wewe mwenyewe unafanya
> mabaya. Binafsi naamini dua yoyote inayolenga maangamizi ya watu
> haiwezi katu kupokelewa kwa Mungu anayetaka watu wasameheane. Luka 23:
> 34 Yesu anawasamehe waliomtesa Na kuwaombea: "Baba uwasamehe. Hawajui
> walitendalo..." Matthew 5:44 Yesu anasema: "But I say unto you, love
> your enemies, bless them that curse you, do good to them that hate
> you, and pray for them who despitefully use you, and persecute you..."
>
>
> On 9/26/12, ShimilimanaDeogratiasV@sau.edu
> <ShimilimanaDeogratiasV@sau.edu> wrote:
> > On Tuesday, September 25, 2012 4:03:36 PM UTC-5, rashid martin wrote:
> >> tusiwe waongo na kutetea vitu bila ya sababu yoyote, aliyekwambia kuwa
> >> Mungu hana hasira ni nani?
> >> aliwafanya nini kizazi cha nuhu(noah) je aliwafanya nini kizazi cha sodoma
> >> na gomola kama sio hasira na jazba ni nini?
> >> je sio huyo unaemuita Mungu aliwatimua adamu na eva bustanini? ulitaka
> >> hasira na jazba zipi.
> >> then sidhani kama mungu anawatoto or else ni makosa ya binadmu katika bad
> >> choice of vocabulary.....
> >>
> >>
> >> > Date: Tue, 25 Sep 2012 10:07:40 +0100
> >> > From: ngu...@yahoo.co.uk
> >> > Subject: RE: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM YA
> >> > KUKASHIFU MTUME
> >> > To: wana...@googlegroups.com
> >> >
> >> >
> >> > Baba wa hasira na jazba ni shetani.Kadhalika ndivyo walivyo watoto
> >> > wake.Baba wa utulive,busara na amani ni Mungu mkuu kadhalika ndivyo
> >> > walivyo watoto wake.Kauli hii ni mzani tosha wa kujua wewe baba yako ni
> >> > nani?Ngupula
> >> >
> >> >
> >> >
> >> > ------------------------------
> >> > On Tue, Sep 25, 2012 11:10 AM EEST Charles Misango wrote:
> >> >
> >> > >Fatma, nakuapia, kwa matusi mnayowatukana wakristo kila siku wangeamua
> >> > > kufanya kama baadhi (nasema baadhi maana nawajua wapo waislamu makini
> >> > > na wanaochukizwa pia na mihadhara ya baadhi yenu) ya waislamu
> >> > > wanavyofura kwa hasira na kufanya vurugu, pasingekalika hapa. Makanisa
> >> > > mangapi yameharibiwa na waislamu kwa sababu za kitoto? Hata wanadiriki
> >> > > kutaka kuleta sheria za kiislamu katika shule na taasisi za elimu
> >> > > zinazomilikiwa na wakristo, na wengine kuharibu mali. Je, umeona
> >> > > wakristo wakichukua hatua za kuwashambulia?
> >> > >
> >> > >Unajua ni kwa nini Wakristo hawafanyi hivyo? Kwanza, ukimya pia ni jibu
> >> > > tosha! Pili, Yesu mwenyewe aliwaambia wafuasi na wanafunzi wake kuwa
> >> > > 'Kama waliweza kuutendea hivi mti mbichi, itakuwaje kwa ninyi miti
> >> > > mikavu"; yaani kama waliweza kumtukana Yesu na kumdhihaki kwa sababu
> >> > > alijiita mwana wa Mungu, (kama wanavyokataa waislamu wote),
> >> > > wakamtukana na kudai kuwa anafanya miujiza kwa nguvu za belzeburi
> >> > > (mkuu wa mavi), hivyo, wakristo hawashangai na hawahangaiki pale leo
> >> > > wanapotukanwa!
> >> > >
> >> > >Dawa ya kuepukana na yote ni kwa kila mtu KUHESHIMU dini ya mwingine.
> >> > > Hubirini kwa kutumia kitabu chetu, sio biblia ambayo mnaipotosha mno
> >> > > na kwa uongo wa waziwazi!
> >> > >
> >> > >--- On Mon, 9/24/12, Godfrey Ngupula <ngu...@yahoo.co.uk> wrote:
> >> > >
> >> > >From: Godfrey Ngupula <ngu...@yahoo.co.uk>
> >> > >Subject: RE: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM YA
> >> > > KUKASHIFU MTUME
> >> > >To: wana...@googlegroups.com
> >> > >Date: Monday, September 24, 2012, 7:16 PM
> >> > >
> >> > >
> >> > >
> >> > >
> >> > >Bwana Rashid Martin,ni kwek marekani haiupendi uislam hata
> >> > > kidogo.Na,ina kila vigezo vya kuuchukia.Ktk dunia na kizazi
> >> > > tulichonacho,asilimia 80 ya human oriented disasters zinasababishwa na
> >> > > watu wanaojiita waislam. Leo hii waislam ndio jamii ya  watu
> >> > > wasioaminika hata kidogo,mfano alqueda,boko haramu,alshabab nk..
> >> > >Marekani imepigwa mabomu ktk barozi zake afrika mashariki,na sasa
> >> > > libya..pia kumbuka september 11. Marekani iupende uislam kwa lipi.Kwa
> >> > > sasa,huko tunakoelekea,sio marekani tu,kila jamii itawaona waislam ni
> >> > > watu wasiofaa kabisa kama hawatajirekebisha jazba zao na kuwa
> >> > > wavumilivu.Swali la kujiuliza,ni rahisi sana.Je mtume Muhamadi alikuja
> >> > > kwa ajili ya watu au watu wapo kwa ajili ya mtume?je uislam ni kwa
> >> > > ajili ya watu au watu kwa ajili ya uislam?ukijibu maswali hayo hutaona
> >> > > maana ya kuua mtu kwa ajili ya kutetea dini au mtume.Ngupula
> >> > >------------------------------
> >> > >On Mon, Sep 24, 2012 7:13 PM EEST rashid martin wrote:
> >> > >
> >> > >>
> >> > >>
> >> > >>dada fatmlamu yupo sahihi,kama marekani haichukii uilamu, vipi jina la
> >> > >> barack hhussen obama lilete mushkeli? kama sio juhudi zake za
> >> > >> kujitetea kuwa yeye simuislamu leo asingekuwa rais wa america. moja
> >> > >> ya agenda ya Berline conference ilikuwa kuhakikisha uislamu
> >> > >> unapotezwa kabisa usiwepo but cha ajabu kasi ya ukuaji wa uislamu ni
> >> > >> ya ajabu
> >> > >>unazungumzije bwana RUSHDA  aliye tengeneza kitabu akakiita qur ani ni
> >> > >> satanic verses  nchini Irani mwaka 2008,then america na uingereza
> >> > >> wakamsaidia kumpa hifadhi na ulinzi wa hali ya juu
> >> > >>wamerika wakitaka kuishi kwa usalama wachane na jitihada za kujaribu
> >> > >> kuharibu uislamu,
> >> > >>Date: Mon, 24 Sep 2012 12:09:51 +0100
> >> > >>From: mike...@yahoo.co.uk
> >> > >>Subject: Re: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM YA
> >> > >> KUKASHIFU MTUME
> >> > >>To: wana...@googlegroups.com
> >> > >>
> >> > >>Pole sana kayo yote yanayotokea dada Fatma,Nimesoma michango yako
> >> > >> mingi huwa nafurahishwa na mawazo yako, hata hivyo kumbe ni mhimu
> >> > >> kukubali kwamba binadamu hatuwezi kuwa na mtazamo wa aina moja kwa
> >> > >> kila jambo, unapolinganisha Waisrael kuua Wapalestina na kuvamia kuua
> >> > >> Lebanon au Wamarekani kuipiga Iraq na Afghanistan na kwingineko kuna
> >> > >> uhusiano gani na dini za watu, Waisrael na wapalestina wanauadui wao
> >> > >> wa miaka nenda rudi, hilo una fahamu, kwa nini Waisraeli wasiende
> >> > >> kupigana nchi nyingine mbali ya hizo ulizozitaja.Pia umesema waislamu
> >> > >> wapo kila mahala, je waislam wa kweli ni wale wa Libya, Tunisia
> >> > >> na kwingine kulikofanyika vurugu tu, wengine siyo waislam wa ukweli,
> >> > >> vipi wengine waliweza kulaani film hiyo kwa kauli na siyo kwa kuua
> >> > >> watu wasiohusika?Tatizo la baadhi ya waislam ni kule kuamini swala la
> >> > >> kutoa adhabu wao wenyewe, ambapo imani zingine wanaamin, mtoa adhabu
> >> > >> kwa kumkosea Mungu ni Mungu mwenyewe, binadamu wenzake wanaweza
> >> > >> wakamshauri mkosaji kwa kumuonyesha wapi anakosea, asipokubali basi
> >> > >> ni yeye na Mungu wake, vinginevyo ukichukua nafasi ya Mungu kutoa
> >> > >> adhabu unaweza ukajizolea dhambi bure na Mungu asifurahishwe kwa
> >> > >> kumwadhibu binadamu mwenzako.Nilitegemea sana usingelikuwa upande wa
> >> > >> wale wanaodhani serikali ya Kimarikani inahusika kwa namna yoyote
> >> > >> kuhusina na film hiyo.
> >> > >>        From: "fatma...@yahoo.com" <fatma...@yahoo.com>
> >> > >> To: wana...@googlegroups.com
> >> > >> Sent: Sunday, 23 September 2012, 15:03
> >> > >> Subject: Re: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM YA
> >> > >> KUKASHIFU MTUME
> >> > >>
> >> > >>Misango
> >> > >>
> >> > >>Suala la kuua halina dini ila hulka za mtu. Waisrael wanapowaua
> >> > >> Wapalestina na walipovamia Lebanon na kuua hadi watoto wachanga nao
> >> > >> wanasemwa ni dini gani? Wamarekani wanapovamia nchi nyingine na
> >> > >> kuwaua watu wasio na hatia kwa kisingizio cha kuweka demokrasia nao
> >> > >> wanakuwa dini gani? Mnawalaumu watu kuweka. Udini humu kumbe nyie
> >> > >> mnaupalilia acheni hizo. Punguzeni kututukana Waislamu hawako Libya
> >> > >> na Misri tu na kuna Waislamu wengi tu wamesikitishwa na film hiyo
> >> > >> lakini hawajafanya kitu ila kuwaombea dua kama huyu alieposti dua
> >> > >> hii. Please give us a break
> >> > >>
> >> > >>Fatma
> >> > >>
> >> > >>
> >> > >>
> >> > >>Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
> >> > >>
> >> > >>-----Original Message-----
> >> > >>From: Charles Misango <misango...@yahoo.com>
> >> > >>Sender: wana...@googlegroups.com
> >> > >>Date: Sun, 23 Sep 2012 06:32:34
> >> > >>To: <wana...@googlegroups.com>
> >> > >>Reply-To: wana...@googlegroups.com
> >> > >>Subject: Re: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM YA
> >> > >> KUKASHIFU MTUME
> >> > >>
> >> > >>
> >> > >>Waamini wa kweli kwa Mungu wa Kweli hawawezi kufanya fujo, mauaji ya
> >> > >> kulipiza kisasi, kufanya mihadhara ya kutukana, kukashifu dini
> >> > >> nyingne
> >> > >>------------------------------
> >> > >> On Sun, Sep 23, 2012 01:14 PDT Nico Eatlawe wrote:
> >> > >>
> >> > >> >Sala hii ni agano jipya ya waislam! Nimependa sana. Kama vile katika
> >> > >> > Biblia kulikuwa na jino kwa jino na hatimaye Yesu kuleta neema basi
> >> > >> > neema nayo imefunuliwa kwa wenzetu. Wasibaki kuchukua sheria ya
> >> > >> > Musa  tu lakini pamoja na nema ya Yesu maana sheria ilikuwa
> >> > >> > inawaongoza wanadau kwenye neema bila  kuhitaji kuzini na kukamatwa
> >> > >> > ila kwa
> >> > >> kuwaza moyoni tu tayari umeshazini.
> >> > >> >
> >> > >> >
> >> > >> >
> >> > >> >________________________________
> >> > >> > From: ELISA MUHINGO <elisam...@yahoo.com>
> >> > >> >To: wana...@googlegroups.com
> >> > >> >Sent: Sunday, 23 September 2012, 8:58
> >> > >> >Subject: Re: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM
> >> > >> > YA KUKASHIFU MTUME
> >> > >> >
> >> > >> >Kama hii ndiyo dua aliyoomba Mtume na ile ya kazi ya muislamu ni
> >> > >> > kuua na kuuawa aliielekeza nani?
> >> > >> >
> >> > >> >--- On Sat, 9/22/12, rashid martin <rash...@hotmail.com> wrote:
> >> > >> >
> >> > >> >
> >> > >> >From: rashid martin <rash...@hotmail.com>
> >> > >> >Subject: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM YA
> >> > >> > KUKASHIFU MTUME
> >> > >> >To: wana...@googlegroups.com
> >> > >> >Date: Saturday, September 22, 2012, 11:14 PM
> >> > >> >
> >> > >> >
> >> > >> >
> >> > >> >Dua hii ni bora kuliko yote yaliyofanyika tokea filamu hiyo
> >> > >> > itengenezwe,dua hii ni bora kuliko hata maandamano, vurugu n.kdua
> >> > >> > yenyewe ni kama ifuatavyo....................Ee Mola tunakuomba
> >> > >> > uwape akili tambuzi wale wote walioshiriki kutengeneza filamu hiyo
> >> > >> > watambue kuwa walichokifanya sio kizuri na sio busara, pia
> >> > >> > uwabadilishe kama sio wawo basi vizazi vyaovije kuwa wachamungu
> >> > >> > .........insh a llah     Dua kama hiyo aliwahi kuiomba Mtume katika
> >> > >> > mji wa Twaifa na ikafanya kazi, tena baaada ya Mtume kupigwa
> >> > >> > sana.hizo ndio dua za wacha
> >> > >> mungu0714-14 25 25 -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi
> >> > >> mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha
> >> > >> www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> > >> wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> > >> ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole
> >> > >> responsibility for any legal consequences of his or her postings, and
> >> > >> hence statements and
> >> > >> facts
> >> > >> > must be presented responsibly. Your continued
> >> >
> >> > --
> >> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> >> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >> >
> >> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> > wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> > ukishatuma
> >> >
> >> > Disclaimer:
> >> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and
> >> > facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
> >> > that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> >> > Guidelines.
> >> >
> >> >Ama kweli jambo usilojua ni kama usiku wa giza!!Kwanza waislam wajikomboe
> >> > wafundishwe Quran katika Lugha yao ili wajue ukweli uliomo ndani si kila
> >> > kitu wanaambiwa na mashehe hata kwa maslahi binafsi.Hii itakuwa hatua
> >> > kubwa ,then wafanye wafanyalo kutokana na jinsi
> >> > wanavyoyafahamu.Pia,kumuadhibu mtu ambaye hamkubaliani kwa kumuua si
> >> > suluhisho.Mfano,wewe unamlazimisha mtu ajue hesabu za Logalithm,
> >> > calculus hata moja hajui kuiandika.
> > TUTAMBUE TOFAUTI ZETU,ILI TUISHI VEMA.
> >
> > --
> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >
> >
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

0 comments:

Post a Comment